OMOTOLA: MUME WANGU ANAKWENDA SOKONI, MIMI NAPIKA
![](http://api.ning.com:80/files/EWMw8iXl*iWIkJai7bVtr9dWdJZ3MHgQPEvNUCBYWoGzKprU871KQfUgIRAoLUxAPLvb6bI7bcE343XAr-NMoYI5j*vIQA5p/OMOTOLA_Invest_Africa_01Feb.jpg?width=650)
Staa wa filamu za Nollywood, Omotola Jalade. Lagos, Nigeria STAA wa filamu za Nollywood, Omotola Jalade, ameamua kufunguka juu ya maisha anayoishi na mume wake, Matthew Ekeinde.Omotola ambaye hivi karibuni alifanya mkutano na vijana mbalimbali wenye ndoto za kucheza filamu, aliwaeleza juu ya maisha anayoishi na mumewe kuwa, yeye kazi yake kubwa ni kupika tu. Omotola akiwa na mumewe. “Mimi kazi yangu kubwa katika maisha...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rWr07F5d70uSLcd3j62S*PQ6ovUJUUGanPFwbCDgFTri9a*sNRio5nkJ9OsPGHFBpxDLwn2VPdt2S7cCnpc6IecIsMtPFUaj/OmotolaJalade37thbirthday.jpg?width=650)
NI MUME WANGU TU NDIYE ANAYEWEZA KUNIDHIBITI - OMOTOLA
9 years ago
Raia Tanzania28 Aug
9 years ago
Mtanzania28 Aug
Mama Lowassa: Kwanini wamtungie mume wangu uongo? Waniulize mimi
NA AGATHA CHARLES, DAR ES SALAAM
MKE wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, Regina, amesema anashindwa kuelewa ni kwanini watu wanatunga uongo kuhusu mumewe.
Akizungumza katika mkutano na wanawake kutoka vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Regina alisema yeye ni mtu pekee anayemfahamu mumewe kuliko mwingine yeyote.
“Huyu ni mume wangu, namfahamu kulikoni mtu mwingine yeyote… ni mchapakazi, ni mtu anayethamini utu, mpenda maendeleo, asiyependa unyanyasaji. Nashindwa...
10 years ago
GPL12 Mar
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/fXUwj8AcBIlkFoOtGIWi2WTrC-EbDaDZYf*VnfC038oJEfTUjJ4xVMbqPr7bAhphV222lSS034ADfWSENkyYLtK79hQri4oY/wananitesa.jpg)
MAMA: WACHAWI WANANITESA, WATOTO WANGU 8, MUME WANGU WAMEKUFA KWA UGONJWA WA AJABU
11 years ago
Tanzania Daima15 Feb
Msama yapeleka sokoni ‘Msaada wangu wa karibu’
KAMPUNI ya Msama Promotions, imeingiza sokoni albamu ya ‘Msaada wangu wa karibu’ yenye nyimbo nane iliyoandaliwa na mwimbaji Grace Mwikwabe. Kwa mujibu wa mwimbaji wa albamu hiyo, Mwikwabe, Msama Promotions imefanikisha...
10 years ago
Zitto Kabwe, MB14 Oct
Nyerere Wangu Mimi!
Mwaka 1984 nilianza darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Kigoma, katika mji wa Kigoma. Nakumbuka kupelekwa Shule siku ya kwanza na mama yangu mzazi Bi Shida Salum (Mungu amrehemu) nikiwa sina viatu yaani pekupeku wala begi la mkononi, nilikuwa nimebeba mfuko wa nailoni. Nakumbuka usiku wa kuamkia siku ya kwanza kwenda shule, sikulala kwa furaha na hamu ya kuwa msomi, nilijisikia fahari kuanza shule japokuwa sikuwa na kitu chochote cha zaida zaidi ya kaptula ya shule na shati liloshonwa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mMRmJLLEzVGAQKXNOuPF0D7VJvzjYn5JGM4F-Hy6uQQNWU84j9ScNvsZLHEm34wNqrjAdygZ9NBPNNDmqT53zWYFx3qshgvY/2.jpg?width=650)
SHAMSA: SIJAACHANA NA MUME WANGU