Wafugaji Wilayani Serengeti waiomba serikali kuwarejeshea Eneo La Kuchungia Mifugo yao
Wafugaji wa vijii vinavyopakana na Hifadhi ya Serengeti katika Wilaya ya Bunda, mkoani Mara, wameiomba Serikali kuwarejeshea eneo la Kawanga walilokuwa wanalitumia kuchungia mifugo yao, ambalo lilichukuliwa na Serikali na kumpatia mwekezaji bila ya wao kushirikishwa.
Wakitoa kero zao kwa mbunge wa Jimo la Bunda, Boniphace Mwita, wakazi wa vijiji hivyo wameiomba Serikali kuwadhibiti wanyama aina ya Tembo, wanaotoka katika Hifadhi ya Serengeti ambao wamekuwa kero kubwa kutokana na kuvamia...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWAFUGAJI WALIOVAMIA ENEO LA LOLIONDO WATAKIWA KUONDOA MIFUGO YAO
9 years ago
Mwananchi30 Aug
Wafugaji wazuiwa kuogesha mifugo yao Mto Malagarasi
9 years ago
StarTV27 Nov
Wafanyakazi wa TRL waiomba Serikali kuingilia kati madai yao ya malimbikizo
Wafanyakazi wa Kampuni ya Reli Tanzania TRL wameiomba Serikali kuingilia kati mgogoro wa malipo ya malimbikizo ya mshahara wao wa miezi mitano wanaoudai uongozi wa kampuni hiyo.
Wafanyakazi wa kampuni hiyo wametishia kwenda Ikulu kumuona Rais John Magufuli iwapo hawatolipwa malimbikizo ya jumla ya Shilingi Bilioni 2.4 ya kuanzia Julai hadi Novemba 2014.
Wafanyakazi hao wa Kampuni ya Reli nchini waliimba wimbo wa mshikamano baada ya uongozi wa kampuni kuondoka katika mkutano baina yao...
10 years ago
Mwananchi23 Jun
Sheria za Kimila ‘zaifunika’ Serikali wilayani Serengeti
11 years ago
Mwananchi11 Aug
Wafugaji wapinga Sheria ya Mifugo
9 years ago
Habarileo19 Sep
Wafugaji wazuiwa kuingiza mifugo Selous
JAMII ya wafugaji waliopo katika kijiji cha Chengena, kata ya Luchili, wilayani Namtumbo, mkoani Ruvuma wametakiwa kuacha kuingiza mifugo yao na kufanya shughuli nyingine za kibinadamu katika maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya Hifadhi ya Taifa ya Selous kwa faida ya vizazi vya sasa na vijavyo.
11 years ago
Tanzania Daima12 Jun
Wafugaji watakiwa kuzalisha mifugo bora
SERIKALI imewataka wafugaji kuzalisha mifugo bora na kuivuna kwa wakati, ili kukidhi mahitaji ya viwanda vya kusindika nyama vilivyopo. Wito huo ulitolewa bungeni jana na Naibu Waziri wa Mendeleo ya...
11 years ago
Tanzania Daima23 Apr
Wafugaji, wauza dawa za mifugo wafundwa
ZAIDI ya wafugaji 300 na wafanyabiashara wa maduka ya dawa za kilimo na mifugo, wamepatiwa mafunzo ya utumiaji dawa za kutibu mifugo ya aina mbalimbali na virutubisho vinavyotolewa na Kampuni...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-pGq72_lBLn8/VgiHEYIm_uI/AAAAAAAH7fs/qJPjQUpIFV0/s72-c/unnamed%2B%252811%2529.jpg)
WAFUGAJI CHALINZE SOMESHENI WATOTO, WASICHUNGE MIFUGO - RIDHIWANI