Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BOKO HARAM 207 WAUAWA CHAD

Wanajeshi nchini Chad . JESHI la Chad limetangaza kuwa, wanamgambo mia mbili na saba wa kundi la Boko Haram wameuawa katika mpaka wa nchi hiyo na Cameroon. Wanajeshi wa Chadi wakiendelea na ulizi katika eneo la Garambu lililoko katika mpaka wa nchi hiyo na Cameroon. Gazeti la Ufaransa la Le Figaro linaripoti kwamba,…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Wapiganaji 10 wa Boko Haram wauawa-Chad

Wanachama kumi wa kundi la Boko Haram, wameuawa kwa kupigwa risasi katika mji mkuu wa Chad N'Djamena

 

10 years ago

BBC

Chad 'forces Boko Haram from town'

Chad's army has driven Boko Haram militants out of Malumfatori town in north-eastern Nigeria, a senior official from Niger tells the BBC.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi wa Chad, Boko Haram,wapambana

Wanajeshi wa Chad wapambana na Boko Haram Kaskazini Mashariki mwa Nigeria

 

10 years ago

BBCSwahili

Chad yafanikiwa dhidi ya Boko Haram

Jeshi nchini Chad linaendelea kufanya mashambulizi dhidi ya wanamgambo wa Boko Haram eneo la kaskazini mashariki mwa Nigeria.

 

10 years ago

BBCSwahili

Chad na Nigeria kuwakabili Boko Haram

Serikali ya Chad imewaondoa wapiganaji wa kundi la Boko Haram waliokuwa katika mji wa Malumfatori Kaskazini Mashariki mwa Nigeria.

 

10 years ago

BBCSwahili

Boko Haram yashambulia Nigeria na Chad

Watu 15 wameuawa baada ya walipuaji wa kujitolea mhanga kushambulia mji muu wa Chad Djamena na Maiduguri Nigeria

 

10 years ago

BBC

Chad to join Boko Haram campaign

Cameroon says Chad will send a large contingent of troops to help it fight incursions from the Nigeria-based militant Islamist group, Boko Haram.

 

10 years ago

BBC

Chad bombs Boko Haram in Nigeria

Chad's military carries out airstrikes against suspected militant positions in neighbouring Nigeria, in response to Monday's twin suicide bombings.

 

9 years ago

BBCSwahili

Boko Haram yaua watu 40 Chad

Maafisa wa hospitalini wanasema zaidi ya watu 40 wameuawa na wengine 50 kujeruhiwa kufuatia msururu wa milipuko nchini Chad.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani