Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msama yapeleka sokoni ‘Msaada wangu wa karibu’

KAMPUNI ya Msama Promotions, imeingiza sokoni albamu ya ‘Msaada wangu wa karibu’ yenye nyimbo nane iliyoandaliwa na mwimbaji Grace Mwikwabe. Kwa mujibu wa mwimbaji wa albamu hiyo, Mwikwabe, Msama Promotions imefanikisha...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Urusi yapeleka msaada nchini Ukraine

Urusi inasema kuwa karibu malori 300 yaliyosheheni misaada ya kibinadamu yameondoka mjini Moscow kuelekea mashariki mwa Ukrain

 

11 years ago

Dewji Blog

Karibu utabaarku mzee wangu…!

PG4A2995

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na Mzee Mohammed Cheupe kutoka jimbo la Ruangwa ambaye Juni 20, 2014 alitembelea bunge kwa mwaliko wa Mbunge wake, Kassim Majaliwa ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri  Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

10 years ago

GPL

OMOTOLA: MUME WANGU ANAKWENDA SOKONI, MIMI NAPIKA

Staa wa filamu za Nollywood, Omotola Jalade. Lagos, Nigeria
STAA wa filamu za Nollywood, Omotola Jalade, ameamua kufunguka juu ya maisha anayoishi na mume wake, Matthew Ekeinde.Omotola ambaye hivi karibuni alifanya mkutano na vijana mbalimbali wenye ndoto za kucheza filamu, aliwaeleza juu ya maisha anayoishi na mumewe kuwa, yeye kazi yake kubwa ni kupika tu. Omotola akiwa na mumewe.
“Mimi kazi yangu kubwa katika maisha...

 

10 years ago

Vijimambo

SHIRIKA LA EQUALITY FOR GROWTH (EfG) LA ZINDUA MRADI WA MSAADA WA KISHERIA KWA WAFANYABIASHARA SOKONI

Kaimu Mkurugenzi wa Halmshauri ya Wilaya ya Lushoto, Dk.Hassan Shelukindo (katikati), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mradi wa msaada wa kisheria kwa wafanyabiashara sokoni na ofisi ya mradi huo wilayani Lushoto mkoani Tanga jana. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Equality for Growth (EfG), Jane Magigita na Katibu Tawala wa wilaya hiyo (DAS), Josephine Kisigila. Mradi huo unaendeshwa na EfG.Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Equality for Growth (EfG), Jane Magigita akitoa...

 

10 years ago

Michuzi

KAMPUNI ya Msama Promotions YATOA MSAADA WA VITU MBALI MBALI KWA VITUO 10 VYA WATOTO YATIMA JIJINI DAR


KAMPUNI ya Msama Promotions chini ya Mkurugenzi wake Alex Msama, jana ilikabidhi msaada wa vitu mbalimbali kwa vituo 10 vya kulea yatima ikiwa ni mwendelezo wa kusaidia makundi maalumu katika jamii.

Akikabidhi misaada hiyo katika ofisi zake zilizopo Kinondoni, jijini Dar es Salaam, Msama alisema misaada hiyo ni sehemu ya fedha za mauzo ya DVD za Tamasha la Pasaka la mwaka huu.
Msama alisema kupitia mauzo ya DVD za Tamasha hilo ambalo lilifanyika April 6 katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es...

 

10 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA EQUALITY FOR GROWTH (EfG) LAZINDUA MRADI WA MSAADA WA KISHERIA KWA WAFANYABIASHARA SOKONI NA OFISI ZAKE WILAYANI LUSHOTO MKOANI TANGA

 Kaimu Mkurugenzi wa Halmshauri ya Wilaya ya Lushoto, Dk.Hassan Shelukindo (katikati), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa  mradi wa msaada wa kisheria kwa wafanyabiashara sokoni na ofisi ya mradi huo wilayani Lushoto mkoani Tanga jana. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la  Equality for Growth (EfG), Jane Magigita na Katibu Tawala wa wilaya hiyo (DAS), Josephine Kisigila. Mradi huo unaendeshwa na EfG. Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la  Equality for Growth (EfG), Jane Magigita akitoa...

 

11 years ago

Michuzi

NMB YASOGEZA HUDUMA KARIBU ZAIDI KWA WAKAZI WA BARABARA YA MANDELA, yatoa msaada kwa hospitali za amana na muhimbili·

Benki ya  NMB imezindua tawi jipya barabara ya Mandela mkoani Dar es Salaam.Hili ni tawi la 20 kufunguliwa katika mkoa wa Dar es Salaaam, na hii inafanya NMB kuwa benki yenye matawi mengi zaidi Tanzania, ikiwa na matawi zaidi ya 500 yaliyosambaa nchi nzima.   Tawi hili la NMB Mandela Road, linatoa huduma mbali mbali za kibenki ikiwemo akaunti za akiba, mikopo , huduma za fedha za kigeni, kukusanya mapato na kulipia kwa niaba ya serikali na taasisi mbalimbali.  Tawi hili litakua wazi kila ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani