Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chui wakataa kumshambulia, China

Mwanamume mmoja nchini China amenusurika kifo katika hifadhi ya wanyama pori nchini humo, baada ya kujirusha ndani ya hifadhi hiyo akisema alitaka 'kuwalisha' wanyama hao hatari.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Kingunge- Ni makosa kumshambulia Warioba

MWANASIASA mkongwe na Mjumbe wa Bunge wa Bunge Maalumu, Kingunge Ngombale-Mwiru, amesema si halali kumshambulia aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko, Jaji Joseph Warioba na ameonya wanaotoa lugha chafu dhidi yake, wasitumie Chama Cha Mapinduzi (CCM) kama kinga yao.

 

11 years ago

Mwananchi

CCM waomba radhi kumshambulia mwandishi

Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Mara, kimeomba radhi kwa chama cha waandishi wa habari mkoani humo (MRPC) kutokana na kitendo kilichofanywa na wafuasi wa chama hicho tawala, kwa kumpiga mwandishi wa habari wa gazeti hili na kusema kuwa waliohusika watachukuliwa hatua.

 

11 years ago

Mwananchi

Kortini kwa tuhuma za kumshambulia mtoto

Mkazi mmoja wa Kitangiri jijini Mwanza, Sophia Rafael (32), amepandishwa kizimbani kwa tuhuma za kumng’ata kidole mtoto wake.

 

11 years ago

GPL

MZEE KINGUNGE: SI SAHIHI KUMSHAMBULIA JAJI WARIOBA!

MWANASIASA Mkongwe nchini, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru amesema si sawa kumshambulia Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Warioba wakati akichangia katika Majadiliano ya Bunge zima kwa sura ya kwanza na sita ya Bunge Maalum la Katiba hivi…

 

10 years ago

Bongo5

Kesi ya Kanye West kumshambulia paparazzi yafutwa!

Kanye West na paparazzi aliyemshambulia wamemaliza tofauti zao kwa kumuomba msamaha na kushikana mikono. West alishtakiwa na Daniel Ramos baada ya mwaka 2013 kumshambulia wakati akiwa kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Los Angeles na kesi hiyo ilikuwa isikilizwe wiki ijayo. Wakili wa Ramos, Gloria Allred aliandika maelezo jana Jumanne kuwa kesi hiyo imemalizika […]

 

9 years ago

Mwananchi

Mgombea ubunge adaiwa kumshambulia ofisa wa chama chake

Aliyekuwa mgombea ubunge wa Morogoro Mjini (Chadema), Albanie Marcossy anatafutwa na Polisi mkoani hapa kwa madai ya kumshambulia kwa kumpiga Katibu Mwenezi wa chama hicho wilaya, Shabani Dimoso.

 

9 years ago

Bongo Movies

Baada ya Baadhi ya Mashabiki Kumshambulia kwa Maneno, JB Asema Haya

Kufuatia kitendo baadhi ya mashabiki kumshabulia kwa maneno makali staa wa Bongo Movies, JB kwa kuonyesha mapenzi yake kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuelekea uchaguzi wa mwaka huu, JB amefunguka haya kwenye ukurasa wake mtandaoni kuwataka wabadilike kimtazamo.

Hakuna kitu muhimu kwenye maisha kama furaha....lakini furaha ina ambatana na kufanya mambo ambayo moyo wako unapenda bila kuvunja sheria.

Kuishi maisha ya kuogopa kitu unachopenda kwa sababu ya watu ni kuinyima furaha roho...

 

10 years ago

TheCitizen

JKT Stars gun down Chui

JKT Stars made light work of Chui in the on-going Azam RBA League game after recording a resounding 92-59 victory at the National Indoor Stadium on Saturday night.

 

10 years ago

GPL

GENEVIEVE, OMOTOLA CHUI NA PAKA

Staa wa filamu za Kinigeria, Genevieve Nnaji. MASTAA wawili wanaotikisa Nollywood, Omotola Ekeinde pamoja na Genevieve Nnaji inadaiwa hawapatani hata kidogo ‘chui na paka.’Chanzo kinafunguka kuwa japokuwa hivi karibuni Rais wa Chama cha Waigizaji Nigeria, Ibinabo Fiberesima alilazimika kuingilia kati na kuwakusanya pamoja lakini imekuwa vigumu. Muigizaji wa filamu za Kinigeria, Omotola Jalade. “Genevieve...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani