Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATHAMINI MADINI VITO WAASWA KUWA WABUNIFU

 Mkurugenzi wa Kitengo cha Uthaminishaji wa Madini ya Almasi na Vito cha Wizara ya Nishati na Madini (TANSORT), Archard Kalugendo (Kulia), akimwongoza Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara, Mhandisi Ngosi Mwihava kuingia Ukumbi wa Semina ya Wathamini Madini ya Vito na Almasi nchini, iliyofanyika Agosti 12 na 13 katika Hoteli ya Gold Crest jijini Mwanza.  Kutoka Kushoto ni Mkurugenzi wa Kitengo cha Uthaminishaji wa Madini ya Almasi na Vito cha Wizara ya Nishati na Madini (TANSORT) Archard Kalugendo,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Watumishi wapya Nishati na Madini waaswa kuwa wabunifu, waadilifu

Mkurugenzi wa Utawala na Utumishi kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Mrimia Mchomvu (aliyesimama), akisisitiza jambo kwa Wafanyakazi wapya wa Wizara hiyo (hawapo pichani), wakati wa ufunguzi wa Mafunzo Elekezi uliofanyika Jumatatu - Machi 23, 2015, katika Ukumbi wa Elimu ya Watu Wazima – Dar es Salaam. Mkurugenzi Mchomvu alifungua rasmi mafunzo hayo kwa niaba ya Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara husika, Mhandisi Ngosi Mwihava.
Mmojawapo wa Washiriki wa Mafunzo Elekezi kutoka Wizara ya Nishati na...

 

10 years ago

Michuzi

Tanzania kuwa kitovu kikuu cha madini ya vito Afrika

Na Greyson Mwase, Bagamoyo
Imeelezwa kuwa Tanzania inatarajia kuwa kitovu kikuu cha madini ya vito barani Afrika baada ya kubainika kuwa na utajiri mkubwa wa madini ya vito. Hayo yalisemwa na mtaalamu wa madini ya vito na almasi kutoka Kitengo cha Uthamini wa Madini ya Vito na Almasi (TANSORT) kilicho chini ya Wizara ya Nishati na Madini Teddy Goliama kwenye semina iliyoshirikisha Makamishna Wasaidizi wa Madini wa Kanda, Afisa Madini Wakazi na Wataalamu kutoka Wizara ya Nishati na...

 

9 years ago

Habarileo

Wathamini madini watakiwa kutatua changamoto zao

KAIMU Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Ngosi Mwihava amewataka Wathamini Madini ya Vito na Almasi nchini, kuendelea kuwa wabunifu kutafuta majibu na suluhisho kwa changamoto zinazokabili tasnia ya vito nchini.

 

10 years ago

Michuzi

uhaba wa walimu na watalamu wa kundisha namna ya ukataji vito na madini ni tatizo kubwa katika sekta ya madini

Na Woinde Shizza,Arusha
Sekta ya madini nchini bado inakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo uhaba wa walimu na wataalamu wa kufundisha namna ya ukataji wa vito vya madini hali inayosababisha kuuzwa kwa madini ghafi nje ya nchi na kupelekea kuuzwa kwa bei ya chini na pesa nyingi kwenda nje ya nchi .
Hayo yameelezwa na mratibu wa kituo cha Jimolojia Tanzania,Musa Shanyangi wakati akiongea na waandishi wa habari katika kituo hicho kinachotoa mafunzo ya ukataji madini ya vito,ambapo wameanza...

 

10 years ago

Michuzi

Tanzania, Thailand kushirikiana katika madini na vito

Mkurugenzi wa Kitengo cha Uthaminishaji wa Madini ya Almasi na Vito cha Wizara ya Nishati na Madini (TANSORT), Archard Kalugendo (mwenye shati la batiki), akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Taasisi ya Wafanyabiashara wa Madini ya Vito wa Thailand, walipotembelea Banda la Tanzania katika Maonesho ya 54 ya Vito na Usonara ya Bangkok, yaliyofanyika Septemba 9 hadi 13 mwaka huu.Makamu wa kwanza wa Rais wa Taasisi ya Wafanyabiashara wa Madini ya Vito na Usonara wa Thailand, Bw. Sutipong...

 

11 years ago

Michuzi

MAONESHO YA 53 YA KIMATAIFA YA MADINI YA VITO NA USONARA YAFUNGULIWALIWA RASMI

Kamishna Msaidizi wa Madini ,Wizara ya Nishati na Madini , Mhandisi Hamis Komba akiongea jambo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara ya Thailand Mhe. Srirat Rastapana mara baada ya kufungua maonesho ya 53 ya “Bangkok Gems & Jewelry Fair” mapema leo. Nyuma ya Kamishna ni Bw. Edward Rweymamu ni Mthamini wa Madini ya Almas Wizara ya Nishati na Madini. Kushoto Mhe. Dora Mushi mfanyabiashara wa madini kutoka Arusha. Rais wa Shirikisho la madini ya vito na usonara la Thailand Bw. Somchai...

 

10 years ago

Michuzi

Simbachawene atembelea Banda la Tanzanite One katika maonesho ya nne ya kimataifa ya madini ya vito, jijini Arusha

Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene (kulia) akipata maelezo kwa wakurugenzi wa kampuni ya Tanzanite One, Faisal Juma Shabhai na Hussein Gonga, kuhusiana na uchimbaji wa madini ya Tanzanite, baada ya kutembelea kituo cha kampuni hiyo, katika maonesho ya nne ya kimataifa ya madini ya vito, yanayoendelea Mount Meru hotel.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani