Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GENEVIEVE, OMOTOLA CHUI NA PAKA

Staa wa filamu za Kinigeria, Genevieve Nnaji. MASTAA wawili wanaotikisa Nollywood, Omotola Ekeinde pamoja na Genevieve Nnaji inadaiwa hawapatani hata kidogo ‘chui na paka.’Chanzo kinafunguka kuwa japokuwa hivi karibuni Rais wa Chama cha Waigizaji Nigeria, Ibinabo Fiberesima alilazimika kuingilia kati na kuwakusanya pamoja lakini imekuwa vigumu. Muigizaji wa filamu za Kinigeria, Omotola Jalade. “Genevieve...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Chui kanyeshewa kawa paka uwanjani Nyayo

SuperSport FC imetoka sare ya 2-2 na AFC Leopards na kufuzu kwa raundi ijayo ya kombe la Shirikisho barani Afrika

 

10 years ago

GPL

DIAMOND AKIRI KUMPENDA OMOTOLA

Mwandishi wetu KING wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ametengeneza kichwa cha habari nchini Nigeria baada ya kufunguka kuwa anampenda ‘vibaya’ staa wa filamu nchini humo, Omotola Jalade Ekeinde, Ijumaa lina stori kamili. Soma zaidi hapa =====>bit.ly/1UfBJSI

 

10 years ago

GPL

NI MUME WANGU TU NDIYE ANAYEWEZA KUNIDHIBITI - OMOTOLA

Nyota wa filamu wa Nigeria, Omotola Jalade.
Omotola Jalade , nyota wa filamu wa Nigeria ambaye amefikisha miaka 20 katika tasnia hiyo na kuwa alama ya fahari ya tasnia ya filamu ya Nollywood ya Nigeria, ametoa ya moyoni kuhusu kinachomfanya asitetereke kwenye ndoa yake ambayo imempatia watoto wanne. Omotola Jalade akiwa na mumewe Mattew Ekeinde.
Kipenzi huyo cha mamilioni ya wapenda filamu… ...

 

10 years ago

GPL

OMOTOLA: MUME WANGU ANAKWENDA SOKONI, MIMI NAPIKA

Staa wa filamu za Nollywood, Omotola Jalade. Lagos, Nigeria
STAA wa filamu za Nollywood, Omotola Jalade, ameamua kufunguka juu ya maisha anayoishi na mume wake, Matthew Ekeinde.Omotola ambaye hivi karibuni alifanya mkutano na vijana mbalimbali wenye ndoto za kucheza filamu, aliwaeleza juu ya maisha anayoishi na mumewe kuwa, yeye kazi yake kubwa ni kupika tu. Omotola akiwa na mumewe.
“Mimi kazi yangu kubwa katika maisha...

 

11 years ago

GPL

SHAMSA ATESWA NA GENEVIEVE

  Na Nyemo Chilongani MUIGIZAJI wa Bongo Movies, Shamsa Ford amefunguka anaumia sana na mafanikio ya waigizaji wa Nigeria kama Genevieve kwani ndoto yake ni kufanya zaidi ya wao. Mwigizaji wa Bongo Movies, Shamsa Ford. Shamsha alifunguka hayo wiki iliyopita na kudai kila siku wasanii wa nyumbani wamekuwa wakishindwa kufika levo za mastaa hao kwa kutokuwa na mipango endelevu.… ...

 

9 years ago

GPL

GENEVIEVE NNAJI AZUNGUMZIA ISHU YA KUOLEWA

Queen wa Filamu za Kinigeria, Genevieve Nnaji. Lagos, Nigeria
QUEEN wa Filamu za Kinigeria, Genevieve Nnaji, hivi karibuni amefunguka kuwa hana mpango wa kuolewa, maana bado hajampata mwanamme wa kuanza naye maisha ya ndoa. Genevieve, 36, aliyazungumza hayo mwishoni mwa wiki iliyopita alipokuwa akifanya mahojiano na mtandao mmoja wa kiburudani wa Nollywood, hasa pale alipoulizwa kama alikuwa na mpango wa kuolewa hivi karibuni....

 

9 years ago

Global Publishers

Baba wa mwigizaji Genevieve Nnaji afikisha miaka 80

image

Mwigizaji Genevieve Nnaji akiwa na baba’ke.

MWIGIZAJI wa kike wa Nigeria, Genevieve Nnaji, jana alijirusha kwa furaha katika sherehe ya baba yake kutimiza miaka 80 siku ya Desemba 15, 2015.

Genevieve aliandika katika ukurasa wake wa mtandao wa Instragram leo asubuhi akimshukuru Mungu kwa kumlinda baba yake hadi leo ambapo alipiga naye picha na baba yake.

Baba yake Genevieve ambaye ni moto wa nne miongoni mwa watoto wanane wa familia yake, alikuwa mhandisi kabla ya kustaafu.

 

11 years ago

BBCSwahili

Chui wakataa kumshambulia, China

Mwanamume mmoja nchini China amenusurika kifo katika hifadhi ya wanyama pori nchini humo, baada ya kujirusha ndani ya hifadhi hiyo akisema alitaka 'kuwalisha' wanyama hao hatari.

 

9 years ago

BBCSwahili

Chui amuua mhudumu New Zealand

Mhudumu mmoja wa bustani ya kuhifadhi wanyama ameuawa na chui mwenye milia huko Hamilton New Zealand.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani