Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAUMIVU UNAPOFANYA TENDO LA NDOA (DYSPAREUNIA)

Tatizo hili huwasumbua baadhi ya wanawake walio katika umri wa kuzaa, yaani kuanzia miaka 18 hadi 40. Tatizo huweza kuanza ghafla au taratibu pale mwanamke anapofanya tendo. Maumivu haya hutokana na hali ya mabadiliko ukeni ambapo uke huwa mkavu daima au mwanamke anapata vipindi vya ukavu ukeni na katika mlango wa kizazi pia husababisha tatizo hili.
Maumivu yanaweza kuwa ndani ya kizazi, yaani wakati wa tendo unahisi kuna kitu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MAUMIVU WAKATI WA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA (DYSPAREU)

TAFITI za kitabibu zinaonyesha kuwa mwanamke asikiapo maumivu haya anatakiwa kuchukua hatua za haraka bila kuchelewa kabla afya yake ya uzazi haijazorota na kumletea ugumba. Maumivu wakati wa kushiriki tendo yanaashiria hatari katika afya ya uzazi iwapo yanakuwa na dalili zifuatazo: i. Iwapo anaumia tangu mwanzo wa tendo mpaka mwisho.
ii. Iwapo anaumia muda mchache au hata saa kadhaa baada ya tendo kukamilika.
iii. Iwapo...

 

9 years ago

GPL

MWANAMKE KUSIKIA MAUMIVU WAKATI NA BAADA YA TENDO LA NDOA

WAPO ambao wakati wanapofanya mapenzi badala ya kupata furaha, wao wanasikia maumivu, wanaume ni mara chache sana kulinganisha na wanawake. Mwanamke ndiye husumbuliwa zaidi na tatizo hili. Mwanamke anaweza kukosa kuhisi furaha na matokeo yake kuumia wakati tendo linapoanza pale mwanzoni, ukeni au kwa ndani zaidi. Maumivu haya pia yanaweza kugawanyika katika makundi mawili. Kwanza ni maumivu wakati wa tendo la ndoa ambapo ndiyo...

 

11 years ago

GPL

MAUMIVU WAKATI WA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA NI KIASHIRIA CHA NINI?-2

KUVIMBA kwa kuta za uke kutokana na kushambuliwa na fangasi (candida albicans ) au bakteria. Kuta hizi huanza kuwa na vijitundu vidogo vidogo na kadiri muda unavyokwenda bila kutibiwa vitundu hivi huongezeka ukubwa na kuwa kama vidonda na hatimaye kuta za uke kuanza kumomonyoka na hali hii huondoa kabisa hamu ya kushiriki tendo. Matatizo ya shingo ya kizazi (cervical incompetence) kutokana na maambukizi ya fangasi maeneo hayo....

 

11 years ago

GPL

MAUMIVU WAKATI WA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA NI KIASHIRIA CHA NINI? - 3

KUVIMBA kwa kuta za uke kutokana na kushambuliwa na fangasi (candida Albicans) au bakteria. Kuta hizi huanza kuwa na vijitundu vidogo vidogo na kadiri muda unavyokwenda bila kutibiwa, vitundu hivi huongezeka ukubwa na kuwa kama vidonda na hatimaye kuta za uke kuanza kumomonyoka na hali hii huondoa kabisa hamu ya kushiriki tendo. Matatizo ya shingo ya kizazi (cervical incompetence) kutokana na maambukizi ya fangasi maeneo hayo....

 

11 years ago

Mwananchi

Tendo la ndoa; Tiba mbadala ya maradhi ya moyo, ubongo, maumivu ya kichwa?

>Ingawa tendo la ndoa lisipofanywa kwa kuzingatia kanuni na taratibu, sambamba na umakini, linaweza kusababisha maradhi, lakini kwa wanandoa, tendo  hilo linatajwa kuwa na manufaa mengi  kiafya tofauti na faraja ya kawaida iliyozoeleka kwa wengi.

 

10 years ago

GPL

MATATIZO KATIKA TENDO LA NDOA

Tatizo hili huwapata wote wanawake na wanaume.  Tatizo katika tendo la ndoa ni pana sana, yapo matatizo ya jumla ambayo hutokea pande zote mbili na yapo matatizo yanayowapata wanawake peke yao na yapo yanayowapata wanaume peke yao. Matatizo haya yote tutakayoelezea huchunguzwa na kutibiwa hospitali kuanzia ngazi za hospitali za wilaya, mikoa hadi rufaa. MATATIZO KWA WANAWAKE
Kwa wanawake hukumbwa na matatizo mengi katika...

 

10 years ago

GPL

TATIZO LA KUWAHI KUMALIZA TENDO LA NDOA

Tatizo hili hutokea kwa baadhi ya wanaume ambapo anapata msisimko mapema au mara tu anapoanza tendo la ndoa na kumfanya amalize muda huohuo, yaani muda usiozidi hata dakika tatu. Tunaposema kamaliza tendo ni kwamba anafikia kilele au mshindo na kutoa manii. Wanaume wenye hali hii wakati mwingine hutoa manii hata kwa msuguano mdogo endapo ataguswa au kugusana na mwanamke na akijenga hisia hata kwenye msongamano atajikuta tayari...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mahakama yamnyima haki za tendo la ndoa

Mahakama nchini Uingereza imemzuia mwanamume mmoja kufanya tendo la ndoa na mke wake ambaye ana matatizo ya kiakili

 

9 years ago

GPL

SABABU ZA WANAUME KUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA-3

Mpenzi msomaji, leo naendelea kuelezea mambo yanayowafanya wanaume wakose hamu ya tendo la ndoa. Tumeshaona kwamba upungufu wa homoni inayoitwa Testosterone unasababisha kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa. Matatizo mengine katika mfumo wa homoni huchangia tatizo hili. Kama Thyroid haitoi homoni za kutosha, tatizo hili huweza kutokea ingawa mchango wa Thyroid katika tatizo hili ni mdogo sana. Thyroid ni kiungo cha kuzalisha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani