SERIKALI YAPOKEA MAGARI NA PIKIPIKI KUKABILIANA NA UGONJWA WA KIFUA KIKUU NA UKOMA NCHINI
![](http://api.ning.com:80/files/jIhV2tSCZFUWmqrJLQ4Z5thYvNi*4wUooQxJqhvF*E3vAOe7pwPRKvP2NHhnHzxcI8igVyu*sE3Mc2gqZc2V7KCOWZiihEdr/001.jpg?width=650)
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Seif Rashidi (kulia) akipokea ufunguo wa moja kati ya magari kutoka kwa mwakilishi wa shirika la GLRA nchini Burchard Rwamtoga (kushoto) ikiwa ni ishara ya kukabidhi msaada wa gari 4 na pikipiki 20 vyenye thamani ya Tsh. Milioni 261 jijini Dar es salaam. Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Seif Rashidi akiwasha moja kati ya magari manne aliyoyapokea kutoka kwa… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog27 Aug
Serikali yapokea gari na pikipiki kukabiliana na ugonjwa wa kifua kikuu na ukoma nchini
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Seif Rashidi (kulia) akipokea ufunguo wa moja ya gari kutoka kwa mwakilishi wa shirika la GLRA nchini Burchard Rwamtoga (kushoto) ikiwa ni ishara ya kukabidhi msaada wa gari 4 na pikipiki 20 vyenye thamani ya Tsh. Milioni 261 jijini Dar es salaam.
Eleuteri Mangi-MAELEZO
SERIKALI kupitia Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imepokea msaada wa gari 4 na pikipiki 20 vyenye thamani ya Tsh. Milioni 261 kutoka Shirika la GLRA kutoka nchini Ujerumani kwa ajili...
10 years ago
MichuziSERIKALI YAKABIDHIWA MAGARI NA PIKIPIKI KUTOKA SHIRIKA LISILO LA KISERIKALI LA UJERUMANI (GLRA) KWA AJILI YA MPANGO WA TAIFA WA KUDHIBITI UGONJWA WA KIFUA KIKUU NA UKOMA
Akipokea msaada huo Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid alisema Tanzania imefikia lengo la kimataifa la kutokomeza ukoma kwa kuwa chini ya mgonjwa mmoja katika watu 10,000 hivyo kufanya ukoma kutokuwa tatizo kubwa la afya nchini.
Alisema pamoja na kupokea msaada huo bado...
11 years ago
MichuziKIFUA KIKUU NI UGONJWA WA TATU UNAOSABABISHA VIFO VYA WATU WENGI HAPA NCHINI.
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dm99ly9wi65ClpkkqsDO6KcpcLDmSj0B9GEz2gtxoeL*qKkyfnEeSJJXlwd2F*vBmzzItBkS7LDflMAJtfMRLXbOjyHBrTxT/TB2.jpg)
ELEWA UNDANI WA UGONJWA WA KIFUA KIKUU (TB)-2
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/08/TB-2.jpg)
ELEWA UNDANI WA UGONJWA WA KIFUA KIKUU (TB)-3
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LGdhCycw6D-MZDP0C1FSiTjO9cCMC-qHhuuQtFc4P06buhX02G-wCm0pD4LlZ4ef6D6cYn6cknne*K72ItmqlNq0IRDG7Og5/Cavitary_tuberculosis.jpg?width=650)
ELEWA UNDANI WA UGONJWA WA KIFUA KIKUU (TB)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/qhmaNpdkdBvheKKBXfM-uGeJyx*5rluJstG92w7*Rn7Usw*wRQRPBL3tBjsPTEce83OF-zggjvq1DoCmWLeaxhRRKL0GVi-2/tb.jpg?width=650)
KIFUA KIKUU: UGONJWA UNAOUA ZAIDI YA WATU MILIONI 1 DUNIANI KILA MWAKA
10 years ago
CloudsFM24 Mar
KIFUA KIKUU NI UGONJWA ULIO GUNDULIKA UNAUA WATU ZAIDI YA MILIONI 1 DUNIANI
![](http://api.ning.com/files/qhmaNpdkdBseM8rcov1OeaUwb3a1MWeB0Gnv4LGB7wDRGCkKzIYsm*4mbDnGcAmha-BelDIMoO26mrSqOek3TwHKUE2jsEGG/kifua2.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-3aDz2jokhhw/XmM0yoc3evI/AAAAAAALhqc/AK8fNF96bo8VuQkqoPHI56ezY6UQRngtgCLcBGAsYHQ/s72-c/6-768x512.jpeg)
TAFITI ZA HOSPITALI YA KIBONG’OTO ZASAIDIA DUNIA KATIKA MAPAMBANO YA UGONJWA WA KIFUA KIKUU
![](https://1.bp.blogspot.com/-3aDz2jokhhw/XmM0yoc3evI/AAAAAAALhqc/AK8fNF96bo8VuQkqoPHI56ezY6UQRngtgCLcBGAsYHQ/s640/6-768x512.jpeg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/03/7.jpeg)
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya masuala ya Ukimwi, Madawa ya Kulevya na Kifua Kikuu (kushoto) akizungumza na watoto wagonjwa wa Kifua Kikuu sugu wanaopata matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya...