Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SERIKALI YAANZA MKAKATI WA MALISHO BORA YA KISAYANSI KWA AJILI YA MIFUGO.


Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia Mifugo Prof. Elisante Ole Gabriel akizungumza mara baada ya kukagua shamba darasa la malisho bora ya mifugo katika Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi, Mkoani Singida

Muonekano wa shamba darasa la malisho bora ya mifugo lililopo katika Kijiji cha Mahambe kilichopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi, Mkoani Singida.

Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia Mifugo Prof. Elisante Ole Gabriel akikagua mbegu za moja ya aina ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

SERIKALI KUWEKA MKAKATI MADHUBUTI KUTOKOMEZA MAGONJWA SUGU KWA MIFUGO


 Na Mbaraka Kambona, Dodoma

Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeweka mkakati madhubuti wa kutokomeza Magonjwa yanayoandama mifugo ili kuwa na mifugo bora itakayozalisha kwa tija na kukuza uchumi wa nchi.

Kauli hiyo ilitolewa na Mkurugenzi wa Huduma za Mifugo wa Tanzania, Profesa Hezron Nonga katika Mkutano wa 45 wa Baraza la Veterinari uliofanyika jijini Dodoma Juni 4,
2020.

Akizungumza na Waandishi wa habari mara baada ya mkutano huo, Profesa Nonga alisema kuwa Tanzania kuna...

 

10 years ago

Michuzi

Serikali yaanza kutekeleza mradi wa ujenzi wa nyumba 10,000 kwa ajili ya makazi ya wanajeshi


 Baadhi ya nyumba zilizojengwa eneo la Gongo la Mboto Jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa ujenzi Nyumba 10,000 kwa ajili ya makazi ya Wanajeshi.Picha na Hassan Silayo.  Msemaji wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Meja Josephat Musira akiwaeleza Waandishi wa habari (Hawapo pichani)kuhusu Mradi wa ujenzi wa Nyumba 10,000 kwa ajili ya makazi ya Wanajeshi ambapo kwa awamu ya kwanza idadi ya nyumba 6064 zinatarajiwa kujengwa na mpaka sasa nyumba 1160 zimeshakamilika...

 

10 years ago

Michuzi

TASAF YAANZA MAFUNZO KWA WATAALAMU WA KISEKTA KWA AJILI YA UIBUAJI MIRADI KWA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI

Mfuko wa Maendeleo ya jamii TASAF umeanza kuwajengea uwezo wataalamu ngazi ya Kata kutoka mamlaka nane za utekelezaji wa mpango wa Kunusuru Kaya Maskini na kuwawezesha walengwa wa Mpango wa kunusuru kaya masini kuibua miradi inayoweza kutekelezeka ndani ya kipindi kifupi katika mpango wa miradi ya ajira kwa walengwa (Public Works Project kwa lengo la kuwaongezea kipato).
Akifungua warsha ya kuwajengea uwezo wataalamu hao mjini Bagamoyo mkoani Pwani, Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF, Bwana...

 

9 years ago

Mwananchi

Njia bora za kujiwekea akiba kwa ajili ya faida ya baadaye

Taifa lenye akiba ya kutosha na uchumi imara linakuwa na uwezo katika kujiletea maendeleo na hata kustahimili majanga yoyote yanapotokea. Nguvu hiyo inatokana na uwezo mkubwa wa akiba na mtaji iliyowekezwa kwenye miradi mikubwa.

 

10 years ago

Michuzi

Tupo kwa ajili yako katika kutoa huduma bora za ujenzi DMV

Kazi yetu ni kutoa huduma bora za ujenzi katika maeneo ya Washington DC, Maryland na Virginia, kwa huduma za ukarabati wa nyumba yako, kitaalamu na kwa ufanisi zaidi.Tunaweza kushughulikia mahitaji yote ya matengenezo yanayohusu ujenzi ama ukarabati wa nyumba yako, ili kufanya urahisi wa kile ulichoharibikiwa, kwa uhakika na uwaminifu zaidi juu ya utendaji wa kazi zetu bora kwa ajili ya kusaidiana na mteja kwenye maswala ya ujenzi kwa wamiliki wa nyumba katika maeneo ya hapa DMVTunatoa...

 

10 years ago

Michuzi

Serikali yaweka Mkakati kupunguza changamoto ya ajira kwa Vijana

 Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Fatma Mwassa akizungumza na wananchi jana wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya wiki ya Vijana yanayofanyika katika viwanja vya Ali Hassan Mwinyi Mkoani Tabora.  Katibu Mkuu wa Wizaraya Habari.Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga akisalimia wananchi jana wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya wiki ya Vijana yanayofanyika katika viwanja vya Ali Hassan Mwinyi Mkoani Tabora. Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora Kudra Mwinyimvua akisalimia wananchi jana wakati wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Historia ya Serikali za Mitaa na mkakati wa kupeleka madaraka kwa wananchi

Majuma kadhaa sasa tumekuwa tukielezea historia ya Serikali za Mitaa nchini. Leo tunaendelea na mfululizo wa makala yale tukiangalia utekelezaji wa uamuzi ulioidhinishwa na Serikali kuhusu mpango wa uboreshaji wa mfumo wa Serikali za Mitaa na mkakati wa kupeleka madaraka kwa wananchi.

 

5 years ago

CCM Blog

SERIKALI: DAWA YA CORONA AMBAYO MADAGASCAR IMETOA MSAADA KWA TANZANIA NI KWA AJILI YA UTAFITI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi, akiwaonyesha dawa ambayo Madagascar imetoa msaada kwa Tanzania, alipozungumza na Waandishi wa habari Jijini Dae es Salaam, leo.
Dar es Salaam, Tanzania
Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, imesema dawa ambayo nchi ya Madagascar imeitoa kama msaada wa Serikali ya Tanzania ni kwa ajili ya utafiti kwanza.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani