Tanzania yateuliwa kuwa Kitivo cha taasisi
Jumuiya ya Umoja wa Nchi za Afrika AU imeiteua Tanzania kuwa Kitivo cha Taasisi ya Elimu ya juu ya Sayansi ya Hesabu AIMS kwa ajili ya Wanafunzi wote wa Afrika wanaotaka kupata Shahada ya juu ya Somo hilo.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya ufundi Stadi Dokta Shukuru Kawambwa amesema kuanzishwa kwa chuo hicho ni mpango wa Afrika kuibua Wasomi wa Hesabu watakaotumika kama nyenzo ya kuwavutia vijana wengi kulipenda somo hilo.
Dokta Kawambwa amesema Chuo hicho ambacho kimejenga kwenye majengo ya...
StarTV
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-T6FsD0nwTm4/UxF_KBgcR-I/AAAAAAAFQWM/IY_MmSfqmmM/s72-c/unnamed+(78).jpg)
Shirikisho la Madini Thailand kuisaidia Tanzania kuwa kitivo cha Madini Afrika
10 years ago
Mwananchi05 Sep
Tanzania yateuliwa kuwa eneo la mfano
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-m8jqrV300f0/VoOnPQvxSfI/AAAAAAAIPTw/PWCBqZ8_1ak/s72-c/001.jpg)
WANAFUNZI WA KITIVO CHA BIASHARA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM WANUFAIKA NA SEMINA MAALUM YA MASUALA YA BIASHARA ILIYOANDALIWA NA VODACOM TANZANIA
![](http://4.bp.blogspot.com/-m8jqrV300f0/VoOnPQvxSfI/AAAAAAAIPTw/PWCBqZ8_1ak/s640/001.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-9qGutUG9JVw/VoOnSMuWAfI/AAAAAAAIPT8/qMI2-9wi-ZU/s640/002.jpg)
9 years ago
Dewji Blog26 Oct
JK amteua Joel Laurent kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TEA)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Ndugu Joel Laurent kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TEA). Uteuzi huo ulianza Oktoba 18, mwaka huu, 2015.
Kabla ya uteuzi wake, Ndugu Laurent alikuwa Katibu wa Taasisi hiyo ya TEA na ndiye amekuwa anakaimu nafasi ya Mkurugenzi Mkuu.
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu,
DAR ES SALAAM.
26 Oktoba, 2015
10 years ago
Mwananchi03 Apr
Tanzania kuwa kituo cha usuluhishi
5 years ago
BBCSwahili16 Mar
Coronavirus: Tanzania yathibitisha kuwa na kisa cha kwanza
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ydmNf6OSy9E/U-4gUynykdI/AAAAAAAF_4Y/Umf45bDTC9Q/s72-c/unnamedn.jpg)
Tanzania kuwa kitovu kikuu cha madini ya vito Afrika
![](http://4.bp.blogspot.com/-ydmNf6OSy9E/U-4gUynykdI/AAAAAAAF_4Y/Umf45bDTC9Q/s1600/unnamedn.jpg)
Imeelezwa kuwa Tanzania inatarajia kuwa kitovu kikuu cha madini ya vito barani Afrika baada ya kubainika kuwa na utajiri mkubwa wa madini ya vito. Hayo yalisemwa na mtaalamu wa madini ya vito na almasi kutoka Kitengo cha Uthamini wa Madini ya Vito na Almasi (TANSORT) kilicho chini ya Wizara ya Nishati na Madini Teddy Goliama kwenye semina iliyoshirikisha Makamishna Wasaidizi wa Madini wa Kanda, Afisa Madini Wakazi na Wataalamu kutoka Wizara ya Nishati na...
10 years ago
Mwananchi21 Jan
Hospitali ya Mbeya yateuliwa kupima ebola
5 years ago
BBCSwahili16 Mar
Tanzania yathibitisha kuwa na kisa kimoja cha virusi vya corona