Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wananchi wanaopata maji wafikia 55%

Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe.SERIKALI imesema kwamba sekta ya maji kwa kutumia mfumo wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) imeongeza wananchi wanaopata huduma ya maji kutoka milioni 15.2 Juni, 2013 hadi kufikia milioni 20.9 sawa na asilimia 55.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Mbarawa aagiza wanaopata maji wafike milioni 1 mwakani

Siku moja baada ya kuapishwa, Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Makame Mbarawa ameliagiza Shirika la Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasco) kuongeza idadi ya wateja kutoka 148,000 hadi milioni 1 ifikapo Juni 2016.

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA MAJI KUPITIA BRN IMEFIKISHA MAJI KWA WANANCHI M.4.2

IMG-20150203-WA0039Waziri wa maji profesa jumanne maghembe akielezea utekelezaji wa mpango wa matokeo makubwa sasa BRN chini.....................................................
Waziri wa maji kupitia mpango wa BRN,kuanzia mwaka 2013 hadi sasa,imefanikiwa kuwafikishia maji wananchi milioni 4.3 wanaoishi maeneo ya mijini Aidha zaidi ya watu milioni 2 wanaoishi maeneo ya vijijini wamepatiwa huduma ya maji kupitia BRN.
Waziri wa maji profesa jumanne maghembe ameyasema hayo Februari 3, 2015 mjini Dodoma alipokuwa...

 

5 years ago

StarTV

Wananchi waandamana kukosa maji baada ya mhudumu wa maji kukamatwa na DC

  Na, Ahmed Makongo, Bunda; WANANCHI wa kitongoji cha Mashine ya Maji katika kata ya Bunda stoo, mjini Bunda mkoani Mara, jana wamepiga yowe na kuanadamana kwa kukusanyika pamoja katika kituo cha Mashine ya kusukuma maji, iliyoko katika eneo la Migungani, mjini humo, kutokana na kituo hicho kufungwa na kusababisha kukosa huduma ya maji, kwa …

 

9 years ago

MillardAyo

Baada ya Danny Mrwanda kusajiliwa na Maji Maji FC na kutowasili, uongozi wa Maji Maji umeamua hivi (+Audio)

Headlines za soka la bongo mtu wangu wa nguvu zimenifikia, safari hii sio kuhusu Simba na Yanga bali ni kuhusu staa wa soka aliyewahi kuvitumikia vilabu hivyo kwa nyakati mbili tofauti Danny Mrwanda, staa huyo ameingia kwenye headlines baada ya kuingia mkataba wa kuitumikia klabu ya Maji Maji FC ya Songea na kupewa malipo yake […]

The post Baada ya Danny Mrwanda kusajiliwa na Maji Maji FC na kutowasili, uongozi wa Maji Maji umeamua hivi (+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

11 years ago

Habarileo

Wanafunzi wanaopata mikopo kuongezeka

 Cosmas MwaisobwaIDADI ya wanafunzi wa elimu ya juu wanaonufaika na mikopo kutoka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESB) inatarajiwa kuongezeka, mfumo mpya wa gharama halisi kwa wanafunzi utakapoanza mwaka ujao wa fedha.

 

10 years ago

Habarileo

‘Wanaopata ajali za mabasi walipwe fidia’

Waziri wa Sheria na Katiba, Asha- Rose MigiroWAZIRI wa Sheria na Katiba, Asha- Rose Migiro amewataka Watanzania kutumia Sheria ya Madhara kudai haki zao baada ya kupata ajali ya basi.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Wengi wanaopata msamaha wa Rais hurudi magerezani’

Ripoti mpya ya utafiti imebainisha kuwa jitihada za Rais Jakaya Kikwete kupunguza msongamano wa wafungwa magerezani kwa kutoa msamaha zinahitaji kufanyiwa marekebisho kwani zaidi ya asilimia 30 ya wanaonufaika nayo hurudi tena magerezani kwa makosa tofauti.

 

11 years ago

Habarileo

Wananchi wauziwa ndoo ya maji 1,000/-

WAKAZI wa Kitongoji cha Nsololo wilayani Uyui katika Mkoa wa Tabora, hawana huduma ya maji ya kisima kwa zaidi ya miezi saba sasa, baada ya kisima kilichokuwepo kufungwa na uongozi wa eneo hilo.

 

9 years ago

Michuzi

WANANCHI WA NGORONGORO WANAKABILIWA NA UHABA WA MAJI

Wananchi wa kijiji cha Naiyobi wilaya ya Ngorongoro wakichota maji ambayo hutumia na mifugo kijiji hicho kinakabiliwa na uhaba wa maji
Na Woinde Shizza,Arusha WANANCHI wa Kijiji cha Nayobi  kilichopo tarafa ya Ngorongoro wilayaniNgorongoro mkoani Arusha wamelalamikia kero ya uhaba wa majiinayowasababishia kukesha kwenye bomba la kijiji kwa takribani siku tatuwakisubiri maji jambo linalopelekea shughuli za kijamii na kiuchumikusimama kwa muda mrefu na kinamama kutembea umbali mrefu wakitafuta...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani