Ramsey Nouah kutua Kenya
NAIROBI, KENYA
MKALI wa filamu nchini Nigeria, Ramsey Nouah, anatarajia kuwasili nchini Kenya kwa ajili ya tamasha la utengenezaji wa filamu bora.
Msanii huyo aliyefanya vizuri kuitangaza tasnia ya filamu ndani na nje ya nchi yao na pia kujijengea upendo mkubwa kwa mashabiki wake hasa wa kike, anatarajiwa kutua nchini humo Desemba 18.
Ramsey Nouah amewataka wapenzi wa filamu nchini humo wajitokeze kwa wingi ili kupata elimu ya filamu itakayoambatana na mashindano ya mitindo...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania25 Mar
Marafiki hawatambui ndoa ya Ramsey Nouah
NA BADI MCHOMOLO
NDOA ya msanii maarufu wa filamu nchini Nigeria, Ramsey Nouah, haitambuliki kwa jamii japokuwa ana mke na watoto wawili.
Watu wengi nchini humo wanaamini kuwa msanii huyo ana mke ambaye anajulikana kwa jina la Emelia Philips, mama wa watoto wawili, lakini rafiki wa karibu na msanii huyo amesema kwamba wawili hao bado hawajafunga ndoa.
“Wangekuwa wamefunga ndoa lazima wangekuwa na cheti, lakini hadi leo hawana cheti ina maana hawa bado wanaishi kwa miaka yote bila ya...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bAnmdOW7NagjAJLGHH0ANDu0SKlw6-xQH9ehv3laMMKVBqcSbR1avqZHbuyQyw83haZ1xP9Kj4zvIXe*D5ynKA8zSM8iA*1K/RamseyNouah4.jpg?width=650)
RAMSEY NOUAH ALIA NA ‘MEDIA’
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/rita-dominic-ramsey-nouah-mauritius-1.jpg)
GENEVIEVE NNAJI, RAMSEY NOUAH, DESMOND ELLIOTT NA RITA DOMINIC WAINADI DSTV
10 years ago
Mtanzania12 Aug
Ne-Yo kutua Kenya
NAIROBI, Kenya
NYOTA wa mziki wa RnB nchini Marekani, Shaffer Smith ‘Ne-Yo’ anatarajia kuwasili nchini Kenya Agosti 19, mwaka huu, kwa ajili ya tamasha la Coke Studio Africa, lakini mpaka sasa bado haijajulikana kwamba litafanyika kwenye ukumbi gani.
Mwezi uliopita msanii huyo alikuwa nchini Afrika Kusini katika tamasha la tuzo za MTV MAMA, hivyo hii itakuwa ni mara ya pili kwa msanii huyo kutua Afrika.
“Nitakuwepo nchini Kenya muda mfupi ujayo, mashabiki wakae tayari kuwa pamoja Agosti 19...
9 years ago
Mwananchi24 Nov
Papa kutua Kenya Kesho
11 years ago
GPLAKON KUTUA KENYA MWEZI UJAO
9 years ago
Mtanzania25 Nov
Papa Francis kutua Kenya leo
NAIROBI, Kenya
KIONGOZI wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, anatarajiwa kuwasili Kenya leo jioni kwa ziara ya siku tatu.
Wakati huohuo, Serikali ya Kenya imetangaza kesho kuwa mapumziko maalumu kwa ibada itakayoongozwa na kiongozi huyo.
Papa anatarajiwa kugusa ardhi ya Kenya saa 11 jioni ndege yake itakapotua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, Nairoibi.
Atakuwa Kenya kwa ziara ya siku tatu kabla ya kwenda Uganda keshokutwa na baadaye Jamhuri ya Afrika ya Kati...
9 years ago
BBCSwahili20 Dec
Tishio la 'Bomu' lalazimu ndege ya Ufaransa kutua Kenya