Katibu Mkuu UVCCM aanza ziara ya siku 14 kanda ya ziwa
Katibu Mkuu wa jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) Ndugu Sixtus Mapunda (pichani) anategemea kufanya ziara ya siku na nne (14) katika mikoa minne ya Kanda ya Ziwa, ambayo ni Tabora, Shinyanga, Geita na Kagera kuanzia kesho tarehe 12st Dec 2014.
Ziara hii ya kikazi ya Katibu Mkuu inalenga kukagua na kuhimiza ujenzi na uimara wa jumuia ya Vijana katika maeneo husika lakini pia kushiriki kampeni zinazoendelea za uchaguzi wa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU UVCCM KUAANZA ZIARA YA SIKU 14 KANDA YA ZIWA
Ziara hii ya kikazi ya Katibu Mkuu inalenga kukagua na kuhimiza ujenzi na uimara wa jumuia ya Vijana katika maeneo husika lakini pia kushiriki kampeni zinazoendelea za uchaguzi wa Serikali za...
10 years ago
Habarileo12 Dec
Katibu Mkuu UVCCM ziarani Kanda ya Ziwa
KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Sixtus Mapunda anatarajia kufanya ziara ya siku nne (14) katika mikoa minne ya Kanda ya Ziwa, ambayo ni Tabora, Shinyanga, Geita na Kagera kuanzia leo.
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AANZA ZIARA YA SIKU 16 YA UNGUJA NA PEMBA.
11 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM,KINANA AANZA ZIARA YA SIKU NNE MKOA WA DAR ES SALAAM
Pichani kulia ni Mwenyekiti Mkoa wa CCM,Dar Es salaam Ndugu Ramadhan Madabida akizungumza jambo mbele ya kamati ya Siasa ya mkoa (hawapo pichani) mapema leo,kwenye ofisi Kuu za CCM mkoa,ambapo Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu...
10 years ago
MichuziKINANA AANZA ZIARA MKOANI KAGERA LEO, AKUTANA NA MAKUNDI YA WAFUGAJI KANDA YA ZIWA.
Kinana yupo Mkoani humu kwa ziara ya kikazi ya siku kumi ya Kukagua utelekezwaji wa Ilani ya Chama cha CCM ya mwaka 2010 pamoja na kuimarisha chama na kusikiliza matatizo ya wananchi.Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiwasalimia Wananchi wa kijiji cha Nyakanazi pamoja na...
11 years ago
Habarileo14 May
Katibu wa ICAO aanza ziara ya siku 5
KATIBU Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga (ICAO), Raymond Benjamin amewasili nchini leo kuanza ziara ya kikazi ya siku tano.
11 years ago
Michuzi15 Jul
KATIBU MKUU WA UVCCM AFANYA ZIARA MKOA WA ARUSHA
Katibu mkuu wa UVCCM Taifa na mjumbe wa baraza la katiba Sixtus Mapunda akimkabidhi cheti mmoja wa wa vijana waliojitolea katika mradi wa ujenzi wa kiwanja cha michezoHapa viongozi na wadau wakishuhudia...
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AANZA ZIARA MKOA WA KILIMANJARO
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana amewasili katika jimbo la Siha, katika ziara yake ya kikazi yenye lengo la kukagua kuhimiza na kusimamia utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM ambayo katika jimbo la Siha imetekelezwa kwa asilimia kubwa ikisimamiwa na Mbunge wa jimbo hilo na Naibu Waziri wa...
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AANZA ZIARA YAKE LEO
Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwasalimia wakazi wa mkoa wa Morogoro waliojitokeza kuwasalimu wakati wa safari ya kuelekea Kagera.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wakazi waliojitokeza kwenye kituo cha mabasi mjini Morogoro maarufu kama Msamvu ambapo aliwaambia wananchi hao...