Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Road to Yesterday: Teaser ya pili ya filamu mpya ya mwigizaji wa Naija Genevieve Nnaji (video)

Wiki iliyopita iliachiwa teaser ya kwanza ya filamu mpya ‘Road to Yesterday’ ambayo ameigiza staa wa Nollywood, Genevieve Nnaji kutoka Nigeria. Filamu hiyo ambayo ndio ya kwanza kutoka kwa Genevieve ndani ya miaka miwili, imebeba story ya wanandoa wanaojaribu kuokoa ndoa yao ambayo iko kwenye mgogoro. Genevieve ameigiza kama mke na mama kwa kutumia jina […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Video: Trailer ya filamu mpya ya mwigizaji wa Nigeria Genevieve Nnaji — ‘Road to Yesterday’

Mwigizaji maarufu wa Nigeria, Genevieve Nnaji amecheza kwenye filamu mpya iitwayo ‘Road to Yesterday’, ikiwa ndio filamu yake ya kwanza ndani ya miaka miwili iliyopita. Kwenye filamu hiyo aliyocheza na muigizaji mpya Muingereza mwenye asili ya Nigeria aitwaye Oris Erhuerho, Genevieve ameigiza kama ‘Victoria Izu’ ambaye ni mke pamoja na mama. ‘Road to Yesterday’ ni […]

 

9 years ago

Bongo5

Genevieve Nnaji kuja na ‘Road to Yesterday’ baada ya kuwa kimya kwa miaka miwili

12145477_790315321079211_455722967_nBaada ya kuwa kimya kwa kipindi cha miaka miwili, muigizaji wa Nigeria, Genevieve Nnaji anatarajia kurudi tena kwenye filamu. Staa huyo wa Nollywood anatarajia kuja na filamu ya kwanza aliyoitayarisha mwenyewe, ‘Road to Yesterday.’ Nnaji alisema huu ni muda muafaka kwa yeye kurejea tena lakini akihusika zaidi pia kwenye utayarishaji. Amesema filamu hiyo aliyoshirikiana kuiandaa […]

 

9 years ago

Global Publishers

Baba wa mwigizaji Genevieve Nnaji afikisha miaka 80

image

Mwigizaji Genevieve Nnaji akiwa na baba’ke.

MWIGIZAJI wa kike wa Nigeria, Genevieve Nnaji, jana alijirusha kwa furaha katika sherehe ya baba yake kutimiza miaka 80 siku ya Desemba 15, 2015.

Genevieve aliandika katika ukurasa wake wa mtandao wa Instragram leo asubuhi akimshukuru Mungu kwa kumlinda baba yake hadi leo ambapo alipiga naye picha na baba yake.

Baba yake Genevieve ambaye ni moto wa nne miongoni mwa watoto wanane wa familia yake, alikuwa mhandisi kabla ya kustaafu.

 

9 years ago

Bongo5

Mwigizaji wa Nigeria Genevieve Nnaji (36) azungumzia sababu za kwanini bado hajaolewa

Mwigizaji superstar wa Nigeria, Genevieve Nnaji amezungumzia kuhusu maisha yake ya mapenzi na mipango ya ndoa. Genevieve ni msichana mrembo na aliyefanikiwa kimaisha kupitia filamu pamoja na biashara zake nyingine ikiwemo mitindo, lakini katika umri wa miaka 36 alionao sasa bado hajabahatika kuolewa. Staa huyo ambaye kwa sasa anapromote filamu yake mpya ‘Road To Yesterday’ […]

 

9 years ago

Bongo5

Mwigizaji wa Nigeria Genevieve Nnaji adai suala la kuwa single hadi sasa halimsumbui

Star wa Nollywood Genevieve Nnaji, 36, amesema kuwa swala la yeye kutokuwa na mpenzi (kuwa single) hadi sasa halimsumbui. Hivi karibuni Genevieve katika mahojiano na Punch ya Nigeria, alisema kuwa hajaolewa hadi sasa kwasababu hajafanikiwa kupata mwanaume anayefaa kuwa mume wake. Katika mahojiano mengine na jarida la Encomium Weekly, alipoulizwa kama swala la kuwa single […]

 

11 years ago

Bongo5

Genevieve Nnaji ashambuliwa kwa kuziponda filamu za Nigeria

Muigizaji wa filamu wa Nigeria, Genevieve Nnaji amelazimika kujitetea baada ya kunukuliwa kwenye mahojiano akiziponda filamu za Nigeria. Kwenye mahojiano hayo, Genevieve ambaye ni miongoni mwa waigizaji wenye fedha zaidi nchini humo alidai kuwa haonekani kwenye filamu mpya kwakuwa hajapata script inayomfaa na kwamba tasnia ya filamu nchini humo haikui. “Ninaziunga mkono filamu ambazo zinazonesha […]

 

9 years ago

GPL

GENEVIEVE NNAJI AZUNGUMZIA ISHU YA KUOLEWA

Queen wa Filamu za Kinigeria, Genevieve Nnaji. Lagos, Nigeria
QUEEN wa Filamu za Kinigeria, Genevieve Nnaji, hivi karibuni amefunguka kuwa hana mpango wa kuolewa, maana bado hajampata mwanamme wa kuanza naye maisha ya ndoa. Genevieve, 36, aliyazungumza hayo mwishoni mwa wiki iliyopita alipokuwa akifanya mahojiano na mtandao mmoja wa kiburudani wa Nollywood, hasa pale alipoulizwa kama alikuwa na mpango wa kuolewa hivi karibuni....

 

9 years ago

GPL

GENEVIEVE NNAJI, RAMSEY NOUAH, DESMOND ELLIOTT NA RITA DOMINIC WAINADI DSTV

Waigizaji maarufu wa filamu nchini Nigeria, Ramsey Nouah (kushoto) Rita Dominic na Desmond Elliott wakiwa nchini Mauritius. Nguli hao wakiwa katika pozi. Rita na Desmond.…

 

11 years ago

Bongo5

New Video: Yemi Alade wa Naija ampata ‘Johnny’! Mtazame katika video yake mpya ‘Tangerine’

Mwimbaji wa Nigeria Yemi Alade hana jina kubwa sana Tanzania, lakini video na wimbo wake wa ‘Johnny’ (I’m looking for my Johnny…questiion) umejipatia umaarufu mkubwa. Yemi ameachia video mpya ‘Tangerine’ ambayo ndani yake kamuonesha video model wa kiume muigizaji Alex Ekubo, ambaye kwenye video anaonekana amevaa jezi iliyandikwa ‘Johnny’ kwa nyuma. Hii inaunganisha maana ya […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani