ASASI TANO ZINAZOPATA RUZUKU TOKA MFUKO WA MSAADA WA KISHERIA (LSF) KWA MIKOA YA KANDA YA ZIWA ZAMALIZA ZIARA YA SIKU 3 SHIRIKA LA KIVULINI

Mkurugenzi wa Shirika la KIVULINI Bw Ramadhan Masele akifunga ziara ya kimafunzo ya siku tatu kwa mbele ya washiriki wa ziara hiyo (hawapo pichani), Bw Masele alitoa shukrani kwa maafisa toka mashirika matano ya mikoa ya kanda ya ziwa pamoja na maafisa toka Mfuko wa Msaada wa kisheria (LSF) na Foundation for Civil Society kwa ziara hiyo ya mafunzo.
Mwanakijiji wa kata ya Mwamala Wilaya ya Kwimba Bi. Grace Masanja akieleza msaada wanaopata juu ya elimu na ushauri wa kisheria toka kwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziSHIRIKA LA NELICO NA MABARAZA YA WATOTO WILAYA YA GEITA WAFANYA ZIARA YA KIMAFUNZO KATIKA SHIRIKA LA KIVULINI
11 years ago
Dewji Blog11 Apr
WAMA na Balozi wa Jamuhuri ya watu wa China kufanya ziara mikoa ya kanda ya ziwa kusaidia jamii
Mkurugenzi wa Uboreshaji Afya Wama, Dkt.Sarah Maongezi (Kulia) akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es salaam kuhusu ushirikiano uliopo baina ya Taasisi ya Wanawake na Maendeleo pamoja na Jamuhuri ya Watu wa China nchini katika kusaidia wananchi ikiwemo ziara wanaoyotarajia kuifanya katika mikoa ya Kanda ya Ziwa kuanzia tarehe 12 hadi 19 Aprili mwaka huu,Katika ni katibu wa Balozi wa China nchini,Ren Zhihong na Meneja Mawasiliano wa Wama Philomema Marijani.
Katibu wa Balozi wa...
10 years ago
Michuzi.jpg)
KATIBU MKUU UVCCM KUAANZA ZIARA YA SIKU 14 KANDA YA ZIWA
.jpg)
Ziara hii ya kikazi ya Katibu Mkuu inalenga kukagua na kuhimiza ujenzi na uimara wa jumuia ya Vijana katika maeneo husika lakini pia kushiriki kampeni zinazoendelea za uchaguzi wa Serikali za...
10 years ago
Dewji Blog11 Dec
Katibu Mkuu UVCCM aanza ziara ya siku 14 kanda ya ziwa
Katibu Mkuu wa jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) Ndugu Sixtus Mapunda (pichani) anategemea kufanya ziara ya siku na nne (14) katika mikoa minne ya Kanda ya Ziwa, ambayo ni Tabora, Shinyanga, Geita na Kagera kuanzia kesho tarehe 12st Dec 2014.
Ziara hii ya kikazi ya Katibu Mkuu inalenga kukagua na kuhimiza ujenzi na uimara wa jumuia ya Vijana katika maeneo husika lakini pia kushiriki kampeni zinazoendelea za uchaguzi wa...
10 years ago
Vijimambo
ZIKIWA ZIMEBAKI SIKU TANO,MAGUFULI AENDELEA KUITIKISA KANDA YA ZIWA,AFANYA MIKUTANNO YA KAMPENI GEITA VIJIJINI,NYANG'WALE NA SENGEREMA

Mgombea Urais kupitia chama cha CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia maelfu ya wananchi wa Sengerema jioni ya leo kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika mjini humo.Katika mkutano huo wa kampeni Dkt Magufuli amezishauri halmashauri nchini kuacha tabia ya kukopa pesa kutoka katika taasisis za kifedha na kulipia fidia za wananchi ambao serikali inataka kutumia maeneo yao kwa ajili ya huduma za kijamii.
Akiomba kura katika wilaya mpya ya Nyang'wale mkoani Geita,Dkt Magufuli ametumia jukwaa...
10 years ago
GPLSHIRIKA LA EQUALITY FOR GROWTH (EfG) LA ZINDUA MRADI WA MSAADA WA KISHERIA KWA WAFANYABIASHARA
10 years ago
VijimamboSHIRIKA LA EQUALITY FOR GROWTH (EfG) LA ZINDUA MRADI WA MSAADA WA KISHERIA KWA WAFANYABIASHARA SOKONI
11 years ago
Michuzi
KITUO CHA UWEKEZAJI CHAWAPONGEZA WAKUU WA MIKOA KATIKA JITIHADA ZAO ZA KUHAMASISHA UWEKEZAJI MIKOA YA KANDA YA ZIWA
Mikoa ambayo itashiriki katika Kongamano la Uwekezaji la Kanda ya Ziwa ni Mwanza, Geita, Mara, Simiyu, Kagera na Shinyanga Kongamano ambalo kwa pamoja litawakutanisha Wawekezaji pamoja na Serikali katika kujadili vivutio vya Uwekezaji vinavyopatikana katika mikoa hiyo ya kanda ya Ziwa.
Kituo cha Uwekezaji Kimejizatiti...
11 years ago
Dewji Blog14 Jul
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria kutembelea Asasi zinazotoa msaada wa Kisheria jijini Dar
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Angellah Jasmine Kairuki (MB) anatarajia kufanya ziara ya kikazi ya siku tano kuanzia leo Jumatatu, Julai 14 hadi Ijumaa 18, 2014 katika jiji la Dar Es Salaam akitembelea asasi mbalimbali zinazotoa huduma za msaada wa kisheria kwa wananchi kwa lengo la kujionea huduma zinazotolewa na asasi hizi ikiwa ni pamoja na kukutana na wananchi wanaopata huduma hii.
Pamoja na kujionea huduma hizi Mh. Naibu Waziri anatarajiwa kujionea ufanisi wa kazi zinazofanywa...