Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MATATIZO KATIKA TENDO LA NDOA

Tatizo hili huwapata wote wanawake na wanaume.  Tatizo katika tendo la ndoa ni pana sana, yapo matatizo ya jumla ambayo hutokea pande zote mbili na yapo matatizo yanayowapata wanawake peke yao na yapo yanayowapata wanaume peke yao. Matatizo haya yote tutakayoelezea huchunguzwa na kutibiwa hospitali kuanzia ngazi za hospitali za wilaya, mikoa hadi rufaa. MATATIZO KWA WANAWAKE
Kwa wanawake hukumbwa na matatizo mengi katika...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

JE, KUNA UHUSIANO WOWOTE KATI YA TUMBO KUJAA GESI NA MIUNGURUMO KWA MWANAUME KATIKA TENDO LA NDOA?

Watu wengi wamekuwa wakiwasiliana nasi wakihusisha haya mambo mawili hasa wanaume pasipo kujua kama yanahusiana kwa ukaribu au laa. Na kwa maana hiyo, leo watu wengi wataweza kujua uhusiano wa haya mambo mawili yaani miungurumo ya tumbo, tumbo kujaa gesi na miungurumo ya hapa na pale katika kushiriki tendo la ndoa au kupungukiwa na nguvu katika kushiriki tendo la ndoa. Tatizo hili kitaalamu huitwa constipation, yaani mtu kuwa na...

 

10 years ago

GPL

TATIZO LA KUWAHI KUMALIZA TENDO LA NDOA

Tatizo hili hutokea kwa baadhi ya wanaume ambapo anapata msisimko mapema au mara tu anapoanza tendo la ndoa na kumfanya amalize muda huohuo, yaani muda usiozidi hata dakika tatu. Tunaposema kamaliza tendo ni kwamba anafikia kilele au mshindo na kutoa manii. Wanaume wenye hali hii wakati mwingine hutoa manii hata kwa msuguano mdogo endapo ataguswa au kugusana na mwanamke na akijenga hisia hata kwenye msongamano atajikuta tayari...

 

10 years ago

GPL

MAUMIVU UNAPOFANYA TENDO LA NDOA (DYSPAREUNIA)

Tatizo hili huwasumbua baadhi ya wanawake walio katika umri wa kuzaa, yaani kuanzia miaka 18 hadi 40. Tatizo huweza kuanza ghafla au taratibu pale mwanamke anapofanya tendo. Maumivu haya hutokana na hali ya mabadiliko ukeni ambapo uke huwa mkavu daima au mwanamke anapata vipindi vya ukavu ukeni na katika mlango wa kizazi pia husababisha tatizo hili.
Maumivu yanaweza kuwa ndani ya kizazi, yaani wakati wa tendo unahisi kuna kitu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mahakama yamnyima haki za tendo la ndoa

Mahakama nchini Uingereza imemzuia mwanamume mmoja kufanya tendo la ndoa na mke wake ambaye ana matatizo ya kiakili

 

11 years ago

GPL

TATIZO LA KUTOPATA RAHA WAKATI WA TENDO LA NDOA

Wapo ambao wakati wanapofanya mapenzi badala ya kupata raha, husikia maumivu, mwanaume katika uume lakini ni mara chache sana kulinganisha na wanawake. Mwanamke ndiye husumbuliwa zaidi na tatizo hili. Mwanamke anaweza kukosa raha kabisa na matokeo yake kuumia wakati tendo linapoanza pale mwanzoni ukeni au kwa ndani zaidi. Maumivu haya pia yanaweza kugawanyika katika makundi mawili. Kwanza ni maumivu wakati wa tendo ambayo ndiyo...

 

9 years ago

GPL

SABABU ZA WANAUME KUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA - 5

Msomaji wetu tunaendelea na mada yetu kuhusiana na sababu zinazowafanya baadhi ya wanaume kutokuwa na hamu ya kushiriki tendo la ndoa. Virutubisho ndani ya vyakula ambavyo vinasaidia hali hiyo ni Antioxidants, vitamin C, vitamin E, Potassium na zinc. Kirutubisho cha zinc kinaongeza mbegu kwa mwanaume (sperm count) hivyo humsaidia kuongeza hamu ya kufanya tendo la ndoa. Vyakula vyovyote vyenye virutubisho hivi vikiliwa humfanya...

 

9 years ago

GPL

SABABU ZA WANAUME KUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA

Natumai muwazima wa afya. Leo katika mada yangu hii, nataka kuzungumzia zaidi sababu za wanaume wengi kukosa hamu ya tendo la ndoa. Kama ilivyo matatizo mengine, tatizo la kukosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa huwakumba na wanaume vilevile ila siyo kwa kiwango kikubwa kama ilivyo kwa wanawake. Katika makala haya, tutaangalia kwa kina sababu za tatizo hili kwa wanaume na athari zake. Mwili wa mwanadamu uliumbwa na matamanio na si...

 

10 years ago

GPL

SABABU ZA WANAUME KUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA-2

Pamoja na kwamba tatizo hili halijitokezi sana kwa wanaume ukilinganisha na wanawake, inakadiriwa kuwa asilimia 15 hadi 16 ya wanaume wana tatizo hili, ni sawa na uwiano wa mwanaume mmoja mwenye tatizo hili katika kila wanaume sita au saba. Idadi ya wanawake wenye tatizo hili ni mara mbili ya wanaume.  Tatizo hili huwakera zaidi wanaume kuliko wanawake kwa sababu wanaume huchukulia urijali kama sehemu ya ukamilifu wao na...

 

9 years ago

GPL

SABABU ZA WANAUME KUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA-3

Mpenzi msomaji, leo naendelea kuelezea mambo yanayowafanya wanaume wakose hamu ya tendo la ndoa. Tumeshaona kwamba upungufu wa homoni inayoitwa Testosterone unasababisha kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa. Matatizo mengine katika mfumo wa homoni huchangia tatizo hili. Kama Thyroid haitoi homoni za kutosha, tatizo hili huweza kutokea ingawa mchango wa Thyroid katika tatizo hili ni mdogo sana. Thyroid ni kiungo cha kuzalisha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani