Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MIMI ‘MTU WANGU MZUNGU’ NDIYO NINI SASA?

Ni Jumanne tena! Wapenzi wasomaji wa safu hii ya mapenzi na maisha, nawakaribisha leo kwa ajili ya mada nyingine ambayo ni motomoto kama ilivyo kawaida yangu. Baada ya wiki iliyopita kumalizana na mada ya kosea kuchagua kila kitu lakini siyo mwenza. Wiki hii tuna mada hii ya Mimi Mtu Wangu Mzungu. Nimekuwa nikiwasikia watu mbalimbali, wake kwa waume wakilitumia hili neno (Mzungu) japokuwa kwa upande wa wenzetu wanawake ndiyo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MIMI ‘MTU WANGU MZUNGU’ NDIYO NINI SASA? - 2


Karibuni sana wasomaji wangu wapendwa katika safu hii maalum kwa ajili ya kuelekezana mambo mbalimbali yanayohusu maisha kwa ujumla hasa upande wa mapenzi kama siyo mahaba.Mfano wa mambo hayo ni namna wenza wanaoishi na ndugu au wazazi wao wanavyopaswa kuishi kwa hekima bila kuwakwaza.

Kujiepusha na kauli zisizofaa ambazo mara nyingi zimekuwa zikiharibu uhusiano wao, kujiweka katika mazingira ya usafi wa nyumba na mavazi.Mambo mengine ni kuwa waaminifu katika uhusiano wao kwa sababu wenza...

 

10 years ago

GPL

MIMI ‘MTU WANGU MZUNGU’ NDIYO NINI SASA? - 2

Karibuni sana wasomaji wangu wapendwa katika safu hii maalum kwa ajili ya kuelekezana mambo mbalimbali yanayohusu maisha kwa ujumla hasa upande wa mapenzi kama siyo mahaba.Mfano wa mambo hayo ni namna wenza wanaoishi na ndugu au wazazi wao wanavyopaswa kuishi kwa hekima bila kuwakwaza. Kujiepusha na kauli zisizofaa ambazo mara nyingi zimekuwa zikiharibu uhusiano wao, kujiweka katika mazingira ya usafi wa nyumba na mavazi.Mambo...

 

9 years ago

Global Publishers

Jamani Kaka Cheni …Ndiyo Nini Sasa?!-6

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA:
“Anko, Mwanamaua anasema amesahau kitambaa chake cha kichwani chumbani kwako kitandani, kasema nipe nimpelekee ataulizwa na mama yake asiporudi nacho…halafu kasema hujamwambia usiku wa leo aje au asije maana simu yake ina matatizo ya chaja.”
SHUKA NAYO MWENYEWE SASA…

Nilimwona baba akitetemeka, akamkazia macho kaka Cheni, akasimama maana alikaa…
“Cheni,” aliita mama akitoka ndani na si baba…
“Abee…” kaka Cheni alichanganyikiwa, ilibidi aitike kama mwanamke, kama...

 

9 years ago

Global Publishers

Jamani Kaka Cheni …Ndiyo Nini Sasa?!-7

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA:

“Eee…nani? Kaanguka? Nakuja…nakuja sasa hivi,” alisema Suu na nikasikia kitanda kikilia, kuashira anatoka kitandani. Nikachukia sana maana na mimi nilikuwa pazuri.

Suu alifungua mlango huku akimwambia kaka Cheni…

“Baby acha niende tu. Nitarudi baadaye…”

TAMBAA NAYO SASA…

Kaka Cheni alijitahidi kumshawishi demu wake asiondoke, lakini wapi! Akasema lazima aende. Na mimi nikawa namwombea kwa mungu wangu demu wake asiondoke ili nifaidi maana nilishakuwa moto.

“Hapana...

 

11 years ago

Habarileo

Mgimwa- Mimi si Mzungu

MGOMBEA ubunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Kalenga, Godfrey Mgimwa amesema hana chembe yoyote ya uzungu. Amesema anakishangaa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa kumtuhumu kwamba si Mtanzania.

 

10 years ago

Zitto Kabwe, MB

Nyerere Wangu Mimi!

nyerereMwaka 1984 nilianza darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Kigoma, katika mji wa Kigoma. Nakumbuka kupelekwa Shule siku ya kwanza na mama yangu mzazi Bi Shida Salum (Mungu amrehemu) nikiwa sina viatu yaani pekupeku wala begi la mkononi, nilikuwa nimebeba mfuko wa nailoni. Nakumbuka usiku wa kuamkia siku ya kwanza kwenda shule, sikulala kwa furaha na hamu ya kuwa msomi, nilijisikia fahari kuanza shule japokuwa sikuwa na kitu chochote cha zaida zaidi ya kaptula ya shule na shati liloshonwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Mimi na Wema ndiyo tunajua ukweli

Uwepo wa maneno mengi yanayoongelewa juu ya uhusiano uliopo kati ya mwanamuziki Nassib Abdul ‘Diamond’na mrembo kutoka Uganda Zari Hassan ‘The boss Lady’, umezidi kuwapa maswali mashabiki wake. Wengi wao wamekuwa na hamu ya kutaka kujua ukweli juu ya hilo.

 

10 years ago

Mwananchi

Wasira: Hii ndiyo Tanzania ninayoitaka mimi

>Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wasira ametangaza nia ya kuwania urais akisema iwapo CCM itampa ridhaa ya kupeperusha bendera yake, atahakikisha utendaji wa Serikali yake unakuwa wa kitaasisi.

 

10 years ago

GPL

MBASHA: MIMI NA FLORA NDIYO BASI TENA!

Brighton Masalu
Mwisho wa reli? Aliyekuwa mume wa mwanamuziki wa Injili, Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha ameapa kwa kulamba kidole, kukichovya kwenye mchanga kisha kukipitisha shingoni kuwa, hana mpango wa kurudiana na mkewe huyo katika maisha yake, Ijumaa Wikienda linakumenyea. Aliyekuwa mume wa mwanamuziki wa Injili, Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha. Akizungumza na gazeti hili wikiendi iliyopita, Mbasha aliweka wazi maumivu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani