MAUMIVU WAKATI WA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA NI KIASHIRIA CHA NINI? - 3
KUVIMBA kwa kuta za uke kutokana na kushambuliwa na fangasi (candida Albicans) au bakteria. Kuta hizi huanza kuwa na vijitundu vidogo vidogo na kadiri muda unavyokwenda bila kutibiwa, vitundu hivi huongezeka ukubwa na kuwa kama vidonda na hatimaye kuta za uke kuanza kumomonyoka na hali hii huondoa kabisa hamu ya kushiriki tendo. Matatizo ya shingo ya kizazi (cervical incompetence) kutokana na maambukizi ya fangasi maeneo hayo....
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMAUMIVU WAKATI WA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA NI KIASHIRIA CHA NINI?-2
11 years ago
GPLMAUMIVU WAKATI WA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA (DYSPAREU)
9 years ago
GPLMWANAMKE KUSIKIA MAUMIVU WAKATI NA BAADA YA TENDO LA NDOA
10 years ago
GPLKWA NINI WANAWAKE WENGI WANAKOSA HAMU YA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA?-4
10 years ago
GPLKWA NINI WANAWAKE WENGI WANAKOSA HAMU YA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA?-5
10 years ago
GPLMAUMIVU UNAPOFANYA TENDO LA NDOA (DYSPAREUNIA)
11 years ago
Mwananchi07 Feb
Tendo la ndoa; Tiba mbadala ya maradhi ya moyo, ubongo, maumivu ya kichwa?
11 years ago
GPLTATIZO LA KUTOPATA RAHA WAKATI WA TENDO LA NDOA
10 years ago
VijimamboJe kwa nini wanawake huwa na furaha zaidi wakati wa kufunga ndoa? Hizi hapa chini ndiyo sababu
Wakatiwa kufunga ndoa wanawake wengi huonyesha furaha zao kwa namna tofauti. Wako ambao kutokana na furaha ya kuolewa wanashindwa kujizuia na kuanza kulia siyo kwa huzuni bali kwa furaha iliyopitiliza, wengine honyesha furaha zao kwa kucheza mziki kwa furaha na kumbusu mume wake wa maisha kwa mfululizo kama vile anachezea mdoli akiwa haamini kile kinachomtokea nk.Kwa upande wa mume naye huwa na furaha kwa upande wake lakini furaha hiyo haizidi furaha ya mke, hiyo ni kwa sababu mwanaume...