Ne-Yo kutua Kenya
NAIROBI, Kenya
NYOTA wa mziki wa RnB nchini Marekani, Shaffer Smith ‘Ne-Yo’ anatarajia kuwasili nchini Kenya Agosti 19, mwaka huu, kwa ajili ya tamasha la Coke Studio Africa, lakini mpaka sasa bado haijajulikana kwamba litafanyika kwenye ukumbi gani.
Mwezi uliopita msanii huyo alikuwa nchini Afrika Kusini katika tamasha la tuzo za MTV MAMA, hivyo hii itakuwa ni mara ya pili kwa msanii huyo kutua Afrika.
“Nitakuwepo nchini Kenya muda mfupi ujayo, mashabiki wakae tayari kuwa pamoja Agosti 19...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania07 Dec
Ramsey Nouah kutua Kenya
NAIROBI, KENYA
MKALI wa filamu nchini Nigeria, Ramsey Nouah, anatarajia kuwasili nchini Kenya kwa ajili ya tamasha la utengenezaji wa filamu bora.
Msanii huyo aliyefanya vizuri kuitangaza tasnia ya filamu ndani na nje ya nchi yao na pia kujijengea upendo mkubwa kwa mashabiki wake hasa wa kike, anatarajiwa kutua nchini humo Desemba 18.
Ramsey Nouah amewataka wapenzi wa filamu nchini humo wajitokeze kwa wingi ili kupata elimu ya filamu itakayoambatana na mashindano ya mitindo...
9 years ago
Mwananchi24 Nov
Papa kutua Kenya Kesho
9 years ago
Mtanzania25 Nov
Papa Francis kutua Kenya leo
NAIROBI, Kenya
KIONGOZI wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, anatarajiwa kuwasili Kenya leo jioni kwa ziara ya siku tatu.
Wakati huohuo, Serikali ya Kenya imetangaza kesho kuwa mapumziko maalumu kwa ibada itakayoongozwa na kiongozi huyo.
Papa anatarajiwa kugusa ardhi ya Kenya saa 11 jioni ndege yake itakapotua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, Nairoibi.
Atakuwa Kenya kwa ziara ya siku tatu kabla ya kwenda Uganda keshokutwa na baadaye Jamhuri ya Afrika ya Kati...
11 years ago
GPLAKON KUTUA KENYA MWEZI UJAO
9 years ago
BBCSwahili20 Dec
Tishio la 'Bomu' lalazimu ndege ya Ufaransa kutua Kenya
9 years ago
MillardAyo20 Dec
Hofu ya bomu ilivyolazimisha ndege ya Ufaransa kutua Kenya kwa dharura…
Matukio ya ajali za ndege yalichukua headlines katika vyombo mbalimbali vya habari duniani. Kuna hii nyingine inayohusisha ndege ya abiria aina ya Air France Boeing 777 AF463, iliyokuwa ikifanya safari zake kati ya Mauritius na Paris ambapo imelazimika kutua kwa ghafla katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta baada ya kuwepo hofu ya bomu. […]
The post Hofu ya bomu ilivyolazimisha ndege ya Ufaransa kutua Kenya kwa dharura… appeared first on TZA_MillardAyo.
11 years ago
Tanzania Daima26 Jun
Maximo kutua leo
KOCHA mpya wa Yanga, Mbrazil Marcio Maximo, anatarajiwa kutua jijini Dar es Salaam leo, akiwa na msaidizi wake Leonardo Neiva kwa ajili ya kuanza kibarua katika klabu hiyo. Maximo, kocha...
10 years ago
Tanzania Daima12 Oct
Lipumba kutua Mtwara
MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Taifa, Profesa Ibrahimu Lipumba, anatarajiwa kuwasili Mtwara mjini kesho akitokea Mtwara Vijijini alikofanya ziara ya kikazi. Lipumba yuko katika ziara ya kikazi ya kuzunguka mkoa...