Burundi wakataa walinzi wa AU
Bujumbura, Burundi. Bunge la Burundi limepinga mpango wa Umoja wa Afrika (AU) wa kupeleka walinzi wa amani nchini humo kudhibiti machafuko yanayoendelea kutokea na raia kuuawa na wengine kukimbia nchi yao. Spika wa Bunge la Burundi, Paschal Nyabenda , alisema majadiliano hayo yalilenga kuonyesha hakuna haja ya kutuma kikosi kwa sababu hakuna mauaji ya kikabila nchini humo. Bunge hilo limethibitisha kulikuwa na mauaji tangu Aprili na Pierre Nkurunziza kutangaza kutetea urais kwa awamu ya tatu...
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili28 Sep
Walinzi wa rais wakataa kusalimu silaha B Faso
10 years ago
Habarileo20 Aug
Wabunge wakataa kubanwa
BAADHI ya wabunge wa Bunge Maalum la Katiba, wamependekeza kuondoa kwenye rasimu ya Katiba mpya, kipengele kinachotaka wananchi wapewe uwezo kisheria, kuwaondoa wabunge wao wasioweza kutatua kero za wapigakura wao, badala ya kusubiri mpaka baada ya Uchaguzi Mkuu.
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Sg8I27-Rz4zlRzIoTvc-ukFFSznKfCh*R0kgfn41GZKb1GaVKQAbBHPsDW6M0AQ78tcjlQGC9410r2PtWll8ZqvfBfVqW6Eu/Walinziz.jpg)
WALINZI WAKOMBA BILIONI 1.8
10 years ago
Mtanzania27 Apr
Walinzi Chadema mbaroni
Na Pendo Fundisha, Mbeya
JESHI la Polisi mkoani Mbeya linawashikilia watu wawili wanaodaiwa kuwa makada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambao ni vijana wa kikosi cha ulinzi cha chama hicho (Red Brigade), wakidaiwa kuwa na sare za jeshi na silaha zikiwamo za jadi.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mbeya, Ahmed Msangi, alisema vijana hao walikamatwa juzi jioni katika eneo la Sogea wilayani Momba, baada ya kutolewa taarifa na raia...
11 years ago
Mwananchi17 Feb
Maaskofu wakataa ushoga Uingereza
11 years ago
BBCSwahili18 Feb
Chui wakataa kumshambulia, China
10 years ago
BBCSwahili12 Jun
Walimu wakataa kurudi kazini
9 years ago
Mwananchi09 Nov
Wananchi wakataa kupokea maabara
11 years ago
Mwananchi16 May
Wakataa kilimo cha mkataba