Biashara ya fedha haramu yakithiri
KUSHAMIRI kwa fedha haramu nchini kunakofanywa na baadhi ya Watanzania wasio waaminifu ndani na nje ya nchi, kumeisababishia taifa hasara ya bilioni 590/- (dola milioni 328) kila mwaka, imeelezwa.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi11 Apr
Rais ateua Katibu Mtendaji wa Mamlaka ya Rufaa za Zabuni za Umma, Kamishna wa Kitengo cha Kudhibiti Biashara ya Fedha Haramu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Kissiok Ole Mbille Lukumay kuwa Katibu Mtendaji wa Mamlaka ya Rufaa za Zabuni za Umma.Aidha, Rais Kikwete amemteua Bwana Onesmo Hamis Makombe kuwa Kamishna wa Kitengo cha Kudhibiti Biashara ya Fedha Haramu.Taarifa iliyotolewa Alhamisi, mjini Dar es Salaan na Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), Balozi Ombeni Sefue, inasema kuwa uteuzi wa maofisa hao wawili ulianza Ijumaa ya Machi 27, 2015.Kabla ya uteuzi...
9 years ago
Mwananchi07 Oct
Biashara haramu, simu,
Diana yuko ndani ya ofisi yake nadhifu sana akipitia taarifa mbalimbali za kikazi . Ghafla simu yake ikaita na anapoipokea anafahamishwa kuwa kuna mgeni muhimu anataka kumuona. Mgeni mwenyewe alipomuona kuanzia hapo wakawa pamoja kama chanda na pete.Â
Je, ni nani huyo?
11 years ago
Tanzania Daima22 Dec
Mawasiliano biashara haramu yakamatwa
POLISI na Idara ya Uhamiaji Kilimanjaro wamekamata mawasiliano baina ya wahusika wa biashara ya wahamiaji haramu na mawakala wao baada ya kukamatwa watu watatu wanaotajwa kuwa vinara wa biashara ya...
10 years ago
Mwananchi06 Dec
Biashara haramu ya madini kudhibitiwa
Wanachama wa nchi za maziwa makuu wameanza utekelezaji kwa kuweka mikakati ya kupambana na uchimbaji haramu wa madini pamoja na biashara haramu za maliasili zinazofanywa katika ukanda huo, ili kutokomeza hali hiyo ambayo imekuwa chachu kwa matukio ya uvunjifu wa amani.
10 years ago
Mwananchi08 Jan
MAHAKAMANI KWA BIASHARA HARAMU.
Dar es Salaam. Watu 22 wamefikishwa katika Mahakama ya Jiji Sokoine Drive wakiwemo wanawake 9 kwa tuhuma mbalimbali zikiwemo za kufanya biashara ya kuuza miili yao.
10 years ago
Mwananchi20 Dec
Victoria yakwamisha udhibiti biashara haramu
Ziwa Victoria limetajwa kuwa kikwazo katika udhibiti wa vyakula na dawa zisizofaa kutumika kwa binadamu, likidaiwa kutumika kupitisha bidhaa haramu kwenye mipaka isiyo rasmi.
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-ljcVkkk9vSE/VEzv6rOSMeI/AAAAAAAGtao/zKHVnQCe8Ps/s72-c/unnamed.jpg)
BIASHARA HARAMU YA MKAA INAPOFADHILI UGAIDI
![](http://1.bp.blogspot.com/-ljcVkkk9vSE/VEzv6rOSMeI/AAAAAAAGtao/zKHVnQCe8Ps/s1600/unnamed.jpg)
Na Mwandishi Maalum, New York
Inaweza ikawa ni taarifa za kushangaza kuwa hata mkaa ambao ni nishati inayotumiwa na jamii kubwa sehemu mbalimbali hususani Barani Afrika kwamba mapato yatokanayo na biashara hiyo yanaweza kuwa chanzo ya mapato kwa makundi ya kigaidi.
Taarifa kwamba mapato yatokanayo na mkaa yanatumika ndivyo sivyo, zimejidhirisha mwishoni mwa wiki ( Ijumaa ) pale Baraza Kuu la Usalama la Umoja wa Mataifa lilipopitisha kwa kura Azimio namba 2182 la mwaka 2014...
10 years ago
BBCSwahili04 Sep
Kutakatisha fedha ni haramu
Mtoto wa mfanyabiashara haramu wa kutakatisha fedha nchini Marekani amefariki dunia.
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-_ksGrOUkJpw/VlqSbIsdXeI/AAAAAAAII3w/m0YzAuM8GKg/s72-c/a3a430d7-a9c9-4658-8258-1a641e343d09.jpg)
Tutakomesha biashara haramu ya magogo, maliasili—Serikali
Serikali imesema vita dhidi ya biashara haramu ya magogo itazidishwa ili kuokoa rasilimali muhimu za misitu Tanzania. Biashara hiyo ni kinyume na Sheria ya Misitu ya mwaka 2002 inayozuia kusafirisha magogo yasiyoongezwa thamani kwenda nje ya nchi. Akiongea na waandishi wa habari mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Adelhelm Meru alisema kamwe biashara hiyo haitakubalika kuendelezwa na watu wasio waaminifu kwa taifa lao. “Tutapambana...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania