Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mabasi yapata ajali na kujeruhi 29

WATU 29 wamejeruhiwa katika ajali mbili tofauti zilizotokea katika barabara kuu ya Morogoro-Dar es Salaam kwenye maeneo ya Mikese na Mkambalani, mkoani hapa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MABASI YAPATA AJALI TANGA NA MOROGORO NA KUUWA WATU KADHAA

Basi la Ngorika lenye namba za Usajili T770 BKW lililokuwa kitoka jijini Dar es Salaam kwenda Arusha na lile la Kampuni ya RATCO T 274 DCP Tanga kwenda Dar es Salaam yamegongana uso kwa huso na kulihusisha gari lingine dogo aina ya Toyota Pass T 628 CXE na kusababisha vifo vya abiria 10 na majeruhi. Ajali hiyo ilitokea eneo la Mbweni Mkata, wilayani Handeni mkoni Tanga. 
Inaelezwa kuwa basi la Ratco lilgongana kwanza na gari dogo na kisha kwenda kugongana uso kwa uso na basi la Ngorika...

 

11 years ago

Mwananchi

Sasa tuseme ajali za mabasi zimetosha ajali hizi basi

Kwa mara nyingine, nchi yetu imepata janga jingine kubwa baada ya ajali mbili kutokea katika mikoa ya Pwani na Kilimanjaro mwishoni mwa wiki iliyopita na kusababisha vifo kwa watu zaidi ya 30.

 

11 years ago

Habarileo

Ajali yaua 3, kujeruhi 46

WATU watatu wamekufa na wengine 46 kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea maeneo ya Uchunga wilayani Kishapu mkoani Shinyanga.

 

10 years ago

GPL

AJALI YAUA 16 NA KUJERUHI 75 TABORA

Watu 16 wamepoteza maisha huku 75 wakijeruhiwa baada ya basi la AM likitoka Mwanza-Mpanda kugongana na basi lingine la Sabena linalofanya safari zake Mbeya - Tabora katika eneo la Mlogoro, Sikonge mkoani Tabora jana.

 

9 years ago

Global Publishers

Ajali ya basi yaua 12 na kujeruhi 22 Iringa

New Force (1)

Taswira kutoka eneo la ajali.

Takribani watu 12 wanadaiwa kupoteza maisha huku wengine 22 wakijeruhiwa baada ya basi la New Force kupata ajali leo eneo la Mahenge Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa.

New Force (2)

Basi hilo lilikuwa likitokea mkoani Mbeya kuelekea Dar es Salaam na limepata ajali mchana huu.

Jitihada za kuondoa miili na kusafirisha majeruhi kuwapeleka hospitali zinaendelea.

 

9 years ago

Mwananchi

Ajali yaua wawili, kujeruhi 15 Lushoto

Watu wawili wamefariki dunia na wengine 15  kujeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kupinduka katika Kijiji cha Longoi Kata ya Mtae wilayani Lushoto jana majira ya saa 11.00 jioni.

 

9 years ago

Habarileo

Ajali basi la Metro yaua 5, kujeruhi 39

WATU watano wamekufa papo hapo na wengine 39 kujeruhiwa vibaya baada ya basi la Kampuni ya Metro, kuacha njia, kutumbukia bondeni na kupinduka.

 

10 years ago

GPL

AJALI YA BASI YAUA SABA, NA KUJERUHI TABORA

Picha zote zikionyesha mandhari ya sehemu ajali hiyo ilipotokea. Watu saba wamefariki Igunga, mkoani  Tabora, ambapo wengi wamejeruhiwa baada ya basi…

 

10 years ago

Dewji Blog

Ajali yaua sita na kujeruhi wengine 40 Singida

DSC06556

Basi la kampuni ya Nice Line Coach T.174  CAV  mali ya Enock Mwita wa jijini Mwanza, limegonga lori kubwa RAC 317 N kwa nyuma na kukwanguliwa kushoto kuanzia mlangoni na kusababisha vifo vya abiria watano na kujeruhi wengine 39 waliolazwa katika hospitali ya mkoa mjini Singida.

DSC06566

Dereva wa lori kubwa RAC 317 N raia wa Uganda,Waguuma Mohammed, akizungumzia ajali ya lori lake kugongwa kwa nyuma na basi T.174 CAV mali ya Enock Mwita wa jijini Mwanza. DSC06582 Mganga mfawidhi wa hospitali ya mkoa wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani