Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mashambulizi ya Boko Haram yakithiri

Maafisa wakuu Nigeria wanasema kuwa Boko Haram, wameshambulia vijiji kadhaa katika jimbo la Adamawa Kaskazini mwa nchi hiyo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Boko Haram wafanya mashambulizi

Wapiganaji wa Boko Haram,walivamia vijiji viwili Jumamosi na kupandisha bendera yao kwa mara ya tatu Kaskazini Mashariki mwa Nigeria

 

11 years ago

BBCSwahili

Boko Haram wafanya mashambulizi tena

Watu kadhaa katika mji wa Dille, Kaskazini mwa Nigeria, wameuawa, na wengine kutorokea vijiji jirani baada ya kushambuliwa na Boko Haram.

 

10 years ago

StarTV

Boko Haram wazidi kufanya mashambulizi.

Watu 150 wameuawa baada ya Boko Haram kuvamia kaskazini mashariki mwa Nigeria.

Walioshuhudia mashambulizi hayo wanasema watu tisini na saba wameuawa siku ya Jumatano katika kijiji cha Kukawa kilichopo karibu na Ziwa Chad.

Habari zinasema pia wanaume 48 wamepigwa risasi na wapiganaji katika mashambulizi tofauti siku ya Jumanne.

Mashuhuda wanaokimbia eneo lililopo karibu na Ziwa Chad wanasema idadi kubwa ya wapiganaji wamevamia vijiji vitatu ambapo wameuwa wanaume, wanawake na watoto.

Baadhi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Boko:H yaendeleza mashambulizi Nigeria

Hali ya vurugu na mauaji inazidi kuwa mbaya Nigeria siku hadi siku.

 

9 years ago

BBCSwahili

Ripoti:Boko Hara laipiku IS kwa mashambulizi

Ripoti mpya inasema kuwa kundi la Boko Haram limewapiku washirika wao wa Islamic State kama kundi hatari zaidi lenye msimamo mkali duniani.

 

10 years ago

BBCSwahili

Boko Haram 70 wauawa .

Jeshi la Nigeria limetoa ripopoti kua mpaka sasa limekwisha waua wapiganaji 70 kutoka katika kikundi cha kiislam cha BOKO HARAM.

 

10 years ago

BBC

Why is Boko Haram so strong?

How did Nigeria's Boko Haram become so strong?

 

11 years ago

BBC

How do you negotiate with Boko Haram?

Frank Gardner looks at how you negotiate with armed kidnappers

 

11 years ago

BBC

Exactly what does the phrase Boko Haram mean?

What does the Nigerian militant group's name really translate as?

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani