FAIZA: MIMI SIYO MBULULA KWA KUVAA PEMPASI
![](http://api.ning.com:80/files/dzn4ICuAlE7A*qWbPlysjqFOSURzNKq6M*Zv1kGTkkZzZ8xQOgjlN-Jd2dUStM7q97PHKdLXDQXbIpSwhmT4fdYnI2x9KQPh/IMG20141218WA0003.jpg?width=650)
Mzazi mwenzake na Mbunge wa Mbeya mjini Mh.Joseph Mbilinyi ‘Mr Sugu’, Faiza Ally. Mzazi mwenzake na Mbunge wa Mbeya mjini Mh.Joseph Mbilinyi ‘Mr Sugu’, Faiza Ally amefunguka kuwa, watu wasidhani kuwa yeye ni mbulula kwa uamuzi wake wa kuvaa pempasi ukumbini bali aliamua tu. Akipiga stori na Ijumaa juzikati, Faiza alisema ameshangaa kuona watu wanaona ni ishu kwakwe kuvaa vazi hilo na alifanya...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-HzZaouRai3Q/UuWBiJ7yXeI/AAAAAAACY3w/sPKh7OO2pUc/s72-c/1017412_614745535265843_1890412127_n.jpg?width=650)
FAIZA AWACHARUKIA WANAOMPONDA KUVAA ‘PAMPERS’
![](http://3.bp.blogspot.com/-HzZaouRai3Q/UuWBiJ7yXeI/AAAAAAACY3w/sPKh7OO2pUc/s640/1017412_614745535265843_1890412127_n.jpg?width=650)
10 years ago
Bongo527 Jun
Najuta kuvaa nguo iliyoonesha makalio yangu — Faiza
10 years ago
Bongo Movies27 Jun
Faiza: Najuta Kuvaa Nguo Iliyoonesha Makalio Yangu
Nguo aliyoivaa usiku wa June 13 kwenye tuzo za muziki za Kilimanjaro kwa nia ya kutoka kitofauti, imegeuka kuwa zimwi linalomtesa kiasi cha kumfanya apokonywe mtoto wake kwa amri ya mahakama na mzazi mwenzake, mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu. Faiza Ally anajuta!
“Siwezi kurudia kosa, nitakuwa makini zaidi katika mavazi yangu,” Faiza aliliambia gazeti la Mwananchi ambalo alienda kwenye ofisi zake kuelezea anavyojutia uamuzi huo uliomgharimu.
“Wasanii wengi ni...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BKB8rO763wG6dpBw8GU5h8UqIJTmyKubtCcrAL6P0RsJqveTeZnPpb-vDqVmYsPdCdtP92ILvDQLRhLTkwvNsDN5Lo6aoD00/FAIZA.jpg?width=650)
FAIZA AWACHARUKIA WANAOMPONDA KUVAA ‘PAMPERS’
10 years ago
Bongo Movies23 Dec
Faiza Kufunguka Kisa Cha Kuvaa Diaper (Pampers) Kwenye Siku Yake ya Kuzaliwa!!!!
KALI YA WIKI: Kwa iliyopita hii ndio ilikuwa kali ya mwaka kwa mwigizaji wa filamu Faiza Ally, kuvaa Diaper wavaayo watoto kuhifadhi haja zao maarufu kama ‘pempasi’ kwenye kusherekea siku yake ya kuzaliwa.
Tukio hilo lilitokea juzikati katika Hotel ya Sea Cliff iliyopo Masaki jijini Dar, ambako walialikwa watu wachache kwa ajili ya kula chakula cha jioni pamoja.
Faiza ambaye amezaa mtoto na Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ leo atakuwepo kwenye kipindi cha TAKEONE, kwamujibu...
10 years ago
Bongo Movies25 Jun
Faiza Akata Rufaa Dhidi ya Ushindi wa Sugu, Asema Atamlea Mtoto Wake na Kuvaa Mavazi Yake!
Staa wa Bongo Movies, Faiza Ally aliyekuwa mchumba wa mbunge wa Mbeya Mjini, Mh Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amekata rufaa dhidi ya hukumu iliyotolewa hivi juzi ambayo ilimpa ushindi Sugu na hivyo kumchukua mtoto (Sasha) baada ya Faiza kuonekana kuwa ana muharibu mtoto kutokana na tabia zake ususani mavazi.
Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram, Faiza mbali na kuelezea rufaa yake ameeleze pia masikitiko yake kutokana na baadhi ya watu kumshabulia kwa maneno makali juu ya mavazi yake...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Sh7zTInlQpvC2gwVk2tRHC0m*wMRp0M51gqEaHrXrCmjl6Df1DZgVB4ma5-QPVOiN2RYNRmqW88PLAOA2CDB5U79TH5QmVMu/faiza.gif?width=650)
FAIZA: MIMI NI WA NUSU UTUPU TANGU UTOTONI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8KNI8B2SjT2KjdOTbHh3KuziUn13Iz0Qedkbv-84BbFAXeTUe2lIpNDXysSPiEO15q*tHLMI6Y0CjcmC9CiGFhHXH4TI-OrY/Top10.jpg)
TOP TEN YA MASTAA KUVAA NUSU UTUPU SIYO ISHU KWAO!
10 years ago
Bongo529 Sep
Sugu na Faiza waachana, Faiza alia kwa uchungu, ‘wanaume nawasihi msiache wake zenu’