GENEVIEVE NNAJI AZUNGUMZIA ISHU YA KUOLEWA
![](http://api.ning.com:80/files/hnZ2zBlGGNXUWAkCMd9VZll0Ob6KtDGmCHCHpZlAHNiZx9FcBdmn96T-EVjHRlPm57iijUdmyqTYMqzxn5L4gfiDKZgtCEsL/GenevieveNnajiNovember2013BellaNaija022.jpg?width=650)
Queen wa Filamu za Kinigeria, Genevieve Nnaji. Lagos, Nigeria QUEEN wa Filamu za Kinigeria, Genevieve Nnaji, hivi karibuni amefunguka kuwa hana mpango wa kuolewa, maana bado hajampata mwanamme wa kuanza naye maisha ya ndoa. Genevieve, 36, aliyazungumza hayo mwishoni mwa wiki iliyopita alipokuwa akifanya mahojiano na mtandao mmoja wa kiburudani wa Nollywood, hasa pale alipoulizwa kama alikuwa na mpango wa kuolewa hivi karibuni....
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo524 Oct
Mwigizaji wa Nigeria Genevieve Nnaji (36) azungumzia sababu za kwanini bado hajaolewa
9 years ago
Global Publishers16 Dec
Baba wa mwigizaji Genevieve Nnaji afikisha miaka 80
Mwigizaji Genevieve Nnaji akiwa na baba’ke.
MWIGIZAJI wa kike wa Nigeria, Genevieve Nnaji, jana alijirusha kwa furaha katika sherehe ya baba yake kutimiza miaka 80 siku ya Desemba 15, 2015.
Genevieve aliandika katika ukurasa wake wa mtandao wa Instragram leo asubuhi akimshukuru Mungu kwa kumlinda baba yake hadi leo ambapo alipiga naye picha na baba yake.
Baba yake Genevieve ambaye ni moto wa nne miongoni mwa watoto wanane wa familia yake, alikuwa mhandisi kabla ya kustaafu.
11 years ago
Bongo505 Jul
Genevieve Nnaji ashambuliwa kwa kuziponda filamu za Nigeria
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/rita-dominic-ramsey-nouah-mauritius-1.jpg)
GENEVIEVE NNAJI, RAMSEY NOUAH, DESMOND ELLIOTT NA RITA DOMINIC WAINADI DSTV
9 years ago
Bongo529 Sep
Video: Trailer ya filamu mpya ya mwigizaji wa Nigeria Genevieve Nnaji — ‘Road to Yesterday’
9 years ago
Bongo527 Oct
Mwigizaji wa Nigeria Genevieve Nnaji adai suala la kuwa single hadi sasa halimsumbui
9 years ago
Bongo507 Oct
Road to Yesterday: Teaser ya pili ya filamu mpya ya mwigizaji wa Naija Genevieve Nnaji (video)
9 years ago
Bongo503 Nov
Genevieve Nnaji kuja na ‘Road to Yesterday’ baada ya kuwa kimya kwa miaka miwili
![12145477_790315321079211_455722967_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/12145477_790315321079211_455722967_n-94x94.jpg)
10 years ago
Bongo Movies04 Sep
Wema sepetu azungumzia ishu ya kuajiriwa na kajala. Mpenzi wake kutoka na mtu mwingine na bifu zake.
Mitandao na magazeti siku chache zilizopita ilitoka stori ambayo ilidai Kajala anaelekea kumuajiri Wema Sepetu,leo Wema kapatikana na kakubali kuongelea isue hizo zote ikiwemo hiyo ya Kajala.
Kupitia You heard ya XXL ya Clouds Fm Soudy Brown alianza kwa kutaka kufahamu kama kweli Kajala anaweza kumuajiri yeye [Wema]. Wema Sepetu akamjibu>>’Inawezekana,kila kitu kinawezekana Soudy’
Kuhusu mshahara ambao anataka kulipwa na Kajala,Wema Sepetu amejibu>>’Kwa Kajala mi sihitaji mshahara hata...