Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nyerere Wangu Mimi!

nyerereMwaka 1984 nilianza darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Kigoma, katika mji wa Kigoma. Nakumbuka kupelekwa Shule siku ya kwanza na mama yangu mzazi Bi Shida Salum (Mungu amrehemu) nikiwa sina viatu yaani pekupeku wala begi la mkononi, nilikuwa nimebeba mfuko wa nailoni. Nakumbuka usiku wa kuamkia siku ya kwanza kwenda shule, sikulala kwa furaha na hamu ya kuwa msomi, nilijisikia fahari kuanza shule japokuwa sikuwa na kitu chochote cha zaida zaidi ya kaptula ya shule na shati liloshonwa...

Zitto Kabwe, MB

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MIMI ‘MTU WANGU MZUNGU’ NDIYO NINI SASA? - 2


Karibuni sana wasomaji wangu wapendwa katika safu hii maalum kwa ajili ya kuelekezana mambo mbalimbali yanayohusu maisha kwa ujumla hasa upande wa mapenzi kama siyo mahaba.Mfano wa mambo hayo ni namna wenza wanaoishi na ndugu au wazazi wao wanavyopaswa kuishi kwa hekima bila kuwakwaza.

Kujiepusha na kauli zisizofaa ambazo mara nyingi zimekuwa zikiharibu uhusiano wao, kujiweka katika mazingira ya usafi wa nyumba na mavazi.Mambo mengine ni kuwa waaminifu katika uhusiano wao kwa sababu wenza...

 

10 years ago

GPL

OMOTOLA: MUME WANGU ANAKWENDA SOKONI, MIMI NAPIKA

Staa wa filamu za Nollywood, Omotola Jalade. Lagos, Nigeria
STAA wa filamu za Nollywood, Omotola Jalade, ameamua kufunguka juu ya maisha anayoishi na mume wake, Matthew Ekeinde.Omotola ambaye hivi karibuni alifanya mkutano na vijana mbalimbali wenye ndoto za kucheza filamu, aliwaeleza juu ya maisha anayoishi na mumewe kuwa, yeye kazi yake kubwa ni kupika tu. Omotola akiwa na mumewe.
“Mimi kazi yangu kubwa katika maisha...

 

10 years ago

GPL

NINGEKUWA MIMI ASKOFU METHOD KILAINI, NINGEJIUZULU WADHIFA WANGU

Askofu Method Kilaini. Salaam baba Askofu Method Kilaini.
Ni matumaini yangu kwamba unaendelea vyema na majukumu yako ya kuchunga kondoo wa Bwana. Najua itakuwa vigumu kwa mimi kuonana na wewe kutokana na umbali uliopo kati ya Dar es Salaam na Bukoba lakini hilo halinizuii kukufikishia ujumbe wangu. Baba askofu, mimi sikuzaliwa Machi 30, 1948 kwenye kijiji kilichozungukwa na migomba cha Katoma, Bukoba kama wewe. Sikusomea...

 

9 years ago

GPL

ESTER: WAKIWA BIZE NA SIASA, MIMI NAUZA MKAA WANGU

Imelda Mtema Staa wa muvi Bongo, Ester Kiama ameibuka na kusema kuwa wakati mastaa wenzake wakihangaika na kampeni za siasa yeye anauza mkaa wake kwani amegundua kuwa wamemtenga kwa sababu hawajawahi kumshirikisha kwenye lolote. Akizungumza na Ijumaa, Ester alisema kuwa awali alikuwa akiumia kuona ametengwa lakini alipokaa na kufikiria kwa makini aliona ni bora alivyoachwa ili aifanye kazi yake ya kuuza mkaa kwa ufasaha....

 

10 years ago

GPL

NINGEKUWA MIMI SULEIMAN KOVA, NINGETAZAMA UPYA UFANISI WANGU

Kamanda wa Kanda Maalum ya Kipolisi ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova. Kwako Kamanda wa Kanda Maalum ya Kipolisi ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova.
Ni matumaini yangu kwamba unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku ambayo yanakufanya uwe bize muda mwingi. Najua itakuwa vigumu kuonana na wewe kwa mara nyingine tangu tulipoonana siku ulipotembelea chumba chetu cha habari. Hata hivyo, hiyo hainizuii...

 

9 years ago

Raia Tanzania

9 years ago

Mtanzania

Mama Lowassa: Kwanini wamtungie mume wangu uongo? Waniulize mimi

0D6A4964NA AGATHA CHARLES, DAR ES SALAAM

MKE wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, Regina, amesema anashindwa kuelewa ni kwanini watu wanatunga uongo kuhusu mumewe.

Akizungumza katika mkutano na wanawake kutoka vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Regina alisema yeye ni mtu pekee anayemfahamu mumewe kuliko  mwingine yeyote.

“Huyu ni mume wangu, namfahamu kulikoni mtu mwingine yeyote… ni mchapakazi, ni mtu anayethamini utu, mpenda maendeleo, asiyependa unyanyasaji. Nashindwa...

 

10 years ago

GPL

MIMI ‘MTU WANGU MZUNGU’ NDIYO NINI SASA?

Ni Jumanne tena! Wapenzi wasomaji wa safu hii ya mapenzi na maisha, nawakaribisha leo kwa ajili ya mada nyingine ambayo ni motomoto kama ilivyo kawaida yangu. Baada ya wiki iliyopita kumalizana na mada ya kosea kuchagua kila kitu lakini siyo mwenza. Wiki hii tuna mada hii ya Mimi Mtu Wangu Mzungu. Nimekuwa nikiwasikia watu mbalimbali, wake kwa waume wakilitumia hili neno (Mzungu) japokuwa kwa upande wa wenzetu wanawake ndiyo...

 

10 years ago

Vijimambo

NINGEKUWA MIMI SULEIMAN KOVA, NINGETAZAMA UPYA UFANISI WANGU WA KAZI

Kamanda wa Kanda Maalum ya Kipolisi ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova.
Kwako Kamanda wa Kanda Maalum ya Kipolisi ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova.Ni matumaini yangu kwamba unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku ambayo yanakufanya uwe bize muda mwingi. Najua itakuwa vigumu kuonana na wewe kwa mara nyingine tangu tulipoonana siku ulipotembelea chumba chetu cha habari. Hata hivyo, hiyo hainizuii kukufikishia ujumbe wangu kwako.Mheshimiwa, mimi siyo Kamanda wa Polisi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani