SHIRIKA LA EQUALITY FOR GROWTH (EfG) LAZINDUA MRADI WA MSAADA WA KISHERIA KWA WAFANYABIASHARA SOKONI NA OFISI ZAKE WILAYANI LUSHOTO MKOANI TANGA
Kaimu Mkurugenzi wa Halmshauri ya Wilaya ya Lushoto, Dk.Hassan Shelukindo (katikati), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mradi wa msaada wa kisheria kwa wafanyabiashara sokoni na ofisi ya mradi huo wilayani Lushoto mkoani Tanga jana. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Equality for Growth (EfG), Jane Magigita na Katibu Tawala wa wilaya hiyo (DAS), Josephine Kisigila. Mradi huo unaendeshwa na EfG. Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Equality for Growth (EfG), Jane Magigita akitoa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboSHIRIKA LA EQUALITY FOR GROWTH (EfG) LA ZINDUA MRADI WA MSAADA WA KISHERIA KWA WAFANYABIASHARA SOKONI
10 years ago
GPLSHIRIKA LA EQUALITY FOR GROWTH (EfG) LA ZINDUA MRADI WA MSAADA WA KISHERIA KWA WAFANYABIASHARA
5 years ago
MichuziSHIRIKA LA SEMA LATOA MAFUNZO YA KUJIKINGA NA VIRUSI VYA CORONA KWA WASAIDIZI WA KISHERIA ILONGERO MKOANI SINGIDA
Mtoto Samia Selemani akinawa mikono wakati wa kampeni ya utoaji elimu ya namna ya kujikinga dhidi ya mlipuko wa ugonjwa wa corona Ilongero Wilaya ya Singida Vijijini mkoani hapa jana. Kampeni hiyo ilifanywa na Shirika lisilo la Kiserikali la Sustanable Environment Management Action (SEMA) kwa kushirikiana na wadau kutoka Taasisi ya Empower Youth Prosperity ( EYP) ya mkoani Mbeya kwa ufadhili wa Shirika la Stromme East Africa Foundation lenye Makao Makuu Kampala nchini Uganda huku...
10 years ago
Vijimambo07 Mar
SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC) LAZINDUA MAUZO YA NYUMBA ZAKE ZA VICTORIA PLACE, DARâ€
9 years ago
Dewji Blog14 Dec
Shirika la Nyumba NHC lazindua uuzaji wa nyumba za mradi wa 711 Kawe
Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba NHC Bw. Nehemia Mchechu Kyando akizungumza na wageni waalikwa wakati wa hafla ya uzinduzi wa uuzaji wa nyumba za mradi wa 711 uliopo Kawe jijini Dar es salaam, Nyumba hizi ziko kwenye majengo 7 yenye ghorofa 11 kila moja ambayo yanatarajiwa kuchukua watu 1000 kwa na huu ni utangulizi wa ujenzi wa mji mpya wa kisasa unaotarajiwa kujengwa eneo la Tanganyika Pakers Kawe jijini Dar es salaam ambao ukikamilika utaweza kuchukua watu 15000.
Watu wanaohitaji kununua...
10 years ago
GPLSHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC) LAZINDUA MAUZO YA NYUMBA ZAKE ZA VICTORIA PLACE, DAR
11 years ago
MichuziASASI TANO ZINAZOPATA RUZUKU TOKA MFUKO WA MSAADA WA KISHERIA (LSF) KWA MIKOA YA KANDA YA ZIWA ZAMALIZA ZIARA YA SIKU 3 SHIRIKA LA KIVULINI
5 years ago
MichuziSHIRIKA LA RELI TANZANIA LAZINDUA MFUMO UKATAJI TIKETI KWA NJIA YA KIELEKTRONIKI
Hafla hiyo ilihudhuriwa na Mgeni rasmi Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Isack Kamwele, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TRC Prof. John Wajanga Kondoro, Kaimu Mkurugenzi Mkuu Ndugu Focus ,Mwakilishi kutoka Mamlaka ya Serikali Mtandao Bwana Benedictor...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10