Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Faiza Kufunguka Kisa Cha Kuvaa Diaper (Pampers) Kwenye Siku Yake ya Kuzaliwa!!!!

KALI YA WIKI: Kwa iliyopita hii ndio ilikuwa kali ya mwaka kwa mwigizaji wa filamu Faiza Ally, kuvaa Diaper  wavaayo watoto kuhifadhi haja zao maarufu kama ‘pempasi’ kwenye kusherekea siku yake ya kuzaliwa.

Tukio hilo lilitokea juzikati katika Hotel ya Sea Cliff iliyopo Masaki jijini Dar, ambako walialikwa watu wachache kwa ajili ya kula chakula cha jioni pamoja.

Faiza ambaye amezaa mtoto na Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ leo atakuwepo kwenye kipindi cha TAKEONE, kwamujibu...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

FAIZA AWACHARUKIA WANAOMPONDA KUVAA ‘PAMPERS’

Stori: Hamida Hassan wa GPLMzazi mwenzake na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, Faiza Ally ‘Mama Sasha’ amewafungukia watu ambao wanamponda yeye kutinga na ‘pampers’ ukumbini na kusema kuwa hiyo ni moja ya maamuzi yake binafsi.Mzazi mwenzake na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, Faiza Ally ‘Mama Sasha’ akipozi.Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Faiza aliyetinga vazi hilo katika siku yake ya kuzaliwa hivi karibuni, alisema kuvaa vile hafikiri kama kuna ubaya kwa mtu...

 

10 years ago

GPL

FAIZA AWACHARUKIA WANAOMPONDA KUVAA ‘PAMPERS’

Stori: Hamida Hassan
Mzazi mwenzake na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, Faiza Ally ‘Mama Sasha’ amewafungukia watu ambao wanamponda yeye kutinga na ‘pampers’ ukumbini na kusema kuwa hiyo ni moja ya maamuzi yake binafsi. Mzazi mwenzake na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, Faiza Ally ‘Mama Sasha’ akipozi. Akizungumza na Ijumaa Wikienda,...

 

9 years ago

Bongo5

2Face kutoa kitabu chake cha historia ‘A Very Good Bad Guy’ kwenye siku yake ya kuzaliwa

September 18, msanii nguli wa Nigeria, 2Face Idibia atatimiza umri wa miaka 40. Katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa, 2Face atafanya party ya nguvu iliyopewa jina ‘Fortyfied’ itakayojumuisha tamasha kubwa la muziki. Pia siku hiyo kitatoka kitabu cha historia yake kichopewa jina la ‘A Very Good Bad Guy: The Story Of Innocent 2Face Idibia.’ Kitabu […]

 

10 years ago

Bongo Movies

Lulu Amzawadia Nyumba Mama Yake Kwenye Siku Yake ya Kuzaliwa

Mrembo na mwigizaji wa filamu, Elizabeth Michael, ‘Lulu’siku ya jana alimfanyia sherehe mama yake mzazi kwa kufikisha miaka 45 ya kuzaliwa ilyofanyika  kwenye hoteli ya Great Wall, Masaki ambapo mastaa kadhaa wa hapa bongo walihudhuria sherehe hiyo ambapo inadaiwa kuwa mbali kuandaa sherehe hizo mwanadada Lulu alimzawadia jumba mama yake ambayo inasemekana ipo Kimara hapa jijini Dar.

Hii ni kwa mijibu wa mwigizaji Flora Mvungi “H mama”ambae ni moja kati ya mastaa kadhaa waliohudhuria...

 

10 years ago

CloudsFM

PETIT MAN AMFANYIA ‘’SURPRISE’DADA YAKE DIAMOND KWENYE SIKU YAKE YA KUZALIWA

Meneja wa msanii wa Bongo Fleva,Mirror,Petit Man kutoka kampuni ya Endless Fame chini yake Wema Sepetu jana alimfanyia Surprise mke wake ambaye ni dada yake aitwaye Esma Platinumz kwa kumzawadia zawadi ya gari kwenye sherehe yake ya kuzaliwa iliyofanyika Samaki Samaki maeneo ya Masaki.Katika Sherehe iliyohudhuliwa na mastaa kibao akiwemo Wema Sepetu,Petit Man wakati akimzawadia mke wake huyo hakuamini na kuanza kulia kwa furaha. Kupitia Instagram Esma aliandika hivi....Thank u my husband for...

 

10 years ago

Vijimambo

SOPHIA ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA KWENYE MGAHAWA WA SAPHIRE NEW YORK

Sophia mkazi wa DMV akiwa ndani ya mgahawa wa Saphire uliopo Harlem, Lenox New York siku ya Jumamosi Desemba 13, 2014 aliposherehekea siku yake ya kuzaliwa ndani ya jiji la wasiolala.Sophia(kulia) akiwa na ndugu zake siku ya Jumamosi Desemba 13, 2014 alipokua jiji la wasiolala kusherehekea siku yake ya kuzaliwa.Sophia akiwa ndani ya mgahawa wa Saphire uliopo Harlem, Lenox New York akisherehekea siku yake ya kuzaliwa.  Sophia akipata picha ya pamoja na BahiaKutoka kushoto ni Issa, Farida,...

 

9 years ago

MillardAyo

Maamuzi ya Mbunge Professor Jay kwenye siku yake ya kuzaliwa Dec 29…

Ikiwa Dec 29 ni siku ya kuzaliwa kwa msanii na mbunge wa Mikumi,Mh Joseph Haule aka Professor Jay ameamua kuchukua maamuzi ya kufanya usafi kwenye ofisi aliyokabidhiwa leo huko jimboni Mikumi Morogoro. Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram mbunge huyo aliandika..’Asante sana Mungu leo nimetimiza miaka 40 tangu nimezaliwa …. I dedicate this birthday kwa […]

The post Maamuzi ya Mbunge Professor Jay kwenye siku yake ya kuzaliwa Dec 29… appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

MillardAyo

Madee kamuandikia wimbo huu Marehemu Abdul Bonge kwenye siku yake ya kuzaliwa.

Ilikua ni Jumamosi ya March 28 2015 ambapo zilianza kusambaa taarifa za kifo cha Miongoni mwa Waanzilishi wa kundi la Tip Top Connection Abdul Bonge,kifo ambacho inasemekana kilisababishwa na ugomvi ambao Marehemu Abdul Bonge alienda kuamulia kwa bahati mbaya akasukumwa akadondoka na kufariki. Madee kaamua kuingia studio na kurekodi wimbo huu kwa ajili ya kumbukumbu […]

The post Madee kamuandikia wimbo huu Marehemu Abdul Bonge kwenye siku yake ya kuzaliwa. appeared first on...

 

10 years ago

Bongo Movies

Faiza Akata Rufaa Dhidi ya Ushindi wa Sugu, Asema Atamlea Mtoto Wake na Kuvaa Mavazi Yake!

Staa wa Bongo Movies, Faiza Ally aliyekuwa mchumba wa mbunge wa Mbeya Mjini, Mh Joseph Mbilinyi ‘Sugu’  amekata rufaa dhidi ya hukumu iliyotolewa hivi juzi ambayo ilimpa ushindi Sugu na hivyo kumchukua mtoto (Sasha) baada ya Faiza kuonekana kuwa ana muharibu mtoto kutokana na tabia zake ususani mavazi.

Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram, Faiza mbali na kuelezea rufaa yake ameeleze pia masikitiko yake kutokana na baadhi ya watu kumshabulia kwa maneno makali  juu ya mavazi yake...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani