Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mimi Siyo Marioo — Niva

Mwigizaji wa filamu Zubery Mohamed ‘Niva’ amekanusha kuwa yeye siyo Marioo yaani analelewa na wanawake bali ni jina tu ambalo limetokana na wimbo wake alioufanya na kurekodi.

 “Napata shida sana watu wananiona eti mimi Marioo jina hili nimepewa na mpenzi wangu ambaye simtaji kwa jina lake mimi ni mwanaume ninayejua majukumu yangu wala simtegemei mwanamke yoyote zaidi ya wao kujipendekeza kwangu,”anasema Niva.

Niva anasema kuwa wapo wasanii wanyonge wenye tabia hizo lakini si kwake kwani...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAYA: MIMI SIYO MGUMBA

Gladness Mallya MSANII mkongwe kwenye gemu la filamu Bongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’ amefunguka kwamba siyo mgumba wala hana gundu ila ni muda tu haujafika wa kuzaa au kuolewa. Maya aliyasema hayo kutokana na maneno ya watu wanaomuandama kwamba hazai na ana gundu ndiyo maana haolewi ambapo alisema siyo kweli ila anasubiri wakati ukifika atazaa kwani ana uzazi na hajawahi kutafuta mtoto na kumkosa. “Bado sijapata...

 

10 years ago

GPL

ESTER: MIMI SIYO MBURULA, WANAOJIUZA NI HAOHAO!

Na Imelda Mtema/Ijumaa
Msanii wa filamu anayeonekana kuwa moto, Ester Kiama amefunguka kuwa, wanaodhani ameingia kwenye fani ya uigizaji ili kutafuta wanaume wamebugi kwa kuwa yeye siyo mburula na hajui hata anaanzaanzaje kufanya hivyo. Msanii wa filamu anayeonekana kuwa moto, Ester Kiama. Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Ester alisema wakati alipokuwa nje ya fani alikuwa hapati usumbufu lakini sasa ameamua kuonyesha...

 

9 years ago

Bongo Movies

Mimi Siyo Punda Sibebi Madawa—Shilole

Msanii wa kike wa muziki wa Bongofleva Shilole alimaarufu kama 'Shishi Baby' amefunguka na kusema habebi dawa ya kulevya kwani yeye si punda ila anapokwenda nje anakwenda kufanya kazi zake na sanaa.

Shilole alipokuwa akipiga stori kwenye kipindi cha Planet Bongo cha EATV, ambapo amesema watu wengi huwa wanakuwa na dhana hiyo wakidhani labda wasanii wanapokwenda nje huwa wanabeba dawa za kulevya lakini kwa upande wake amekana wazi na kusema anapenda kazi yake ya muziki na kuiheshimu hivyo...

 

10 years ago

GPL

JIDE MIMI SIYO YESU WALA BIKIRA MARIA!

Supastaa wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo a.k.a Jide au Jaydee akipozi. Kutoka moyoni! Wakati kukiwa na maneno mengi juu ya madai ya kuvunjika kwa ndoa yake na prizenta maarufu Bongo wa Redio E-FM, Gardner G Habash ‘Kepteini’, supastaa wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo a.k.a Jide au Jaydee amefunguka kuwa naye si mkamilifu kwani siyo Yesu wala Bikira Maria. Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii, wikiendi...

 

10 years ago

GPL

FAIZA: MIMI SIYO MBULULA KWA KUVAA PEMPASI

Mzazi mwenzake na Mbunge wa Mbeya mjini Mh.Joseph Mbilinyi ‘Mr  Sugu’, Faiza Ally. Mzazi mwenzake na Mbunge wa Mbeya mjini Mh.Joseph Mbilinyi ‘Mr  Sugu’, Faiza Ally amefunguka kuwa, watu wasidhani kuwa yeye ni mbulula kwa uamuzi wake wa kuvaa pempasi ukumbini bali aliamua tu. Akipiga stori na Ijumaa juzikati, Faiza alisema ameshangaa kuona watu wanaona ni ishu kwakwe kuvaa vazi hilo na alifanya...

 

10 years ago

Michuzi

11 years ago

GPL

MTITU, NIVA WAZICHAPA

Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya Ukisikia paaa! Mastaa vidume wa Bongo Movies, William Mtitu na Zuberi Mohamed ‘Niva’ wanadaiwa kutoelewana na kuzichapa kavukavu kabla ya kuamuliwa na watu waliokuwa nao kwenye mandhari ya kurekodia sinema (location). Mkali wa Bongo Movies, William Mtitu. Kwa mujibu wa sosi wa tukio hilo lililojiri maeneo ya Kijichi jijini Dar, hivi karibuni, kisa cha wawili hao kutupiana...

 

9 years ago

Bongo Movies

Kuambiana Amliza Niva

Zuberi Mohamed ‘Niva’ amesema filamu ya ‘Kipaji Changu’ aliyoigiza na marehemu Adam Kuambiana (Pichani),humtoa machozi kila anapoitazama.

“Kipaji Changu” imetoka  wiki iliyopita lakini filamu hiyo ilichezwa muda mfdupi  kabla ya kufariki kwa Kuambiana Mei Mwaka jana.

Akizungumza swala hilo, Niva alisema “Filamu hii imenipa mawazo ambayo nahisi kama bado kuambiana yupo.”

Chanzo: Nipashe

 

10 years ago

Vijimambo

Mahojiano Maalum: “Ujane siyo ulemavu wala Huyatima siyo kufungwa” -Tabu Obago

Tabu Obago, akiwa nyumbani kwake MbagalaTabu Obago, akiwa nyumbani kwake Mbagala
Wapendwa wasomaji, wiki iliyopita niliwaletea mahojiano maalum kutoka kwa dada Zawadi Kakoschke. Katika mahojiahano hayo moja ya maswali ambayo nili muuliza ni kama kuna huusiano kati ya majina ambayo wazazi wanawapa watoto wao na mafanikio au tabia ya watoto hao. Sehemu ya mahojiano hayo yalikuwa kama ifuatavyo:-
Wewe binasfi unaamini majina ambayo wazazi wana wapa watoto wao yanachangia katika mafanikio yao kiuchumi, kielimu, na tabia zingine?...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani