SHIRIKA LA EQUALITY FOR GROWTH (EfG) LA ZINDUA MRADI WA MSAADA WA KISHERIA KWA WAFANYABIASHARA
 Kaimu Mkurugenzi wa Halmshauri ya Wilaya ya Lushoto, Dk.Hassan Shelukindo (katikati), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa  mradi wa msaada wa kisheria kwa wafanyabiashara sokoni na ofisi ya mradi huo wilayani Lushoto mkoani Tanga jana. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la  Equality for Growth (EfG), Jane Magigita na Katibu Tawala wa wilaya hiyo (DAS), Josephine Kisigila. Mradi huo unaendeshwa na EfG. ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboSHIRIKA LA EQUALITY FOR GROWTH (EfG) LA ZINDUA MRADI WA MSAADA WA KISHERIA KWA WAFANYABIASHARA SOKONI
10 years ago
MichuziSHIRIKA LA EQUALITY FOR GROWTH (EfG) LAZINDUA MRADI WA MSAADA WA KISHERIA KWA WAFANYABIASHARA SOKONI NA OFISI ZAKE WILAYANI LUSHOTO MKOANI TANGA
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-VJyHriDYAZk/U2NRNWJJqhI/AAAAAAAAAQU/MrIVrAqWmnU/s72-c/1.jpg)
ASASI TANO ZINAZOPATA RUZUKU TOKA MFUKO WA MSAADA WA KISHERIA (LSF) KWA MIKOA YA KANDA YA ZIWA ZAMALIZA ZIARA YA SIKU 3 SHIRIKA LA KIVULINI
![](http://4.bp.blogspot.com/-VJyHriDYAZk/U2NRNWJJqhI/AAAAAAAAAQU/MrIVrAqWmnU/s1600/1.jpg)
10 years ago
Mwananchi03 Oct
Likizo kwa malipo iko kisheria, siyo msaada
5 years ago
MichuziSHIRIKA LA SEMA LATOA MAFUNZO YA KUJIKINGA NA VIRUSI VYA CORONA KWA WASAIDIZI WA KISHERIA ILONGERO MKOANI SINGIDA
11 years ago
Dewji Blog18 Apr
Tigo yakabidhi msaada kwa Shirika la Red Cross Tanzania kwa ajili ya waathirika wa mafuriko Dumila na Dar es Salaam
Meneja wa Uwajibikaji kwa Jamii kutoka Tigo Bi. Woinde Shisael (kulia) akimkambidhi mfano wa hundi cha kiasi cha Tsh 20,700,000 Kaimu Katibu Mkuu wa Shirika la Red Cross nchini Bi. Bertha Mlay mapema leo katika hafla fupi ya makabidhiano yaliyofanyika makao makuu ya Red Cross, jijini Dar es Salaam. Kiasi hicho kinalenga kuwapatia waathirika wa mafuriko wa Dumila – Morogoro na Dar es Salaam huduma za malazi, maji, chakula, mablanketi, neti za kuzuia mbu na magodoro.
Kaimu Katibu Mkuu wa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LWw0InctTwmzZ3uN*6uiVUSNwe3IRa5CuMPDDddtuHcn37G-LHRFosMMXDQlfDEumLLwlKXPsXYqCXgscKId1Eoa3GolUpa4/1.jpg?width=650)
TIGO YAKABIDHI MSAADA KWA SHIRIKA LA RED CROSS TANZANIA KWA AJILI YA WAATHIRIKA WA MAFURIKO DUMILA NA DAR ES SALAAM
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-h3kcCb6aTuM/VCXAp48QPaI/AAAAAAAGmBk/h1JgpuQ7h-s/s72-c/IMG-20140926-WA0025.jpg)
Shirika la EGPAF latoa msaada wa vifaa tiba kwa Hopitali ya Wilaya ya Kilwa
Halfla ya kukabidhi vifaa hivyo vitakavyotumika katika uchunguzi wa awali wa tatizo la saratani ya mlango wa kizazi kwa akinamama ilifanyika jana katika mji wa Kilwa kivinje.
Akikabidhi vifaa hivyo ikiwamo mashine maalum ya kuchunguzia ili kutambua dalili za awali za ugonjwa huo mratibu wa afya,uzazi na jinsia wa shirika hilo,Angasyege...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-8LeaBgu4vnM/XqvuGGyaDYI/AAAAAAALov4/09x_B3L3zpA4rAfMgX_6DG2OeQ9JKT-UwCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200430-WA0234.jpg)
DIWANI KATA YA BOMAMBUZI ATOA MSAADA WA BARAKOA,VITAKASA MIKONO KWA WAFANYABIASHARA
![](https://1.bp.blogspot.com/-8LeaBgu4vnM/XqvuGGyaDYI/AAAAAAALov4/09x_B3L3zpA4rAfMgX_6DG2OeQ9JKT-UwCLcBGAsYHQ/s400/IMG-20200430-WA0234.jpg)
DIWANI wa Kata ya Bomambuzi na Mjumbe wa Kamati ya Fedha na Uongozi Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro Juma Raibu amekabidhi barakoa 100,vitakasa mikono pamoja na ndoo kwa wafanyabiashara wa Soko la Pasua ili kujikinga na virusi vya Corona ambavyo vinaendelea kutikisa Dunia.
Akizungumza wakati akikabidhi vifaa hivyo, Diwani huyo amesema kuwa ameamua kutoa vifaa vya kujikinga na Corona kwa wananchi hao ,ili kuendelea kuchukuwa taathari
Amesemambali na kutoa...