MAHAKAMANI KWA BIASHARA HARAMU.
Dar es Salaam. Watu 22 wamefikishwa katika Mahakama ya Jiji Sokoine Drive wakiwemo wanawake 9 kwa tuhuma mbalimbali zikiwemo za kufanya biashara ya kuuza miili yao.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboSEKRETARIETI YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA BIASHARA HARAMU YA BINAADAMU YAENDESHA SEMINA KWA WAANDISHI WA HABARI
10 years ago
MichuziSEKRETARIETI YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA BIASHARA HARAMU YA BINADAMU YATOA SEMINA KWA WAANDISHI WA HABARI
10 years ago
Mwananchi07 Oct
Biashara haramu, simu,
10 years ago
Mwananchi06 Dec
Biashara haramu ya madini kudhibitiwa
11 years ago
Tanzania Daima22 Dec
Mawasiliano biashara haramu yakamatwa
POLISI na Idara ya Uhamiaji Kilimanjaro wamekamata mawasiliano baina ya wahusika wa biashara ya wahamiaji haramu na mawakala wao baada ya kukamatwa watu watatu wanaotajwa kuwa vinara wa biashara ya...
10 years ago
Habarileo13 Mar
Biashara ya fedha haramu yakithiri
KUSHAMIRI kwa fedha haramu nchini kunakofanywa na baadhi ya Watanzania wasio waaminifu ndani na nje ya nchi, kumeisababishia taifa hasara ya bilioni 590/- (dola milioni 328) kila mwaka, imeelezwa.
10 years ago
Mwananchi20 Dec
Victoria yakwamisha udhibiti biashara haramu
11 years ago
Michuzi
BIASHARA HARAMU YA MKAA INAPOFADHILI UGAIDI

Na Mwandishi Maalum, New York
Inaweza ikawa ni taarifa za kushangaza kuwa hata mkaa ambao ni nishati inayotumiwa na jamii kubwa sehemu mbalimbali hususani Barani Afrika kwamba mapato yatokanayo na biashara hiyo yanaweza kuwa chanzo ya mapato kwa makundi ya kigaidi.
Taarifa kwamba mapato yatokanayo na mkaa yanatumika ndivyo sivyo, zimejidhirisha mwishoni mwa wiki ( Ijumaa ) pale Baraza Kuu la Usalama la Umoja wa Mataifa lilipopitisha kwa kura Azimio namba 2182 la mwaka 2014...
9 years ago
Michuzi
Tutakomesha biashara haramu ya magogo, maliasili—Serikali