Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Biashara haramu, simu,

Diana yuko ndani ya ofisi yake nadhifu sana akipitia taarifa mbalimbali za kikazi .  Ghafla simu yake ikaita na anapoipokea anafahamishwa kuwa kuna mgeni muhimu anataka kumuona. Mgeni mwenyewe alipomuona  kuanzia hapo wakawa pamoja kama chanda na pete.  Je, ni nani huyo?

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Biashara haramu ya madini kudhibitiwa

Wanachama wa nchi za maziwa makuu wameanza utekelezaji kwa kuweka mikakati ya kupambana na uchimbaji haramu wa madini pamoja na biashara haramu za maliasili zinazofanywa katika ukanda huo, ili kutokomeza hali hiyo ambayo imekuwa chachu kwa matukio ya uvunjifu wa amani.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mawasiliano biashara haramu yakamatwa

POLISI na Idara ya Uhamiaji Kilimanjaro wamekamata mawasiliano baina ya wahusika wa biashara ya wahamiaji haramu na mawakala wao baada ya kukamatwa watu watatu wanaotajwa kuwa vinara wa biashara ya...

 

10 years ago

Habarileo

Biashara ya fedha haramu yakithiri

Kamishna Mkuu wa TRA, Dk Rished Bade KUSHAMIRI kwa fedha haramu nchini kunakofanywa na baadhi ya Watanzania wasio waaminifu ndani na nje ya nchi, kumeisababishia taifa hasara ya bilioni 590/- (dola milioni 328) kila mwaka, imeelezwa.

 

10 years ago

Mwananchi

MAHAKAMANI KWA BIASHARA HARAMU.

Dar es Salaam.  Watu 22 wamefikishwa katika  Mahakama ya Jiji Sokoine Drive wakiwemo wanawake 9 kwa tuhuma mbalimbali zikiwemo za kufanya biashara ya kuuza miili yao.

 

10 years ago

Mwananchi

Victoria yakwamisha udhibiti biashara haramu

Ziwa Victoria limetajwa kuwa kikwazo katika udhibiti wa vyakula na dawa zisizofaa kutumika kwa binadamu, likidaiwa kutumika kupitisha bidhaa haramu kwenye mipaka isiyo rasmi.

 

10 years ago

Michuzi

BIASHARA HARAMU YA MKAA INAPOFADHILI UGAIDI


Na Mwandishi Maalum, New York


Inaweza  ikawa ni  taarifa za  kushangaza kuwa hata mkaa ambao ni  nishati inayotumiwa na jamii kubwa sehemu mbalimbali hususani  Barani Afrika kwamba mapato yatokanayo na   biashara hiyo  yanaweza kuwa chanzo ya mapato kwa  makundi ya kigaidi.


Taarifa kwamba  mapato yatokanayo na mkaa yanatumika ndivyo sivyo, zimejidhirisha mwishoni  mwa wiki ( Ijumaa ) pale Baraza Kuu la  Usalama la Umoja wa Mataifa lilipopitisha kwa kura  Azimio  namba  2182 la mwaka 2014...

 

9 years ago

Michuzi

Tutakomesha biashara haramu ya magogo, maliasili—Serikali

Serikali imesema vita dhidi ya biashara haramu ya magogo itazidishwa ili kuokoa rasilimali muhimu za misitu Tanzania. Biashara hiyo ni kinyume na Sheria ya Misitu ya mwaka 2002 inayozuia kusafirisha magogo yasiyoongezwa thamani kwenda nje ya nchi.  Akiongea na waandishi wa habari mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Adelhelm Meru alisema kamwe biashara hiyo haitakubalika kuendelezwa na watu wasio waaminifu kwa taifa lao.  “Tutapambana...

 

10 years ago

Dewji Blog

Serikali yajidhatiti kudhibiti ujangili na biashara haramu Nchini

2

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mahmoud Mgimwa akijibu swali bungeni.(Picha zote na Hussein Makame-MAELEZO, Dodoma).

Na Lorietha Laurence-Maelezo, Dodoma

SERIKALI imejidhatiti katika kudhibiti  ujangili na biashara haramu ya mazao ya maliasili kwa kuridhia na kutekeleza  mikataba minne ya kudhibiti ujangali wa tembo na unaovuka mipaka na kulinda mapori ya akiba.

Hayo yalisemwa na Naibu Waziri wa Utalii na Maliasili Mahmoud Mgimwa, bungeni Dodoma alipokuwa akijibu swali la Mch. Peter...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani