NI MUME WANGU TU NDIYE ANAYEWEZA KUNIDHIBITI - OMOTOLA
![](http://api.ning.com:80/files/rWr07F5d70uSLcd3j62S*PQ6ovUJUUGanPFwbCDgFTri9a*sNRio5nkJ9OsPGHFBpxDLwn2VPdt2S7cCnpc6IecIsMtPFUaj/OmotolaJalade37thbirthday.jpg?width=650)
Nyota wa filamu wa Nigeria, Omotola Jalade. Omotola Jalade , nyota wa filamu wa Nigeria ambaye amefikisha miaka 20 katika tasnia hiyo na kuwa alama ya fahari ya tasnia ya filamu ya Nollywood ya Nigeria, ametoa ya moyoni kuhusu kinachomfanya asitetereke kwenye ndoa yake ambayo imempatia watoto wanne. Omotola Jalade akiwa na mumewe Mattew Ekeinde. Kipenzi huyo cha mamilioni ya wapenda filamu… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EWMw8iXl*iWIkJai7bVtr9dWdJZ3MHgQPEvNUCBYWoGzKprU871KQfUgIRAoLUxAPLvb6bI7bcE343XAr-NMoYI5j*vIQA5p/OMOTOLA_Invest_Africa_01Feb.jpg?width=650)
OMOTOLA: MUME WANGU ANAKWENDA SOKONI, MIMI NAPIKA
9 years ago
Bongo529 Dec
Mama wa Mtoto wangu wa nne ndiye atakuja kuwa mke wangu – Nay Wa Mitego
![Chagga-na-Nay](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Chagga-na-Nay-300x194.jpg)
Nay Wa Mitego ni staa ambaye miezi michache iliyopita alikuwa hakosekani kwenye ‘headlines’ kutokana na uhusiano wa kimapenzi na muigizaji wa Bongo movie, Shamsa Ford uliokuwa ukifatiliwa sana na mashabiki wao.
Uhusiano wa Nay na Shamsa ambao kwa mujibu wa Nay ulidumu kwa takribani miezi mitano, ulizaliwa muda mfupi baada ya Nay kuachana na mama wa mtoto wake wa tatu Curtis, Siwema ambaye baada ya kujifungua mtoto huyo waliachana na Nay kumchukua mwanaye.
Chagga Barbie na Nay Wa Mitego
Siku...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/fXUwj8AcBIlkFoOtGIWi2WTrC-EbDaDZYf*VnfC038oJEfTUjJ4xVMbqPr7bAhphV222lSS034ADfWSENkyYLtK79hQri4oY/wananitesa.jpg)
MAMA: WACHAWI WANANITESA, WATOTO WANGU 8, MUME WANGU WAMEKUFA KWA UGONJWA WA AJABU
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/kt*hMWIEF*CDy9YhLF-LRpaUmemYogw3ip3dmGnT7nlHHq7sLyVf2PbqNoXcIvB-MFd5GlV394b27v2Tjl*2AC9ebU6wG80Q/shilole.jpg?width=650)
SHILOLE: MPENZI WANGU NDIYE ANAYENITIBU VIZURI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1D30FS3uSctmlHjp4vARAaZy7TCeHNrPJHDlMdKOevy85rGulzKyRRb6hvyNHAHU0z7Bx6jjbIOk8hV*BUJVrePExLm6sq32/diamond....jpg)
DIAMOND: PENNY NDIYE MWALIMU WANGU WA KIINGEREZA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mMRmJLLEzVGAQKXNOuPF0D7VJvzjYn5JGM4F-Hy6uQQNWU84j9ScNvsZLHEm34wNqrjAdygZ9NBPNNDmqT53zWYFx3qshgvY/2.jpg?width=650)
SHAMSA: SIJAACHANA NA MUME WANGU
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8l--NuzR*jGP9-7cwesnxrokm3yl3TcMgtAT86eCl2XaHIkLV2GfPmi4f0XnLrn5CaGkQGjhNAhiPEweGRIP87BiBcRZ5Jlm/shamsa.jpg?width=650)
SHAMSA: MSIMSOGELEE MUME WANGU!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tV6jtHhMLWyMu9OStupI-oHOEXcHngty*imrl6z0HZWHbkdt7RA-oC6knxzsVWLdJlWcuHdcC6SGlDng3eQ2oY7iUXn94ifz/DIVA.jpg?width=650)
DIVA: ZITTO NI MUME WANGU
10 years ago
Bongo Movies09 Apr
Shamsa: Sijutii Kuachana na Mume Wangu
Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Shamsa Ford amesema kamwe hatajutia kitendo cha kuachana na mumewe, Dickson.
Akiongea na gazeti la Amani Shamsa alisema kuwa kipindi chote wakati yupo kwenye uhusiano na mumewe huyo waliefunga naye ndo ya kimilia alikuwa akiteseka na kupata shuruba nyingi japo hakuwa tayari kuziweka hadharani.
“Sijutii kuachana na mume wangu, nimepitia mateso mengi, sikotayari kurudi japokuwa nina motto naye” Shamsa alisema.
Kwa sasa inadaiwa Shamsa anatoka na Staa wa...