Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkurugenzi ampinga meya eneo la shule kuwa makaburi

Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya, Mussa Nzugiza amesema, hatakubali kushiriki mpango wa kumega eneo la Sekondari ya Mbeya kutumika kwa ajili ya makaburi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MEYA BUKOBA AJIUZULU, MKURUGENZI WAKE AVULIWA UONGOZI

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh akisoma ripoti ya ukaguzi maalum iliyowaondoa viongozi wa manisapaa Bukoba. MEYA wa Manispaa ya Bukoba, Anatory Amani amejiuzulu wakati Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, Khamis Kaputa na wakuu  wa idara tatu ambao ni Mhandisi Nimzihilwa, Ofisa  Ugavi Baraka Marwa na Mweka Hazina Ulomi wakivuliwa uongozi baada ya ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za...

 

10 years ago

Habarileo

Mkurugenzi Moshi atuhumiwa kuuza eneo la wazi

KIKAO cha Baraza la Madiwani Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro, kimevunjika baada ya kumtuhumu Mkurugenzi wa halmashauri hiyo, Shaaban Mtarambe kuuza eneo la wazi la umma lenye thamani ya zaidi ya Sh bilioni 1.5.

 

5 years ago

Michuzi

MADIWANI KINONDONI WAMPONGEZA MEYA SITTA, MKURUGENZI KAGURUMJULI KWA KUFANYA VIZURI KWENYE MIRADI YA MAENDELEO

Baraza la madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni limewapongeza Mhe. Mstahiki Meya Benjamini Sitta pamoja na Mkurugenzi Bwana Aron Kagurumjuli kwa kutekeleza miradi mikubwa katika kipindi cha miaka mitano ya utendaji wao wa kazi.

Pongezi hizo zimetolewa na Madiwani hao wakati wa kikao cha Baraza la madiwani robo ya tatu ya mwaka ambapo wamesema kuwa katika kipindi ambacho wamekuwa madiwani wameshuhudia miradi mikubwa ambayo imetekelezwa ikiwa ni juhudi kubwa zinazofanywa na viongozi...

 

10 years ago

Michuzi

VIWANJA NA ENEO LA SHULE VINAUZWA


VIWANJA HIVI VIPO KIGAMBONI,KATA YA PEMBA MNAZI,MTAA WA MUHIMBILI (TUNDWI CENTER),VIPO UMBALI WA MITA 600 - 700 KUTOKA BARABARA KUU,NI VIWANJA VILIVYOPIMWA.

ENEO  LA SHULE NI KWA AJILI YA CHEKECHEA,PRIMARY PAMOJA NA SEKONDARI ,UKUBWA WA ENEO HILO NI  35,022 SQM.
 KWA MAELEZO ZAIDI JUU YA VIWANJA HIVYO,WASILIANA NA NDG. JAMES MPAYO KWA NAMBA HIZO HAPO CHINI.0784 207877 NA 0754 780878PIA UNAWEZA KUMTUMIA EMAIL: JMPAYO@OVI.COM

 

5 years ago

Michuzi

MSTAHIKI MEYA MANISPAA YA ILALA APIGA JEKI SHULE YA SEKONDARI YA VINGUNGUTI


MSTAHIKI Meya Manispaa ya Ilala, Omary Kumbilamoto amefanya Ziara yake ya kikazi katika shule ya Sekondari Vingunguti, katika Ziara hiyo Mstahiki Meya aliambatana na Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Vingunguti pamoja na Wajumbe wa Mashina.
Lengo la ziara hiyo ni  kukagua Ujenzi wa Madarasa Manne yanajengwa katika shule hiyo. Mstahiki aliwapongeza Walimu wa Shule hiyo ya Sekondari Vingunguti kwa usimamizi wa Ujenzi wa Madarasa hayo manne.
Uongozi wa Shule hiyo ulimpongeza Mstahiki...

 

10 years ago

Mwananchi

Malisa: Nawiwa kuwa meya Manispaa ya Moshi

Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha) limo kwenye harakati za uchaguzi wa viongozi wake na tayari uchukuaji wa fomu umeanza.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mstahiki Meya wa Ilala Jerry Silaa ashusha neema kwa shule ya msingi Kivule‏‎

Meza kuu ikiwa imepambwa na viongozi mbalimbali kwaajili ya kupokea msaada wa madawati.

Meya wa manispaa ya  Ilala Jerry silaa akabidhi msaada wa madawati mia moja katika shule ya msingi kivule iliyopo jijini dar es salaam ikiwa ni mpango aliouanzisha na kuanza kuutekeleza kupitia (Mayors Ball) katika mpango huo madawati hayo yamekabidhiwa kwa mwalimu mkuu wa shue hiyo pamoja na diwani wa kata ya kivule na afisa elimu wa manispaa ya ilala walikuwepo katika shuguli hiyo ya kupokea msaada...

 

11 years ago

GPL

UBOVU WA BARABARA ENEO LA VIWANDA VYA KUSAGA NA KUKAMUA MAFUTA ENEO LA SIDO MBEYA NI KERO KWA WAFANYA BIASHARA ENEO HILO

 Hii dimbwi ambalo maji yametuama na kutunza uchafu.  Barabara iendayo kutokea uwanja wa zamani wa ndege mbeya ukiwa umejaa maji.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani