Boko Haram 70 wauawa .
Jeshi la Nigeria limetoa ripopoti kua mpaka sasa limekwisha waua wapiganaji 70 kutoka katika kikundi cha kiislam cha BOKO HARAM.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili06 Jul
Wapiganaji 53 wa Boko Haram wauawa
Jeshi la Nigeria limesema kuwa limewaua wanachama 53 wa kundi la Boko haram kufuatia shambulizi lao katika eneo la Damboa .
11 years ago
BBCSwahili09 Jan
Wapiganaji 38 wa Boko Haram wauawa
Jeshi la Nigeria limesema kuwa limeauawa wapiganaji 38 wa Boko Haram wakati wa mapambanao dhidi ya kundio hilo katika eneo la Kaskazini Mashariki mwa nchi.
10 years ago
BBCSwahili24 Nov
Wavuvi 50 wauawa na Boko Haram
Wanamgambo wa Boko Haram wamefanya shambulizi lengine kubwa sana na kuwaua takriban wafanya biashara 50 wa kuuza Samaki katika ufuo wa ziwa Chad.
11 years ago
BBCSwahili21 Jan
Watu 18 wauawa na Boko Haram-Nigeria
Wapiganaji wa Kiislamu nchini NIgeria wamekishambulia kijiji Kaskazini Mashariki mwa nchi hiyo na kuwaua kiasi ya watu 18.
11 years ago
BBCSwahili13 Feb
Watu 39 wauawa na Boko Haram-Nigeria
Utawala wa jimbo la Borno lililoko Kaskazini mwa Nigeria umesema watu 39 wameuawa katika shambulizi lililofanywa mjini Konduga
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wyK9bAs*AkVhG5bSJP7JfNJXJM07dJxT-kuhKFssZUpwukaR41rw*38zJzY5PtutnS5MaMkxLvrBt0--jOyzpp2WA7Fl9hK7/chad.jpg?width=650)
BOKO HARAM 207 WAUAWA CHAD
Wanajeshi nchini Chad . JESHI la Chad limetangaza kuwa, wanamgambo mia mbili na saba wa kundi la Boko Haram wameuawa katika mpaka wa nchi hiyo na Cameroon. Wanajeshi wa Chadi wakiendelea na ulizi katika eneo la Garambu lililoko katika mpaka wa nchi hiyo na Cameroon. Gazeti la Ufaransa la Le Figaro linaripoti kwamba,…
10 years ago
BBCSwahili08 May
Wanafunzi wauawa na boko Haram Nigeria
Ripoti kutoka Nigeria zinasema kuwa wanafunzi watatu wa chuo kimoja cha mafunzo ya biashara, wameuawa na wapiganaji wa Boko Haram
11 years ago
BBCSwahili07 May
Mamia wauawa na Boko Haram Nigeria
Mamia ya watu waliuawa katika shambulizi lililofanywa na kundi la wapiganaji wa Boko Haram katika mpaka wa nchi hiyo na Cameroon siku ya Jumanne.
10 years ago
BBCSwahili14 Sep
Wanachama 100 wa Boko Haram wauawa
Jeshi la Nigeria lsema limewaua zaidi ya wanamgambo 100 wa kundi la Boko Haram kufuatia shambulizi la wapiganaji hao.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania