FAIZA AWACHARUKIA WANAOMPONDA KUVAA ‘PAMPERS’
Stori: Hamida Hassan wa GPLMzazi mwenzake na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, Faiza Ally ‘Mama Sasha’ amewafungukia watu ambao wanamponda yeye kutinga na ‘pampers’ ukumbini na kusema kuwa hiyo ni moja ya maamuzi yake binafsi.Mzazi mwenzake na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, Faiza Ally ‘Mama Sasha’ akipozi.Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Faiza aliyetinga vazi hilo katika siku yake ya kuzaliwa hivi karibuni, alisema kuvaa vile hafikiri kama kuna ubaya kwa mtu...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLFAIZA AWACHARUKIA WANAOMPONDA KUVAA ‘PAMPERS’
10 years ago
Bongo Movies23 Dec
Faiza Kufunguka Kisa Cha Kuvaa Diaper (Pampers) Kwenye Siku Yake ya Kuzaliwa!!!!
KALI YA WIKI: Kwa iliyopita hii ndio ilikuwa kali ya mwaka kwa mwigizaji wa filamu Faiza Ally, kuvaa Diaper wavaayo watoto kuhifadhi haja zao maarufu kama ‘pempasi’ kwenye kusherekea siku yake ya kuzaliwa.
Tukio hilo lilitokea juzikati katika Hotel ya Sea Cliff iliyopo Masaki jijini Dar, ambako walialikwa watu wachache kwa ajili ya kula chakula cha jioni pamoja.
Faiza ambaye amezaa mtoto na Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ leo atakuwepo kwenye kipindi cha TAKEONE, kwamujibu...
9 years ago
Bongo Movies30 Sep
Faiza: Tuwe Tunahofu ya Mungu, Wanaomponda Lowassa na Wema
Saa nyingine ili uone uzito wajambo inabidi uvae viatu vya mwenzio- kwa kweli imefika wkt najisikia vibaya kuhusu kusoma ugonjwa wa LOWASA, watu wameona ndio fimbo ya kumchapia kuhusu ugonjwa wake kwa kweli sijisikii vizuri na sioni kama sawa
Pia katika pita pita huku insta nimeona Wema na mbwa na Zari na mtoto na maneno ya kashfa juu yake, jamani watanzania mnamatatizo gani kuhusu maisha ya watu!
Kwa nini unamsema vibaya mtu juu ya kilema chake ? Kwa nini usimsema mapungufu yake bila...
10 years ago
Bongo Movies27 Jun
Faiza: Najuta Kuvaa Nguo Iliyoonesha Makalio Yangu
Nguo aliyoivaa usiku wa June 13 kwenye tuzo za muziki za Kilimanjaro kwa nia ya kutoka kitofauti, imegeuka kuwa zimwi linalomtesa kiasi cha kumfanya apokonywe mtoto wake kwa amri ya mahakama na mzazi mwenzake, mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu. Faiza Ally anajuta!
“Siwezi kurudia kosa, nitakuwa makini zaidi katika mavazi yangu,” Faiza aliliambia gazeti la Mwananchi ambalo alienda kwenye ofisi zake kuelezea anavyojutia uamuzi huo uliomgharimu.
“Wasanii wengi ni...
10 years ago
Bongo527 Jun
Najuta kuvaa nguo iliyoonesha makalio yangu — Faiza
10 years ago
GPLFAIZA: MIMI SIYO MBULULA KWA KUVAA PEMPASI
10 years ago
Bongo Movies25 Jun
Faiza Akata Rufaa Dhidi ya Ushindi wa Sugu, Asema Atamlea Mtoto Wake na Kuvaa Mavazi Yake!
Staa wa Bongo Movies, Faiza Ally aliyekuwa mchumba wa mbunge wa Mbeya Mjini, Mh Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amekata rufaa dhidi ya hukumu iliyotolewa hivi juzi ambayo ilimpa ushindi Sugu na hivyo kumchukua mtoto (Sasha) baada ya Faiza kuonekana kuwa ana muharibu mtoto kutokana na tabia zake ususani mavazi.
Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram, Faiza mbali na kuelezea rufaa yake ameeleze pia masikitiko yake kutokana na baadhi ya watu kumshabulia kwa maneno makali juu ya mavazi yake...
10 years ago
Bongo529 Sep
Sugu na Faiza waachana, Faiza alia kwa uchungu, ‘wanaume nawasihi msiache wake zenu’
10 years ago
Bongo Movies15 Jan
Irene Paul Awashukia Wanaomponda Kufanana Agelina Jolie
“Insta weka picha maneno WAACHIE WAO halafu kuweni na hoja maana tofauti na hapo zikiwa shangwe au kuzomewa zote KELELE haya halafu uzuri mmoja jamani Mungu si baba yetu wote?kwa hiyo nikijichagulia DADANGU kwa mapenzi basi tafuta wako pia mchague umpende and further more UKIAMBIWA'SIO UKISEMA'kitu kimoja zaidi ya watu ku mi tofauti wasiojuana basi ashakhum si matusi IPITISHWEEEE kufananishwa kila mtu ana fulani WAKUFANANISHWA meaning kuna baadhi ya vitu wamefanana sasa ingekuwa kila kitu si...