Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANZANIA NI NCHI YA SITA KWA KUWA NA IDADI KUBWA YA WATU WENYE UGONJWA WA KIFUA KIKUU BARANI AFRIKA

Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii
Utafiti unaonyesha kuwa zaidi ya asilimia 30 ya vifo vya watu walioathirika na Ukimwi vinatokana na Ugomjwa wa Kifua Kukuu na inakadiriwa  kuwa tangu kuanza  kwa ugonjwa wa ukimwi, kati ya asilimia tano (5) hadi 10 ya watu wenye VVU wana ugonjwa wa kifua kikuu  na takribani ya asilimia 40 wanaouguwa  kifua kikuu  wana maambukizo ya VVU.
Hayo yamesemwa leo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,Dk.Donan Mmbando wakati akitangaza maadhimisho ya siku...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

KIFUA KIKUU NI UGONJWA ULIO GUNDULIKA UNAUA WATU ZAIDI YA MILIONI 1 DUNIANI

Tanzania, watu 120,191 hukisiwa kuwa na ugonjwa wa kifua kikuu kila mwaka, hii ni kutokana na taarifa ya Shirika la USAID ya mwaka 2007 na vifo vinavyotokana na ugonjwa wa kifua kikuu ni 32,000 kila mwaka hapa nchini Tanzania.Takwimu za Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) zinaonyesha kuwa Tanzania ni ya 15 kati ya nchi 22 ambazo zimeathiriwa sana na ugonjwa huu na kwa mujibu wa takwimu za shirika hilo, kwa dunia nzima mwaka 2012 watu milioni 8.6 waliambukizwa ugonjwa wa kifua kikuu, na watu...

 

10 years ago

GPL

KIFUA KIKUU: UGONJWA UNAOUA ZAIDI YA WATU MILIONI 1 DUNIANI KILA MWAKA

Mgonjwa wa kifua kikuu akipatiwa matibabu. KWA Tanzania, watu 120,191 hukisiwa kuwa na ugonjwa wa kifua kikuu kila mwaka, hii ni kutokana na taarifa ya Shirika la USAID ya mwaka 2007 na vifo vinavyotokana na ugonjwa wa kifua kikuu ni 32,000 kila mwaka hapa nchini Tanzania. Takwimu za Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) zinaonyesha kuwa Tanzania ni ya 15 kati ya nchi 22 ambazo zimeathiriwa sana na ugonjwa huu na kwa mujibu wa...

 

11 years ago

Michuzi

KIFUA KIKUU NI UGONJWA WA TATU UNAOSABABISHA VIFO VYA WATU WENGI HAPA NCHINI.

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid wakati akitoa tamko kuhusu ugonjwa  wa kifua kikuu   kwenye ukumbi wa wizara hiyo mjini Dodoma leo.  Baadhi ya waandishi wa habari wakimsilikiza Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid wakati akitoa tamko kuhusu ugonjwa wa kifua kikuu   kwenye ukumbi wa wizara hiyo mjini Dodoma leo    Meneja Mpango  wa kudhibiti kifua kikuu na ukoma, Dk. Beatrice Mutayoba wa kwanza kulia , katikati ni Naibu Meneja wa  mpango  huo, kushoto ni...

 

10 years ago

Bongo5

Utafiti waitaja Tanzania miongoni mwa nchi zenye watu wenye roho mbaya Afrika!

Kwa mujibu wa ripoti ya World Giving Index 2014, Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye watu wenye roho mbaya barani Afrika. Hiyo ni kwa mujibu wa utafiti uliodhaminiwa na Charities Aid Foundation (CAF) na kufanywa na kampuni ya utafiti ya Gallup na kuhusisha nchi 135 duniani kote. Data hizo zilikusanywa kuanzia mwaka 2013. Tanzania ilikamata […]

 

9 years ago

GPL

ELEWA UNDANI WA UGONJWA WA KIFUA KIKUU (TB)-3

Naendelea kuelezea undani wa ugonjwa wa kifua kikuu ambapo leo nitazitaja dalili zake. Watu wenye kifua kikuu tulivu ambao si wagonjwa, wanaweza kutumia vidonge vya Isoniazid kwa miezi mingi ili kuwakinga wasipate kifua kikuu kikali. Shirika la Afya Duniani (WHO) linapendekeza kuwa watu wenye VVU na kifua kikuu tulivu (lakini si kifua kikuu kikali) wapewe kinga ya Isoniazid kama inavyotakiwa. Kifua kikuu chenye usugu wa dawa...

 

9 years ago

GPL

ELEWA UNDANI WA UGONJWA WA KIFUA KIKUU (TB)

Kifua kikuu ambacho ni maarufu kwa kuitwa TB, ni ugonjwa unaosababishwa na kiumbehai. Bakteria wa Mycobacterium Tuberculosis (TB) anaweza kushambulia sehemu yoyote ya mwili, lakini mara nyingi hushambulia mapafu. Mtu anaweza kuwa na kifua kikuu kikali au tulivu. Kifua kikuu kikali au ugonjwa wa TB inamaanisha kuwa bakteria wanashambulia mwili na mfumo wa kinga unashindwa kuwazuia wasisababishe ugonjwa. Watu wenye kifua kikuu...

 

9 years ago

GPL

ELEWA UNDANI WA UGONJWA WA KIFUA KIKUU (TB)-2

Kwa baadhi ya watu, bakteria wa kifua kikuu wanakuwa tulivu maisha yote bila ya kuwa wakali. Lakini kwa watu wengine kifua kikuu kinaweza kuwa kikali iwapo mfumo wa kinga wa mtu unadhoofika- kwa mfano kwa VVU. Kifua kikuu kinaweza kubainishwa kwa kuingiza kiasi kidogo cha dawa inayoitwa Tuberculin kwenye ngozi ya mkono wa mtu. Iwapo ngozi itavimba ni dalili kwamba pengine mtu huyo ameambukizwa kifua kikuu.Hata hivyo, njia hii...

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YAKABIDHIWA MAGARI NA PIKIPIKI KUTOKA SHIRIKA LISILO LA KISERIKALI LA UJERUMANI (GLRA) KWA AJILI YA MPANGO WA TAIFA WA KUDHIBITI UGONJWA WA KIFUA KIKUU NA UKOMA

SERIKALI imepokea msaada wa magari manne na pikipiki 20 zenye thamani ya sh. .261,105,615 kutoka Shirika la Wahisani la Kijerumani linalohudumia Ukoma na Kifua Kikuu (GLRA) kwa ajili ya kusaidia sekta ya afya.
Akipokea msaada huo Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid alisema Tanzania imefikia lengo la kimataifa la kutokomeza ukoma kwa kuwa chini ya mgonjwa mmoja katika watu 10,000 hivyo kufanya ukoma kutokuwa tatizo kubwa la afya nchini.

Alisema pamoja na kupokea msaada huo bado...

 

10 years ago

GPL

SERIKALI YAPOKEA MAGARI NA PIKIPIKI KUKABILIANA NA UGONJWA WA KIFUA KIKUU NA UKOMA NCHINI

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Seif Rashidi (kulia) akipokea ufunguo wa moja kati ya magari kutoka kwa mwakilishi wa shirika la GLRA nchini Burchard Rwamtoga (kushoto) ikiwa ni ishara ya kukabidhi msaada wa gari 4 na pikipiki 20 vyenye thamani ya Tsh. Milioni 261 jijini Dar es salaam. Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Seif Rashidi akiwasha moja kati ya magari manne  aliyoyapokea kutoka kwa… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani