Waziri kutembelea asasi za kisheria
NAIBU Waziri wa Katiba na Sheria, Angellah Kairuki anafanya ziara ya kikazi ya siku tano kuanzia leo katika Jiji la Dar es Salaam kutembelea asasi zinazotoa huduma za msaada wa kisheria kwa wananchi.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog14 Jul
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria kutembelea Asasi zinazotoa msaada wa Kisheria jijini Dar
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Angellah Jasmine Kairuki (MB) anatarajia kufanya ziara ya kikazi ya siku tano kuanzia leo Jumatatu, Julai 14 hadi Ijumaa 18, 2014 katika jiji la Dar Es Salaam akitembelea asasi mbalimbali zinazotoa huduma za msaada wa kisheria kwa wananchi kwa lengo la kujionea huduma zinazotolewa na asasi hizi ikiwa ni pamoja na kukutana na wananchi wanaopata huduma hii.
Pamoja na kujionea huduma hizi Mh. Naibu Waziri anatarajiwa kujionea ufanisi wa kazi zinazofanywa...
11 years ago
MichuziASASI TANO ZINAZOPATA RUZUKU TOKA MFUKO WA MSAADA WA KISHERIA (LSF) KWA MIKOA YA KANDA YA ZIWA ZAMALIZA ZIARA YA SIKU 3 SHIRIKA LA KIVULINI
9 years ago
Habarileo17 Dec
Waziri Mkuu aombwa kutembelea Dawasco
MBUNGE wa Jimbo la Kibamba, John Mnyika amemuomba Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kufanya ziara katika ofisi za Dawasa na Dawasco ili ‘kutumbua majipu’ ya yaliyopo katika taasisi hizo za umma. Mnyika ambaye ni Mbunge kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), alidai jana kuwa ameamua kuchukua hatua hiyo ya kumuomba Waziri Mkuu kuingilia kati tatizo hilo, baada ya kutoridhishwa na hatua alizochukua Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Makame Mbarawa baada ya kufanya ziara...
10 years ago
MichuziWAZIRI CHIKAWE-ASASI KIRAIA ZINAZOJIHUSIHA NA SIASA KUFUTWA
Baadhi ya Waandishi habari waliohudhuria katika mkutano wa wizara ya Mambo ya Ndani jijini Dar es salaam leo.Picha Emmanuel Massaka wa Globu ya jamii.
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii.
ASASI za Kiraia zilizosajiliwa chini ya Wizara...
10 years ago
VijimamboWaziri Migiro akabidhi Katiba inayopendekezwa kwa taasisi za kidini, asasi za kiraia na walemavu
10 years ago
VijimamboWAZIRI MUHONGO AANZA ZIARA YA SIKU 6 MKOANI MARA KUTEMBELEA MIRADI YA UMEME
10 years ago
GPLWAZIRI NYALANDU AZINDUA KAMPENI YA UHAMASISHAJI WATANZANIA KUTEMBELEA HIFADHI ZA TAIFA
10 years ago
Dewji Blog16 Mar
Waziri Migiro akabidhi nakala za Katiba Inayopendekezwa kwa walemavu, taasisi za kidni na asasi za kiraia
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha-Rose Migiro akimkabidhi nakala za Katiba Inayopendekezwa mwakilishi wa Baraza Kuu la Taasisi na Jumuiya za Kiislam Sheikh Mussa Kundecha katika hafla fupi ya kugawa nakala hizo zilizoandaliwa na Serikali kwa taasisi mbalimbali iliyofanyika katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam leo (Jumatatu, Machi 16, 2015). (Picha: Farida Khalfan, Wizara ya Katiba na Sheria).
Mwenyekiti wa Chama cha Albino Tanzania Bw. Ernest Kimaya akisoma nakala za Katiba...