WAFUGAJI CHALINZE SOMESHENI WATOTO, WASICHUNGE MIFUGO - RIDHIWANI
![](http://3.bp.blogspot.com/-pGq72_lBLn8/VgiHEYIm_uI/AAAAAAAH7fs/qJPjQUpIFV0/s72-c/unnamed%2B%252811%2529.jpg)
Na John Gagarini, Chalinze WAZAZI wa watoto wa wafugaji kwenye Jimbo la Chalinze wilayani Bagamoyo wametakiwa kuachana na tabia ya kuwafanya watoto wao kuwa wachungaji wa mifugo huku wakikosa haki ya kupata elimu. Hayo yalisemwa kwenye na Mgombea Ubunge wa Jimbo hilo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ridhiwani Kikwete Mazizi kata ya Msata wakati wa mkutano wa kampeni na kusema kuwa baadhi ya wazazi wa watoto wa wafugaji wanaendeleza utamaduni wa kutowapeleka watoto wao shule na kuwaacha...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog12 Aug
Ridhiwani Kikwete azindua Kisima cha Maji, Lambo katika kijiji cha jamii ya Wafugaji cha Mbala,Chalinze
Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwan Kikwete akionozana na akina mama wa jamii ya kimasai waliobeba maji waliyoyateka baada ya mbunge huyo kuzindua kisima cha maji katika Kijiji cha Mbala, Chalinze, Bagamoyo mkoani Pwani jana. Kisima hicho pamoja na lambo la kunyweshea mifugo vimejengwa na Kanisa la Wasabato kwa gharama ya sh. mil. 76. Kushoto ni Kiongozi wa mradi huo, Joseph Chagama na nyuma yake ni Askofu wa Kanisa la Wasabato Jimbo la Mashariki,Mark Malekana. (PICHA NA RICHARD...
11 years ago
Mwananchi11 Aug
Wafugaji wapinga Sheria ya Mifugo
9 years ago
Habarileo19 Sep
Wafugaji wazuiwa kuingiza mifugo Selous
JAMII ya wafugaji waliopo katika kijiji cha Chengena, kata ya Luchili, wilayani Namtumbo, mkoani Ruvuma wametakiwa kuacha kuingiza mifugo yao na kufanya shughuli nyingine za kibinadamu katika maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya Hifadhi ya Taifa ya Selous kwa faida ya vizazi vya sasa na vijavyo.
11 years ago
Tanzania Daima12 Jun
Wafugaji watakiwa kuzalisha mifugo bora
SERIKALI imewataka wafugaji kuzalisha mifugo bora na kuivuna kwa wakati, ili kukidhi mahitaji ya viwanda vya kusindika nyama vilivyopo. Wito huo ulitolewa bungeni jana na Naibu Waziri wa Mendeleo ya...
11 years ago
Tanzania Daima23 Apr
Wafugaji, wauza dawa za mifugo wafundwa
ZAIDI ya wafugaji 300 na wafanyabiashara wa maduka ya dawa za kilimo na mifugo, wamepatiwa mafunzo ya utumiaji dawa za kutibu mifugo ya aina mbalimbali na virutubisho vinavyotolewa na Kampuni...
11 years ago
Mwananchi06 Mar
Wafugaji mkoani Mara wageuka kuwa madaktari wa mifugo
9 years ago
Mwananchi30 Aug
Wafugaji wazuiwa kuogesha mifugo yao Mto Malagarasi
10 years ago
MichuziWAFUGAJI WALIOVAMIA ENEO LA LOLIONDO WATAKIWA KUONDOA MIFUGO YAO