MIMI ‘MTU WANGU MZUNGU’ NDIYO NINI SASA? - 2
Karibuni sana wasomaji wangu wapendwa katika safu hii maalum kwa ajili ya kuelekezana mambo mbalimbali yanayohusu maisha kwa ujumla hasa upande wa mapenzi kama siyo mahaba.Mfano wa mambo hayo ni namna wenza wanaoishi na ndugu au wazazi wao wanavyopaswa kuishi kwa hekima bila kuwakwaza.
Kujiepusha na kauli zisizofaa ambazo mara nyingi zimekuwa zikiharibu uhusiano wao, kujiweka katika mazingira ya usafi wa nyumba na mavazi.Mambo mengine ni kuwa waaminifu katika uhusiano wao kwa sababu wenza...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMIMI ‘MTU WANGU MZUNGU’ NDIYO NINI SASA?
10 years ago
GPLMIMI ‘MTU WANGU MZUNGU’ NDIYO NINI SASA? - 2
9 years ago
Global Publishers17 Dec
Jamani Kaka Cheni …Ndiyo Nini Sasa?!-6
ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA:
“Anko, Mwanamaua anasema amesahau kitambaa chake cha kichwani chumbani kwako kitandani, kasema nipe nimpelekee ataulizwa na mama yake asiporudi nacho…halafu kasema hujamwambia usiku wa leo aje au asije maana simu yake ina matatizo ya chaja.”
SHUKA NAYO MWENYEWE SASA…
Nilimwona baba akitetemeka, akamkazia macho kaka Cheni, akasimama maana alikaa…
“Cheni,” aliita mama akitoka ndani na si baba…
“Abee…” kaka Cheni alichanganyikiwa, ilibidi aitike kama mwanamke, kama...
9 years ago
Global Publishers24 Dec
Jamani Kaka Cheni …Ndiyo Nini Sasa?!-7
ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA:
“Eee…nani? Kaanguka? Nakuja…nakuja sasa hivi,” alisema Suu na nikasikia kitanda kikilia, kuashira anatoka kitandani. Nikachukia sana maana na mimi nilikuwa pazuri.
Suu alifungua mlango huku akimwambia kaka Cheni…
“Baby acha niende tu. Nitarudi baadaye…”
TAMBAA NAYO SASA…
Kaka Cheni alijitahidi kumshawishi demu wake asiondoke, lakini wapi! Akasema lazima aende. Na mimi nikawa namwombea kwa mungu wangu demu wake asiondoke ili nifaidi maana nilishakuwa moto.
“Hapana...
11 years ago
Habarileo25 Feb
Mgimwa- Mimi si Mzungu
MGOMBEA ubunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Kalenga, Godfrey Mgimwa amesema hana chembe yoyote ya uzungu. Amesema anakishangaa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa kumtuhumu kwamba si Mtanzania.
10 years ago
Zitto Kabwe, MB14 Oct
Nyerere Wangu Mimi!
Mwaka 1984 nilianza darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Kigoma, katika mji wa Kigoma. Nakumbuka kupelekwa Shule siku ya kwanza na mama yangu mzazi Bi Shida Salum (Mungu amrehemu) nikiwa sina viatu yaani pekupeku wala begi la mkononi, nilikuwa nimebeba mfuko wa nailoni. Nakumbuka usiku wa kuamkia siku ya kwanza kwenda shule, sikulala kwa furaha na hamu ya kuwa msomi, nilijisikia fahari kuanza shule japokuwa sikuwa na kitu chochote cha zaida zaidi ya kaptula ya shule na shati liloshonwa...
10 years ago
Mwananchi29 Nov
Mimi na Wema ndiyo tunajua ukweli
10 years ago
Mwananchi01 Jun
Wasira: Hii ndiyo Tanzania ninayoitaka mimi
10 years ago
GPLMBASHA: MIMI NA FLORA NDIYO BASI TENA!