“Haturuhusu wafungwa kufanya tendo la ndoa magerezani”
WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi, imeendeleza msimamo wake kuwa Tanzania bado haina sheria ya kuwaruhusu wafungwa kukutana kifaragha na waume au wake zao. Hii ni mara ya tatu...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi02 Nov
Wafungwa wafanya ujangili magerezani
Kwa wiki ya tatu mfululizo magazeti ya Mwananchi Jumamosi na Jumapili yamekuwa yakikuletea Ripoti Maalumu kuhusu baadhi ya watu wanaoendesha uhalifu wakiwa gerezani hasa ujangili.
5 years ago
Michuzi
THBUB: Msamaha kwa Wafungwa ni hatua muhimu kuzuia maambukizi ya Korona Magerezani

Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) amesema uamuzi wa Mheshimiwa Rais, Dkt. John Pombe Magufuli wa kuwasamehe wafungwa 3973 ni hatua muhimu katika kudhibiti kusambaa kwa maambukizi ya maradhi yanayosababishwa na Virusi vya Korona.
Jaji Mwaimu aliyasema hayo leo Mei 7, 2020 Ofisini kwake jijini Dodoma alipokuwa akitoa mtazamo wake juu ya jitihada za Serikali za kudhibiti kuenea kwa maradhi hatari ya Korona.
Alieleza kuwa msamaha huo ni muhimu...
11 years ago
Michuzi
TANZANIA YAWASILISHA STADI JUU YA JINSI YA KUDHIBITI IDADI YA WAFUNGWA MAGEREZANI LEO JIJINI DAR

10 years ago
Vijimambo
WAFUNGWA GEREZA KUU UKONGA, DAR ESALAAM MAHIRI KWA USHONAJI WA NGUO ZA AINA MBALIMBALI MAGEREZANI

5 years ago
Michuzi
SIMBACHAWENE: SERIKALI IPO KATIKA MCHAKATO KUHAKIKISHA MAHABUSU NCHINI WANAFANYA KAZI MAGEREZANI KAMA WAFUNGWA

10 years ago
Michuzi18 Mar
WAFUNGWA GEREZA KUU UKONGA, DAR ES SALAAM MAHIRI KWA USHONAJI WA NGUO ZA AINA MBALIMBALI MAGEREZANI
Wafungwa wa Gereza Kuu Ukonga, Jijini Dar es Salaam wakikata vitambaa vya nguo kabla ya kuanza kushona nguo za Wafungwa Magerezani. Wafungwa hao hujifunza Stadi mbalimbali za ujuzi ambazo huwasaidia kujipatia kipato mara tu wanapomaliza kifungo chao.
Wafungwa wa Gereza Kuu Ukonga, Jijini Dar es Salaam wakiendelea na ushonaji wa nguo za aina mbalimbali kama wanavyoonekana katika picha. Jeshi la Magereza nchini linatekeleza ipasavyo jukumu lake la Urekebishaji kwa kuwapatia ujuzi wa fani...
11 years ago
GPL
MATATIZO KATIKA TENDO LA NDOA
Tatizo hili huwapata wote wanawake na wanaume. Tatizo katika tendo la ndoa ni pana sana, yapo matatizo ya jumla ambayo hutokea pande zote mbili na yapo matatizo yanayowapata wanawake peke yao na yapo yanayowapata wanaume peke yao. Matatizo haya yote tutakayoelezea huchunguzwa na kutibiwa hospitali kuanzia ngazi za hospitali za wilaya, mikoa hadi rufaa. MATATIZO KWA WANAWAKE
Kwa wanawake hukumbwa na matatizo mengi katika...
10 years ago
GPL
TATIZO LA KUWAHI KUMALIZA TENDO LA NDOA
Tatizo hili hutokea kwa baadhi ya wanaume ambapo anapata msisimko mapema au mara tu anapoanza tendo la ndoa na kumfanya amalize muda huohuo, yaani muda usiozidi hata dakika tatu. Tunaposema kamaliza tendo ni kwamba anafikia kilele au mshindo na kutoa manii. Wanaume wenye hali hii wakati mwingine hutoa manii hata kwa msuguano mdogo endapo ataguswa au kugusana na mwanamke na akijenga hisia hata kwenye msongamano atajikuta tayari...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-March-2025 in Tanzania