Naibu Waziri wa Katiba na Sheria kutembelea Asasi zinazotoa msaada wa Kisheria jijini Dar
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Angellah Jasmine Kairuki (MB) anatarajia kufanya ziara ya kikazi ya siku tano kuanzia leo Jumatatu, Julai 14 hadi Ijumaa 18, 2014 katika jiji la Dar Es Salaam akitembelea asasi mbalimbali zinazotoa huduma za msaada wa kisheria kwa wananchi kwa lengo la kujionea huduma zinazotolewa na asasi hizi ikiwa ni pamoja na kukutana na wananchi wanaopata huduma hii.
Pamoja na kujionea huduma hizi Mh. Naibu Waziri anatarajiwa kujionea ufanisi wa kazi zinazofanywa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo14 Jul
Waziri kutembelea asasi za kisheria
NAIBU Waziri wa Katiba na Sheria, Angellah Kairuki anafanya ziara ya kikazi ya siku tano kuanzia leo katika Jiji la Dar es Salaam kutembelea asasi zinazotoa huduma za msaada wa kisheria kwa wananchi.
10 years ago
VijimamboWAZIRI WA KATIBA NA SHERIA ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA JESHI LA MAGEREZA, JIJINI DAR
11 years ago
Michuzi07 Feb
Naibu Waziri wa Sheria na Katiba Angellah Kairuki Azindua Kampeni Care For Me!
![Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Bi. Angellah Kairuki akifungua kitambaa kuashiria uzinduzi rasmi wa kampeni za 'Care For Me!' katika Kijiji cha SOS kilichopo jijini Dar es Salaam leo. Kampeni hizo za kuhamasisha jamii na makundi mbalimbali kuchangia na kumjali mtoto aliye katika mazingira hatarishi na yatima zinalenga kuwasaidia watoto zaidi ya 12,000 hadi kufikia mwisho wa kampeni yaani mwaka 2016.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/02/IMG_5548.jpg)
![Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Bi. Angellah Kairuki akitia saini sehemu maalumu kutoa ujumbe wake mara baada ya kufanya uzinduzi rasmi wa kampeni za 'Care For Me!' katika Kijiji cha SOS kilichopo jijini Dar es Salaam. Pamoja na mambo mengine fedha zitakazopatikana katika kapeni hiyo zitahakikisha zinaongeza idadi ya vituo vya SOS kuwasaidia watoto yatima na waliopo katika mazingira hatarishi.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/02/IMG_5555.jpg)
11 years ago
Habarileo16 Jul
Sheria ya msaada wa kisheria yaja
NAIBU Waziri wa Katiba na Sheria, Angellah Kairuki amesema serikali inaendelea na jitihada za kutunga sheria ya huduma ya msaada wa kisheria ambayo itawezesha upatikanaji stahiki wa haki kwa wananchi kwa wanaokabiliwa na matatizo mbalimbali.
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-VJyHriDYAZk/U2NRNWJJqhI/AAAAAAAAAQU/MrIVrAqWmnU/s72-c/1.jpg)
ASASI TANO ZINAZOPATA RUZUKU TOKA MFUKO WA MSAADA WA KISHERIA (LSF) KWA MIKOA YA KANDA YA ZIWA ZAMALIZA ZIARA YA SIKU 3 SHIRIKA LA KIVULINI
![](http://4.bp.blogspot.com/-VJyHriDYAZk/U2NRNWJJqhI/AAAAAAAAAQU/MrIVrAqWmnU/s1600/1.jpg)
10 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA AZINDUA MKAKATI WA USAJILI NA KUTOA VYETI VYA KUZALIWA KWA WATOTO WA MWANZA
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-MOZcckGDZxg/Ux9IPPDxZfI/AAAAAAAFS8c/G8RjYec8fOI/s72-c/011.jpg)
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe Angellah Kairuki na mmiliki wa Bongo5 wachaguliwa kuwa miongoni mwa viongozi vijana duniani ‘Young Global Leaders 2014
![](http://1.bp.blogspot.com/-MOZcckGDZxg/Ux9IPPDxZfI/AAAAAAAFS8c/G8RjYec8fOI/s1600/011.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-DLCByn-QGGs/Ux9IQJyPmdI/AAAAAAAFS8k/QFg9YQQlC3g/s1600/Luca-Neghesti-feb18-2013.jpg)
10 years ago
Dewji Blog06 Jan
Ziara ya kushtukiza ya Naibu waziri wa Maji Amos Makala jijini Dar
Naibu Waziri wa Maji Waziri Amos Makala akifuatana na wajumbe wa Bodi na Menejimenti, watendaji wa DAWASCO, waandishi wa habari na wananchi wa Boko wakati wa Ziara yake ya kushtukiza katika eneo la Boko jijini Dar es salaam ikiwa ni moja ya maeneo yenye matatizo ya maji ambayo yanasababisha wananchi wengi kukosa huduma hiyo muhimu katika masiha yao.
Na Eleuteri Mangi- MAELEZO
Naibu Waziri wa Maji Amos Makala ameiagiza Bodi na Menejimenti ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka ya jiji la Dar...