ESTER: MIMI SIYO MBURULA, WANAOJIUZA NI HAOHAO!
![](http://api.ning.com:80/files/V7mcip*tK2QXHeXeOL6Zn*M*d5OKSVJlWaOC-MDlLSMP6XT5CLOKANQ2o7qLS3AgQTm*nWyKwzhafeMrfY10hIDFyFkE0dzu/Ester.jpg)
Na Imelda Mtema/Ijumaa Msanii wa filamu anayeonekana kuwa moto, Ester Kiama amefunguka kuwa, wanaodhani ameingia kwenye fani ya uigizaji ili kutafuta wanaume wamebugi kwa kuwa yeye siyo mburula na hajui hata anaanzaanzaje kufanya hivyo. Msanii wa filamu anayeonekana kuwa moto, Ester Kiama. Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Ester alisema wakati alipokuwa nje ya fani alikuwa hapati usumbufu lakini sasa ameamua kuonyesha...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/08/ester-kiama.gif?width=620)
ESTER: WAKIWA BIZE NA SIASA, MIMI NAUZA MKAA WANGU
10 years ago
Bongo Movies07 Mar
Mimi Siyo Marioo — Niva
Mwigizaji wa filamu Zubery Mohamed ‘Niva’ amekanusha kuwa yeye siyo Marioo yaani analelewa na wanawake bali ni jina tu ambalo limetokana na wimbo wake alioufanya na kurekodi.
“Napata shida sana watu wananiona eti mimi Marioo jina hili nimepewa na mpenzi wangu ambaye simtaji kwa jina lake mimi ni mwanaume ninayejua majukumu yangu wala simtegemei mwanamke yoyote zaidi ya wao kujipendekeza kwangu,”anasema Niva.
Niva anasema kuwa wapo wasanii wanyonge wenye tabia hizo lakini si kwake kwani...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tVyYDnk4ZvOAEpztpGTl*GjCAIL0N0Fen98dA0DTggxxBnUG6wLqOEKIrJzSWdO1d*d5ab0CJqUgo3mqha1QuvlUdTe881VB/hj.gif?width=650)
MAYA: MIMI SIYO MGUMBA
9 years ago
Bongo Movies10 Nov
Mimi Siyo Punda Sibebi Madawa—Shilole
Msanii wa kike wa muziki wa Bongofleva Shilole alimaarufu kama 'Shishi Baby' amefunguka na kusema habebi dawa ya kulevya kwani yeye si punda ila anapokwenda nje anakwenda kufanya kazi zake na sanaa.
Shilole alipokuwa akipiga stori kwenye kipindi cha Planet Bongo cha EATV, ambapo amesema watu wengi huwa wanakuwa na dhana hiyo wakidhani labda wasanii wanapokwenda nje huwa wanabeba dawa za kulevya lakini kwa upande wake amekana wazi na kusema anapenda kazi yake ya muziki na kuiheshimu hivyo...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/7X1wIOHFtrxxFpT4bjrTlnO23H8BY2Q5kfppaOSLvHGuThV8b9hesxpcRNDt14rsi6U39FiGqOJ7DXIWM*viVayr6hhzezhc/p.txt.jpg?width=650)
JIDE MIMI SIYO YESU WALA BIKIRA MARIA!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dzn4ICuAlE7A*qWbPlysjqFOSURzNKq6M*Zv1kGTkkZzZ8xQOgjlN-Jd2dUStM7q97PHKdLXDQXbIpSwhmT4fdYnI2x9KQPh/IMG20141218WA0003.jpg?width=650)
FAIZA: MIMI SIYO MBULULA KWA KUVAA PEMPASI
10 years ago
Mwananchi30 Dec
Polisi kuwasaka wanaojiuza
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/IT5cWc7RcD4/default.jpg)
10 years ago
Vijimambo11 Feb
Mahojiano Maalum: “Ujane siyo ulemavu wala Huyatima siyo kufungwa” -Tabu Obago
![Tabu Obago, akiwa nyumbani kwake Mbagala](http://alphaigogo.com/wp-content/uploads/2015/02/Tab-Obago-169x300.jpg)
Wapendwa wasomaji, wiki iliyopita niliwaletea mahojiano maalum kutoka kwa dada Zawadi Kakoschke. Katika mahojiahano hayo moja ya maswali ambayo nili muuliza ni kama kuna huusiano kati ya majina ambayo wazazi wanawapa watoto wao na mafanikio au tabia ya watoto hao. Sehemu ya mahojiano hayo yalikuwa kama ifuatavyo:-
Wewe binasfi unaamini majina ambayo wazazi wana wapa watoto wao yanachangia katika mafanikio yao kiuchumi, kielimu, na tabia zingine?...