ELEWA UNDANI WA UGONJWA WA KIFUA KIKUU (TB)
Kifua kikuu ambacho ni maarufu kwa kuitwa TB, ni ugonjwa unaosababishwa na kiumbehai. Bakteria wa Mycobacterium Tuberculosis (TB) anaweza kushambulia sehemu yoyote ya mwili, lakini mara nyingi hushambulia mapafu. Mtu anaweza kuwa na kifua kikuu kikali au tulivu. Kifua kikuu kikali au ugonjwa wa TB inamaanisha kuwa bakteria wanashambulia mwili na mfumo wa kinga unashindwa kuwazuia wasisababishe ugonjwa. Watu wenye kifua kikuu...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPLELEWA UNDANI WA UGONJWA WA KIFUA KIKUU (TB)-2
9 years ago
GPLELEWA UNDANI WA UGONJWA WA KIFUA KIKUU (TB)-3
10 years ago
Dewji Blog27 Aug
Serikali yapokea gari na pikipiki kukabiliana na ugonjwa wa kifua kikuu na ukoma nchini
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Seif Rashidi (kulia) akipokea ufunguo wa moja ya gari kutoka kwa mwakilishi wa shirika la GLRA nchini Burchard Rwamtoga (kushoto) ikiwa ni ishara ya kukabidhi msaada wa gari 4 na pikipiki 20 vyenye thamani ya Tsh. Milioni 261 jijini Dar es salaam.
Eleuteri Mangi-MAELEZO
SERIKALI kupitia Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imepokea msaada wa gari 4 na pikipiki 20 vyenye thamani ya Tsh. Milioni 261 kutoka Shirika la GLRA kutoka nchini Ujerumani kwa ajili...
10 years ago
CloudsFM24 Mar
KIFUA KIKUU NI UGONJWA ULIO GUNDULIKA UNAUA WATU ZAIDI YA MILIONI 1 DUNIANI
10 years ago
GPLSERIKALI YAPOKEA MAGARI NA PIKIPIKI KUKABILIANA NA UGONJWA WA KIFUA KIKUU NA UKOMA NCHINI
10 years ago
GPLKIFUA KIKUU: UGONJWA UNAOUA ZAIDI YA WATU MILIONI 1 DUNIANI KILA MWAKA
11 years ago
MichuziKIFUA KIKUU NI UGONJWA WA TATU UNAOSABABISHA VIFO VYA WATU WENGI HAPA NCHINI.
5 years ago
MichuziTAFITI ZA HOSPITALI YA KIBONG’OTO ZASAIDIA DUNIA KATIKA MAPAMBANO YA UGONJWA WA KIFUA KIKUU
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya masuala ya Ukimwi, Madawa ya Kulevya na Kifua Kikuu (kushoto) akizungumza na watoto wagonjwa wa Kifua Kikuu sugu wanaopata matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya...
10 years ago
MichuziTANZANIA NI NCHI YA SITA KWA KUWA NA IDADI KUBWA YA WATU WENYE UGONJWA WA KIFUA KIKUU BARANI AFRIKA
Utafiti unaonyesha kuwa zaidi ya asilimia 30 ya vifo vya watu walioathirika na Ukimwi vinatokana na Ugomjwa wa Kifua Kukuu na inakadiriwa kuwa tangu kuanza kwa ugonjwa wa ukimwi, kati ya asilimia tano (5) hadi 10 ya watu wenye VVU wana ugonjwa wa kifua kikuu na takribani ya asilimia 40 wanaouguwa kifua kikuu wana maambukizo ya VVU.
Hayo yamesemwa leo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,Dk.Donan Mmbando wakati akitangaza maadhimisho ya siku...