Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbarawa aagiza wanaopata maji wafike milioni 1 mwakani

Siku moja baada ya kuapishwa, Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Makame Mbarawa ameliagiza Shirika la Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasco) kuongeza idadi ya wateja kutoka 148,000 hadi milioni 1 ifikapo Juni 2016.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MBARAWA AKAGUA TANKI LA MAJI LENYE KUBEBA LITA MILIONI 10 ARUMERU

 Waziri wa Maji Prof Makame Mbarawa akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Mhandisi Christine Kessy kuhusu utekelezaji wa mradi wa maji wa vijiji vitano unaofadhiliwa na DFID katika Halmashauri ya Arumeru. Waziri wa Maj Mhe Prof Makame Mbarawa kushoto kwake akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe Mrisho Gambo wakielekea kukagua tanki la maji lenye kuweza kubeba Lita Milioni 10.Waziri wa Maji, Prof Makame Mbarawa akikagua tanki la mradi...

 

10 years ago

Habarileo

Wananchi wanaopata maji wafikia 55%

Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe.SERIKALI imesema kwamba sekta ya maji kwa kutumia mfumo wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) imeongeza wananchi wanaopata huduma ya maji kutoka milioni 15.2 Juni, 2013 hadi kufikia milioni 20.9 sawa na asilimia 55.

 

9 years ago

Habarileo

Mbarawa aagiza TRL, RAHCO kushirikiana

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa amewaagiza watendaji wa Shirika la Reli Tanzania (TRL) na Kampuni Hodhi ya Rasilimali za Reli (RAHCO), kufanya kazi kwa umoja na ushirikiano ili kuboresha huduma za reli.

 

9 years ago

Mwananchi

Jaji Kiongozi aagiza kesi zote za uchaguzi ziishe Machi mwakani

Majaji na mahakimu kote nchini wameagizwa kumaliza kesi zote zinazohusiana na masuala ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, ifikapo mwishoni mwa Machi 2016

 

9 years ago

Michuzi

ONGEZENI IDADI YA WATUMIAJI MAJI DAR – PROF MBARAWA

Mh. Prof. Mbarawa akiongea na menejimenti ya Dawasco na Dawassa kwenye ukumbi wa Dawasco gerezani,mwishoni mwa wiki jijini Dar.(picha na Emmanuel Massaka wa Globu ya jamii) .Mh. Prof. Makame Mbarawa akisaini kitabu cha wageni akiwa na Naibu waziri,Injinia Isack Kamwelwe (kushoto), pamoja na katibu mkuu na naibu katibu mkuu wa wizara ya maji (kulia) katika ofisi ya afisa mtendaji mkuu wa Dawasco.  Waziri wa maji mh. Prof. Makame Mbarawa akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Dawasco mapema...

 

5 years ago

Michuzi

PROF. MBARAWA AFANYA UTEUZI WA WAKURUGENZI MAMLAKA ZA MAJI



UTEUZI WA WAKURUGENZI WA MAMLAKA ZA MAJISAFI NA USAFI WA MAZINGIRA – ARUSHA NA SUMBAWANGA
Waziri wa Maji Mhe. Prof. Makame Mbarawa (Mb) amefanya uteuzi wa Wakurugenzi Watendaji wa Mamlaka za Maji na Usafi wa Mazingira za Arusha na Sumbawanga kwa kipindi cha miaka mitatu kuanzia leo tarehe 15 Mei, 2020.
Taarifa ya Katibu Mkuu, Wizara ya Maji Prof. Kitila Mkumbo imewataja walioteuliwa kuwa ni Mhandisi Justine Gordian Rujomba anayekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa...

 

5 years ago

Michuzi

PROF MBARAWA AAHIDI KUTATUA CHANGAMOTO YA USAMBAZAJI MAJI IKWIRIRI

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii
Waziri wa Maji Prof Makame Mbarawa amesema tatizo la upatikanaji wa maji katika halmashauri ya utete na tarafa ya Ikwiriri  ni kutokana na kutokuwa na mtandao mpana wa mabomba ya usambazaji maji kwa wananchi.
Amesema hayo wakati wa ziara yake ya kutembelea miradi ya maji katika tarafa ya Ikwiriri na kupata taarifa za mradi kutoka kwa wahandisi wanaoisimamia.
Mbarawa amesema, kuna changamoto ya upatikanaji wa maji halmashauri ya Utete na zaidi ni kutokana na...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA MAJI PROFESA MBARAWA AREJESHA FOMU YA KUWANIA URAIS ZANZIBAR, ASHUKURU CHAMA CHAKE

WAZIRI wa Maji wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Profesa Makame Mbarawa amerejesha fomu ya kuwania uteuzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa mgombea wake wa urais Zanzibar.

Profesa Mbarawa alichukua fomu Juni 19,  mwaka huu katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui mjini Unguja, akiwa mwanachama wa 10 kufanya hivyo.

Hivyi leo Juni 27,2020  amerejesha fomu hizo katika ofisi hiyo na kupokewa na Katibu wa Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Zanzibar, Galous Nyimbo.

Wakati alipochukua fomu...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mradi wa maji wa sh Milioni 343 wazinduliwa kijiji cha Mabogini, RC Makalla ataka vyanzo vya maji vitunzwe

Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro Amos Makalla mwenye miwani akizindua huduma ya maji katika kijiji cha Mabogini, mkoani Kilimanjaro wenye thamani ya Sh Milioni 343.

Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro

ZAIDI ya wananchi 3000 wa kijiji cha Mabogini, kitongoji cha Shabaha, mkoani Kilimanjaro, watanufaika na huduma ya maji safi na salama, baada ya kupelekewa mradi wenye thamani ya Sh Milioni 343. Mradi huo uliozinduliwa jana na Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro, Amos Makalla, umesimamiwa na Mamlaka ya Maji Safi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani