Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ESTER: WAKIWA BIZE NA SIASA, MIMI NAUZA MKAA WANGU

Imelda Mtema Staa wa muvi Bongo, Ester Kiama ameibuka na kusema kuwa wakati mastaa wenzake wakihangaika na kampeni za siasa yeye anauza mkaa wake kwani amegundua kuwa wamemtenga kwa sababu hawajawahi kumshirikisha kwenye lolote. Akizungumza na Ijumaa, Ester alisema kuwa awali alikuwa akiumia kuona ametengwa lakini alipokaa na kufikiria kwa makini aliona ni bora alivyoachwa ili aifanye kazi yake ya kuuza mkaa kwa ufasaha....

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ESTER BULAYA, LEMBELI WAKIWA KATIKA MKUTANO WA CHADEMA MWANZA LEO

Waliokuwa wabunge wa CCM,  Mzee James Lembeli (kulia) na Easter Bulaya wakiwa katika mkutano wa Chadema leo jijini Mwanza. PICHA ZAIDI INGIA HAPA ====>http://bit.ly/1LDd6eG

 

10 years ago

GPL

ESTER: MIMI SIYO MBURULA, WANAOJIUZA NI HAOHAO!

Na Imelda Mtema/Ijumaa
Msanii wa filamu anayeonekana kuwa moto, Ester Kiama amefunguka kuwa, wanaodhani ameingia kwenye fani ya uigizaji ili kutafuta wanaume wamebugi kwa kuwa yeye siyo mburula na hajui hata anaanzaanzaje kufanya hivyo. Msanii wa filamu anayeonekana kuwa moto, Ester Kiama. Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Ester alisema wakati alipokuwa nje ya fani alikuwa hapati usumbufu lakini sasa ameamua kuonyesha...

 

10 years ago

GPL

ESTER: DUDE NI MZIBA PANCHA WANGU

Imelda mtema
Msanii wa sinema za Kibongo, Ester Kiama ametoa kioja cha aina yake baada ya kufunguka kuwa mwigizaji Kulwa Kikumba ‘Dude’ ni mziba pancha wa magari yake ya kutembelea. Msanii wa sinema za Kibongo, Ester Kiama. Akizungumza hivi karibuni na Global TV Online, Ester ambaye amekuwa akiandamwa kuwa huenda ana uhusiano wa kimapenzi na Dude ambaye ana mkewe, alisema hakuna chochote kinachoendelea kati yao...

 

10 years ago

Zitto Kabwe, MB

Nyerere Wangu Mimi!

nyerereMwaka 1984 nilianza darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Kigoma, katika mji wa Kigoma. Nakumbuka kupelekwa Shule siku ya kwanza na mama yangu mzazi Bi Shida Salum (Mungu amrehemu) nikiwa sina viatu yaani pekupeku wala begi la mkononi, nilikuwa nimebeba mfuko wa nailoni. Nakumbuka usiku wa kuamkia siku ya kwanza kwenda shule, sikulala kwa furaha na hamu ya kuwa msomi, nilijisikia fahari kuanza shule japokuwa sikuwa na kitu chochote cha zaida zaidi ya kaptula ya shule na shati liloshonwa...

 

10 years ago

GPL

OMOTOLA: MUME WANGU ANAKWENDA SOKONI, MIMI NAPIKA

Staa wa filamu za Nollywood, Omotola Jalade. Lagos, Nigeria
STAA wa filamu za Nollywood, Omotola Jalade, ameamua kufunguka juu ya maisha anayoishi na mume wake, Matthew Ekeinde.Omotola ambaye hivi karibuni alifanya mkutano na vijana mbalimbali wenye ndoto za kucheza filamu, aliwaeleza juu ya maisha anayoishi na mumewe kuwa, yeye kazi yake kubwa ni kupika tu. Omotola akiwa na mumewe.
“Mimi kazi yangu kubwa katika maisha...

 

10 years ago

Vijimambo

MIMI ‘MTU WANGU MZUNGU’ NDIYO NINI SASA? - 2


Karibuni sana wasomaji wangu wapendwa katika safu hii maalum kwa ajili ya kuelekezana mambo mbalimbali yanayohusu maisha kwa ujumla hasa upande wa mapenzi kama siyo mahaba.Mfano wa mambo hayo ni namna wenza wanaoishi na ndugu au wazazi wao wanavyopaswa kuishi kwa hekima bila kuwakwaza.

Kujiepusha na kauli zisizofaa ambazo mara nyingi zimekuwa zikiharibu uhusiano wao, kujiweka katika mazingira ya usafi wa nyumba na mavazi.Mambo mengine ni kuwa waaminifu katika uhusiano wao kwa sababu wenza...

 

9 years ago

Raia Tanzania

10 years ago

GPL

NINGEKUWA MIMI ASKOFU METHOD KILAINI, NINGEJIUZULU WADHIFA WANGU

Askofu Method Kilaini. Salaam baba Askofu Method Kilaini.
Ni matumaini yangu kwamba unaendelea vyema na majukumu yako ya kuchunga kondoo wa Bwana. Najua itakuwa vigumu kwa mimi kuonana na wewe kutokana na umbali uliopo kati ya Dar es Salaam na Bukoba lakini hilo halinizuii kukufikishia ujumbe wangu. Baba askofu, mimi sikuzaliwa Machi 30, 1948 kwenye kijiji kilichozungukwa na migomba cha Katoma, Bukoba kama wewe. Sikusomea...

 

10 years ago

GPL

NINGEKUWA MIMI SULEIMAN KOVA, NINGETAZAMA UPYA UFANISI WANGU

Kamanda wa Kanda Maalum ya Kipolisi ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova. Kwako Kamanda wa Kanda Maalum ya Kipolisi ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova.
Ni matumaini yangu kwamba unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku ambayo yanakufanya uwe bize muda mwingi. Najua itakuwa vigumu kuonana na wewe kwa mara nyingine tangu tulipoonana siku ulipotembelea chumba chetu cha habari. Hata hivyo, hiyo hainizuii...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani