GENEVIEVE NNAJI, RAMSEY NOUAH, DESMOND ELLIOTT NA RITA DOMINIC WAINADI DSTV

Waigizaji maarufu wa filamu nchini Nigeria, Ramsey Nouah (kushoto) Rita Dominic na Desmond Elliott wakiwa nchini Mauritius. Nguli hao wakiwa katika pozi. Rita na Desmond.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo519 Jan
Van Vicker, Genevieve, Rita Dominic waomboleza kifo cha muigizaji wa Nollywood, Muna Obiekwe
9 years ago
Mtanzania07 Dec
Ramsey Nouah kutua Kenya
NAIROBI, KENYA
MKALI wa filamu nchini Nigeria, Ramsey Nouah, anatarajia kuwasili nchini Kenya kwa ajili ya tamasha la utengenezaji wa filamu bora.
Msanii huyo aliyefanya vizuri kuitangaza tasnia ya filamu ndani na nje ya nchi yao na pia kujijengea upendo mkubwa kwa mashabiki wake hasa wa kike, anatarajiwa kutua nchini humo Desemba 18.
Ramsey Nouah amewataka wapenzi wa filamu nchini humo wajitokeze kwa wingi ili kupata elimu ya filamu itakayoambatana na mashindano ya mitindo...
10 years ago
Mtanzania25 Mar
Marafiki hawatambui ndoa ya Ramsey Nouah
NA BADI MCHOMOLO
NDOA ya msanii maarufu wa filamu nchini Nigeria, Ramsey Nouah, haitambuliki kwa jamii japokuwa ana mke na watoto wawili.
Watu wengi nchini humo wanaamini kuwa msanii huyo ana mke ambaye anajulikana kwa jina la Emelia Philips, mama wa watoto wawili, lakini rafiki wa karibu na msanii huyo amesema kwamba wawili hao bado hawajafunga ndoa.
“Wangekuwa wamefunga ndoa lazima wangekuwa na cheti, lakini hadi leo hawana cheti ina maana hawa bado wanaishi kwa miaka yote bila ya...
10 years ago
GPL
GENEVIEVE NNAJI AZUNGUMZIA ISHU YA KUOLEWA
10 years ago
GPL
RAMSEY NOUAH ALIA NA ‘MEDIA’
9 years ago
Global Publishers16 Dec
Baba wa mwigizaji Genevieve Nnaji afikisha miaka 80
Mwigizaji Genevieve Nnaji akiwa na baba’ke.
MWIGIZAJI wa kike wa Nigeria, Genevieve Nnaji, jana alijirusha kwa furaha katika sherehe ya baba yake kutimiza miaka 80 siku ya Desemba 15, 2015.
Genevieve aliandika katika ukurasa wake wa mtandao wa Instragram leo asubuhi akimshukuru Mungu kwa kumlinda baba yake hadi leo ambapo alipiga naye picha na baba yake.
Baba yake Genevieve ambaye ni moto wa nne miongoni mwa watoto wanane wa familia yake, alikuwa mhandisi kabla ya kustaafu.
11 years ago
Bongo505 Jul
Genevieve Nnaji ashambuliwa kwa kuziponda filamu za Nigeria
10 years ago
Bongo524 Oct
Mwigizaji wa Nigeria Genevieve Nnaji (36) azungumzia sababu za kwanini bado hajaolewa
10 years ago
Bongo529 Sep
Video: Trailer ya filamu mpya ya mwigizaji wa Nigeria Genevieve Nnaji — ‘Road to Yesterday’