Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania yateuliwa kuwa eneo la mfano

Tanzania imeteuliwa kuwa miongoni mwa nchi sita duniani ambazo zitatumika kama eneo la mfano katika mpango mkakati ambao una lengo la kujadili na kupanua wigo wa vita dhidi ya malaria.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Tanzania yateuliwa kuwa Kitivo cha taasisi

 

Jumuiya ya Umoja wa Nchi za Afrika AU imeiteua Tanzania kuwa Kitivo cha Taasisi ya Elimu ya juu ya Sayansi ya Hesabu AIMS kwa ajili ya Wanafunzi wote wa Afrika wanaotaka kupata Shahada ya juu ya Somo hilo.

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya ufundi Stadi Dokta Shukuru Kawambwa amesema kuanzishwa kwa chuo hicho ni mpango wa Afrika kuibua Wasomi wa Hesabu watakaotumika kama nyenzo ya kuwavutia vijana wengi kulipenda somo hilo.

 

Dokta Kawambwa amesema Chuo hicho ambacho kimejenga kwenye majengo ya...

 

11 years ago

Michuzi

Tanzania yatajwa kuwa eneo muhimu kuzalisha methano

Ujumbe wa Tanzania uliopo nchini Canada kwa ziara ya mafunzo ukiongozwa na Naibu Waziri Nishati na Madini, Charles Kitwanga (aliyenyoosha mkono), ukiwa katika chumba cha kusimamia mitambo ya kuzalisha methano (haionekani pichani) katika kiwanda cha kuzalisha malighafi hiyo kilicho katika jimbo la Alberta nchini Canada. Ujumbe wa Tanzania uliopo nchini Canada ukiongozwa na Naibu Waziri Nishati na Madini, Charles Kitwanga (wa nne kutoka kushoto, waliosimama), ukiwa katika picha ya pamoja na...

 

9 years ago

StarTV

Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi chatajwa kuwa mfano

Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi MPA mkoani Kilimanjaro kimetajwa kuwa huenda kikawa chuo cha mfano kwa wakulima wa mbogamboga na matunda mkoani humo kutokana na kuanzisha kilimo bora cha kisasa ambacho kinatajwa kuleta tija zaidi.

Mkuu wa chuo hicho Matanga Mbushi amebainisha hayo wakati wa ziara ya mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Amos Makalla alipotembelea chuoni hapo na kujionea hali halisi ya kilimo hicho.

 Aslimia kubwa ya wakulima wa mbogamboga na matunda hapa nchini  hulima kwa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Wanafunzi wa sekondari ya wasichana Makete watakiwa kuwa mfano bora kielimu na kitabia

unnamed (1)

Mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro akizungumza na wanafunzi wa Makete Girls Sekondari (hawapo Pichani).

unnamed

Wanafunzi wakimsikiliza mkuu wa wilaya ya Makete Mh Josephine Matiro.

unnamed (2)

Maktaba ya shule hiyo.

unnamed (3)

unnamed (4)

Mkuu wa wilaya ya Makete Josephine Matiro akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi na walimu wa shule hiyo.

unnamed (5)

Mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro (wa tatu kushoto) akiwa na walimu wa shule hiyo, wa kwanza kulia ni Afisa Taaluma sekondari wilaya hiyo.(Picha zote na Edwin...

 

11 years ago

GPL

WANAFUNZI WA SEKONDARI YA WASICHANA MAKETE WATAKIWA KUWA MFANO BORA KIELIMU NA KITABIA‏

Mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro akizungumza na wanafunzi wa Makete Girls Sekondari (hawapo Pichani) Wanafunzi wakimsikiliza mkuu wa wilaya ya Makete Mh Josephine Matiro Maktaba ya shule…

 

11 years ago

GPL

UBOVU WA BARABARA ENEO LA VIWANDA VYA KUSAGA NA KUKAMUA MAFUTA ENEO LA SIDO MBEYA NI KERO KWA WAFANYA BIASHARA ENEO HILO

 Hii dimbwi ambalo maji yametuama na kutunza uchafu.  Barabara iendayo kutokea uwanja wa zamani wa ndege mbeya ukiwa umejaa maji.…

 

5 years ago

Michuzi

RC Wangabo awataka Waganga wa tiba asili na machifu wa Mkoa kuwa mfano katika mapambano dhidi ya Corona


Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo akitoa maagizo kwa Machifu na Waganga wa Tiba asili wa mkoa wa Rukwa (hawapo pichani) katika kikao kifupi alichokutana nao ili kuwaelimisha juu ya ugonjwa wa CoronaMkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo (aliyekaa katikati) pamoja na Katibu Tawala wa Mkoa wa Rukwa Benard Makali (Kushoto) na kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Dkt. Emanuel Mtika katika Picha ya pamoja na baadhi ya Waganga wa Tiba Asili wa mkoa wa Rukwa. Mkuu...

 

11 years ago

Mwananchi

Mkurugenzi ampinga meya eneo la shule kuwa makaburi

Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya, Mussa Nzugiza amesema, hatakubali kushiriki mpango wa kumega eneo la Sekondari ya Mbeya kutumika kwa ajili ya makaburi.

 

10 years ago

Mwananchi

Hospitali ya Mbeya yateuliwa kupima ebola

Hospitali ya Rufaa Mbeya (MRH),  imeteuliwa rasmi kuwa na maabara maalumu ya kuwapima watu watakaohisiwa kuwa na virusi vya ugonjwa wa ebola.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani