Tutakomesha biashara haramu ya magogo, maliasili—Serikali

Serikali imesema vita dhidi ya biashara haramu ya magogo itazidishwa ili kuokoa rasilimali muhimu za misitu Tanzania. Biashara hiyo ni kinyume na Sheria ya Misitu ya mwaka 2002 inayozuia kusafirisha magogo yasiyoongezwa thamani kwenda nje ya nchi. Akiongea na waandishi wa habari mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Adelhelm Meru alisema kamwe biashara hiyo haitakubalika kuendelezwa na watu wasio waaminifu kwa taifa lao. “Tutapambana...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog06 Feb
Serikali yajidhatiti kudhibiti ujangili na biashara haramu Nchini
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mahmoud Mgimwa akijibu swali bungeni.(Picha zote na Hussein Makame-MAELEZO, Dodoma).
Na Lorietha Laurence-Maelezo, Dodoma
SERIKALI imejidhatiti katika kudhibiti ujangili na biashara haramu ya mazao ya maliasili kwa kuridhia na kutekeleza mikataba minne ya kudhibiti ujangali wa tembo na unaovuka mipaka na kulinda mapori ya akiba.
Hayo yalisemwa na Naibu Waziri wa Utalii na Maliasili Mahmoud Mgimwa, bungeni Dodoma alipokuwa akijibu swali la Mch. Peter...
10 years ago
Mwananchi07 Oct
Biashara haramu, simu,
11 years ago
Habarileo26 Jul
Serikali yafutia viwanda vibali vya kuni, magogo
SERIKALI imesitisha vibali vyote vilivyotolewa kununua kuni na magogo kwa ajili ya nishati ya kuendesha viwanda mbalimbali nchini na badala yake imevitaka ndani ya muda wa miezi mitatu kuanzia jana viwe vinatumia teknolojia ya makaa ya mawe, umeme na gesi kwa ajili ya kuviendesha viwanda vyao.
11 years ago
Tanzania Daima22 Dec
Mawasiliano biashara haramu yakamatwa
POLISI na Idara ya Uhamiaji Kilimanjaro wamekamata mawasiliano baina ya wahusika wa biashara ya wahamiaji haramu na mawakala wao baada ya kukamatwa watu watatu wanaotajwa kuwa vinara wa biashara ya...
10 years ago
Habarileo13 Mar
Biashara ya fedha haramu yakithiri
KUSHAMIRI kwa fedha haramu nchini kunakofanywa na baadhi ya Watanzania wasio waaminifu ndani na nje ya nchi, kumeisababishia taifa hasara ya bilioni 590/- (dola milioni 328) kila mwaka, imeelezwa.
10 years ago
Mwananchi06 Dec
Biashara haramu ya madini kudhibitiwa
10 years ago
Mwananchi08 Jan
MAHAKAMANI KWA BIASHARA HARAMU.
10 years ago
Mwananchi20 Dec
Victoria yakwamisha udhibiti biashara haramu
11 years ago
Michuzi
BIASHARA HARAMU YA MKAA INAPOFADHILI UGAIDI

Na Mwandishi Maalum, New York
Inaweza ikawa ni taarifa za kushangaza kuwa hata mkaa ambao ni nishati inayotumiwa na jamii kubwa sehemu mbalimbali hususani Barani Afrika kwamba mapato yatokanayo na biashara hiyo yanaweza kuwa chanzo ya mapato kwa makundi ya kigaidi.
Taarifa kwamba mapato yatokanayo na mkaa yanatumika ndivyo sivyo, zimejidhirisha mwishoni mwa wiki ( Ijumaa ) pale Baraza Kuu la Usalama la Umoja wa Mataifa lilipopitisha kwa kura Azimio namba 2182 la mwaka 2014...